Kwa umri wangu wa 20's ninamiliki nyumba 3, gari 2, viwanja na mashamba kedekede. Unamiliki nini kwa huo umri wako?

Kwa umri wangu wa 20's ninamiliki nyumba 3, gari 2, viwanja na mashamba kedekede. Unamiliki nini kwa huo umri wako?

Au nyie wenzangu kama kawaida yenu team wivu mnamiliki majungu,fitina,chuki,wivu na udini? Kwa huu umri wangu wa 20's atleast nimemiliki vitu kadhaa ambao wewe mwenye 30 plus n.k hauna kazi umekalia wivu na majungu tu hivyo vitu haviwaisaidii nyie waswahili majungu,wivu,chuki na fitina si mtaji pambaneni na nyie mtakuja kuvipata japo wengine umri wenu umeenda kwa sasa mnahangaika na mafuta ya upako tu.

Kwa huu umri wangu Nina akiba milioni of money [emoji383] kama wewe nj team majungu na chuki acheni majungu fanyeni kazi mtapata majungu si mtaji nyie endeleeni na Bata na hizo pisi kali zenu hayo si mafanikio yenu? Sisi wengine wacha tuendelee kufanya saving till we die

Team majungu,chuki,fitina na wivu karibuni
Acha utapeli we ngoima utakuja kuchanwa vibaya sehemu za siri
 
Utajiri wa kwanza ni kuwa na akili ila wewe unatofauti gani na mbuni
 
Ile hospital ya watu wenye matatizo ya akili wameikarabati, nadhani sasa waanze kupita mtaa kwa mtaa kuchukua wateja wao.
 
Au nyie wenzangu kama kawaida yenu team wivu mnamiliki majungu,fitina,chuki,wivu na udini? Kwa huu umri wangu wa 20's atleast nimemiliki vitu kadhaa ambao wewe mwenye 30 plus n.k hauna kazi umekalia wivu na majungu tu hivyo vitu haviwaisaidii nyie waswahili majungu,wivu,chuki na fitina si mtaji pambaneni na nyie mtakuja kuvipata japo wengine umri wenu umeenda kwa sasa mnahangaika na mafuta ya upako tu.

Kwa huu umri wangu Nina akiba milioni of money 💰 kama wewe nj team majungu na chuki acheni majungu fanyeni kazi mtapata majungu si mtaji nyie endeleeni na Bata na hizo pisi kali zenu hayo si mafanikio yenu? Sisi wengine wacha tuendelee kufanya saving till we die

Team majungu,chuki,fitina na wivu karibuni
We kapuku tu kaache hicho kilevi.
 
Kwa hio umri sizani Kama umetafuta wewe hizo Mali Sana Sana Nina wasiwasi Kama sio za familia ni za mjomba
 
Back
Top Bottom