Kama una fikiri carpet bombing ni sifa basi China angefanya Xinjiang, ubongo wako una matatizo kama unaona inachofanya IDF ni sahihi.Mna bahati sana Israel sio China au Urusi, mngepigwa carpet bombing bila kujali mende au kunguni, nyie na dini na miungu yenu mliyobuni juzi mna bahati sana.
Ulivyo mjinga na mpumbavu unataka kulazimisha mtu aandike kuhusu Sudan na hutaki kabisa usemwe ukatili na unyama wa kutisha uliofanywa Oct 07,2023 ambapo Hamas walibaka,wakateka watu 251 na kuua kinyama watu 1,200.Si kitu cha ajabu na ndio maana ya ugaidi na ushetani, kuua ni kitu cha kawaida kwako!
Mada ni vita ya Gaza unataka tujadili kuhusu Sudan!!! Tangu vita ya Sudan imeanza umeshatoa andiko lolote JF? Kama lipo nitag na mimi nilipitie. Ulivyo mpumbavu zaidi unahisi ukifurahi watu fulani kuuawa wewe sio shetani ama roho mbaya ya kigaidi ila wanaokupinga kwa upumbavu wako ndio magaidi...
Dini zimetufanya tuwe wapumbavu na kuchukiana badala ya kueneza upendo na amani, wajinga sana wengi wanaojiita wenye imani haijalishi dini gani wote akili zenu zinafanana mnazidiana ukichaa tu.
Quran 3:53Kwa hio Mkristo ana abudu nani si Yesu kisha kufa hahaha unajichochea nwenyewe kuni afu unalalamuka moto mkali. Leta dalili Muislam ana abudu mtu aliye kufa huwezi kuleta hata siku moja Kenge mmoja. Umjiripua mwenyewe afu una jicheka kuabudu mtoto wa Mwariam hahaha.
Safi sana kumbe unanza kupata akili wanao mfata Yesu ni kina nani, Waislam wanao amini Yesu ni Mtume na wewe unamfata Paulo kwa kumuabudu Yesu.Quran 3:53
رَبَّنَآ ءَامَنَّا بِمَآ أَنزَلۡتَ وَٱتَّبَعۡنَا ٱلرَّسُولَ فَٱكۡتُبۡنَا مَعَ ٱلشَّـٰهِدِينَ
Rabbanaaa aamannaa bimaaa anzalta wattaba’nar Rasoola faktubnaa ma’ash shaahideen
Baba yetu, tumeamini katika yale ulioyateremsha na tukamfuata Mtume, basi tuandike pamoja na mashahidi.
Sahih International
Our Lord, we have believed in what You revealed and have followed the messenger Jesus, so register us among the witnesses [to truth].”
Muhsin Khan
Our Lord! We believe in what You have sent down, and we follow the Messenger [‘Iesa (Jesus)]; so write us down among those who bear witness
Quran 3:55
إِذۡ قَالَ ٱللَّهُ يَٰعِيسَىٰٓ إِنِّي مُتَوَفِّيكَ وَرَافِعُكَ إِلَيَّ وَمُطَهِّرُكَ مِنَ ٱلَّذِينَ كَفَرُواْ وَجَاعِلُ ٱلَّذِينَ ٱتَّبَعُوكَ فَوۡقَ ٱلَّذِينَ كَفَرُوٓاْ إِلَىٰ يَوۡمِ ٱلۡقِيَٰمَةِۖ ثُمَّ إِلَيَّ مَرۡجِعُكُمۡ فَأَحۡكُمُ بَيۡنَكُمۡ فِيمَا كُنتُمۡ فِيهِ تَخۡتَلِفُونَ
Iz qaalal laahu yaa ‘Eesaaa innee mutawaffeeka wa raafi’uka ilaiya wa mutah hiruka minal lazeena kafaroo wa jaa’ilul lazeenattaba ooka fawqal lazeena kafarooo ilaa Yawmil Qiyaamati summa ilaiya marji’ukum fa ahkumu bainakum feemaa kuntum feehi takhtaliifoon
Sahih International:[Mention] when Allah said, “O Jesus, indeed I will take you and raise you to Myself and purify you from those who disbelieve and make those who follow you superior to those who disbelieve until the Day of Resurrection. Then to Me is your return, and I will judge between you concerning that in which you used to differ.
Google:Swahili
wakati Allah alisema, "Ee Yesu, hakika nitasababisha kifo chako na kukuinua kwangu na kukutakasa kutoka kwa wale wanaokufuru na kuwafanya wale wanaokufuata kuwa bora zaidi kuliko wale wanaokufuru mpaka Siku ya Kiyama. Kisha kwangu ni kurudi kwenu, na nitahukumu kati yenu katika yale mliyokuwa mkikhalifiana.'
Another idiot who use dawagandies website he thought you can easy refute by use the out of contents words. naweza jibu kwa ufasha one by one na vielelezo and i when i come to your side huwezi jibu chochote huku hujui uliyoweka ni version ya copies za Mtume wen mwzi Mr. Mohammad.
Dont try to run back to the topic huko utakapo tutafika tu kwa manufaa ya wengi. as Long ni Injil from Allah me nitatetea wewe uta protest as usual
Anzisha thread pekee nilidhani umekuja kumjibia Fake Muslim mwenzio.. nilichomjibu Paulo ni Mtume wa Yesu.. na Quran imeweka vizuri kuwa tukamtuma messenger wa tatu katika mji wa Antokia.
Jibu au onesha wapi Katika hiyo Aya YA-SIN 36:13 hao Messenger waliotumwa watatu alikuwa ni Paulo. alafu story ni kuwa walikuwa wakifanya miujiza in the name of Jesus.
Akili ndogo kwamba kinachoendelea Gaza ni matunda ya October 7 lakini hujui kama Octobrt 7 ni matokeo ya unyama wa hao magaidi na mashetani wasiomuamini Mungu Waisrael wanaowafanyia Wapalestina tangu 1948. Hypocrite 1000%Ulivyo mjinga na mpumbavu unataka kulazimisha mtu aandike kuhusu Sudan na hutaki kabisa usemwe ukatili na unyama wa kutisha uliofanywa Oct 07,2023 ambapo Hamas walibaka,wakateka watu 251 na kuua kinyama watu 1,200.
Ulivyo zuzu huoni yanayoendelea leo huko Gaza na matunda ya Oct 07,2023, huko Gaza kuna mateka wa Israel wanashikiliwa huko na magaidi wa kipalestina hawataki kuwaachia ndiyo maana vita hii inaendelea lakini kwa kuwa umejitoa ufahamu yote hayo huyaoni umekalia ujinga na Upumbavu tu!!!
Inaonekana wazi wewe hujui historia ya nchi hiyo wengi wenu mmekaririshwa 1948 wakati ukweli waarabu walianza kuwaua Wayahudi miaka mingi sana iliyopita. Na Oct 07,2023 ndiyo iliyotufikisha hapa tulipo maelfu ya waarabu kuuwawa na GAZA kuwa Magofu!!!Akili ndogo kwamba kinachoendelea Gaza ni matunda ya October 7 lakini hujui kama Octobrt 7 ni matokeo ya unyama wa hao magaidi na mashetani wasiomuamini Mungu Waisrael wanaowafanyia Wapalestina tangu 1948. Hypocrite 1000%
Nimesoma hiyo attachment uliyoiweka nimegundua kuwa wewe kiingereza kinakupiga chenga soma kuna maneno “ Alleged rape of the Palestinian detainee.“ hizo ni tuhuma lakini kwa umbumbumbu wako wewe unasema Wamebakwa. Hata hivyo mbakaji yeye akibakwa kuna ubaya gani? Kumbe kwako wewe wao wakibaka Wayahudi unasema Alhamdulilah lakini wakibakwa wao wewe unaumia sana kama umebakwa wewe!!Lakini usijitoe akili hao magaidi huwabaka wafungwa wa Kipalestina, angalia hapa wana wa shetani waliandamana ili askari waliobaka wafungwa wa kipalestina waachiwe!
Kwanza Mimi si Mwehu nina akili zangu timamu na ninaelewa vizuri shida za waarabu najua malengo yao wanataka nini sasa ninyi ambao hamjui mnarukia tu gari kwa mbele na kuonyesha ujinga wenu kwa watu.Nilishakuhakikishia mdogo wangu pamoja na wehu wako wote na kujitoa akili ukijifanya si muelewa wa mambo, hapa kwangu utaelewa tu! Sitachoka kamwe kukupasha habari zenye uhakika labda siku moja akili zitarudi na nia yangu kubwa ni kukufanya uelewe ushetani wa Waisrael (Zionist) sio kwamba waarabu ni malaika
Hapo ndipo unapotea kabisa kumbe upo hapa kuelezea Ushetani wa wayahudi na kuwaramba matako waarabu!!! Kajipange upya waarabu hawasafishiki kabisa!!!nia yangu kubwa ni kukufanya uelewe ushetani wa Waisrael (Zionist) sio kwamba waarabu ni malaika
Bwana mdogo hebu nipe hiyo historia unayoiju wewe kuhusu nchi ya Israel kabla ya 1948! Nilikushauri tangu wakati ule hujabadili account kama hujui kupitia articles za mijadala ya kimataifa tumia AI itakueleza kwa lugha unayoijua wewe na kwa bahati nzuri IA karibia zote ni za west.Inaonekana wazi wewe hujui historia ya nchi hiyo wengi wenu mmekaririshwa 1948 wakati ukweli waarabu walianza kuwaua Wayahudi miaka mingi sana iliyopita. Na Oct 07,2023 ndiyo iliyotufikisha hapa tulipo maelfu ya waarabu kuuwawa na GAZA kuwa Magofu!!!
Palestine haijapa uhuru na bado wanakomaa kuutafuta na hii sio sababu ya kukosa haki yao ipo siku itatimia Palestine itakuwa huru.Nakushangaa wewe kusema unawaunga mkono katika kulikomboa Taifa la Palestina toka lini Palestina ilishakuwa Taifa? Lilipata uhuru Mwaka gani toka utawala wa gani? Hii inaonyesha ni jinsi gani wewe hujui historia.
Akili ndogo, hapa unaonyesha udhaifu wako tena. Link inakupeleka moja kwa moja kwenye andiko la Middle East Eye, kichwa cha habri kwa maandishi makubwa kabisa kimeandikwaNimesoma hiyo attachment uliyoiweka nimegundua kuwa wewe kiingereza kinakupiga chenga soma kuna maneno “ Alleged rape of the Palestinian detainee.“ hizo ni tuhuma lakini kwa umbumbumbu wako wewe unasema Wamebakwa. Hata hivyo mbakaji yeye akibakwa kuna ubaya gani? Kumbe kwako wewe wao wakibaka Wayahudi unasema Alhamdulilah lakini wakibakwa wao wewe unaumia sana kama umebakwa wewe!!
Mdogo wangu mimi sio mfia dini wala sipo upande wa waarabu bali nipo upande sahihi wa kibinadamu, wewe mfia dini na mtumwa wa kiyahudi ndio una itikadi hizo ndomana hata ukionyeshwa ushahidi wa ushetani wa Wayahudi huwezi kukubali kwasbabu tangu unazaliwa umeaminishwa hao ni wana wa Mungu wakati ni kinyume chake. Wapo Waisrael wenye akili ambao wanaona ushetani wa Zionism na ndio hao wanaandamana hadi leo nchi za ulaya na ndani ya Israel kupinga Gaza genocide.Hapo ndipo unapotea kabisa kumbe upo hapa kuelezea Ushetani wa wayahudi na kuwaramba matako waarabu!!! Kajipange upya waarabu hawasafishiki kabisa!!!
Hata huelewekiBwana mdogo hebu nipe hiyo historia unayoiju wewe kuhusu nchi ya Israel kabla ya 1948! Nilikushauri tangu wkati ule kabla hujabadili account kama hujui kupitia articles za mijadala ya kimataifa tumia AI inakueleza kwa lugha unayoijua wewe na kwa bahati nzuri IA karibia zote ni za west.
Kwa hiyo Palestina kwako ni nchi? Rudi shule akasome!!!Palestine haijapa uhuru na bado wanakomaa kuutafuta hii sio sababu ya kukosa haki yao ipo siku itatimia Palestine itakuwa huru.
Toka awali nimekwambia kiingereza kinakupiga chenga sana kuna Neno “SUSPECTED” najua hujui maana yake tafuta hata kamusi ikusaidie!!! Hao walikuwa wanatuhumiwa tu hawakubaka ni watuhumiwa tu. Kama unasema kuna video hebu niwekee na mimi hapo nione wanavyofukuliwa kwa nyuma!!Israeli soldiers suspected of raping Palestinian prisoner arrested, sparking far-right riot
wewe ndiyo unaleta mambo ya dini na umejionyesha wazi kuwa wewe hujui Ushetani wa waarabu.Mdogo wangu mimi sio mfia dini wala sipo upande wa waarabu bali nipo upande sahihi wa kibinadamu, wewe mfia dini na mtumwa wa kiyahudi ndio una itikadi hizo ndomana hata ukionyeshwa ushahidi wa ushetani wa Wayahudi huwezi kukubali kwasbabu tangu unazaliwa umeaminishwa hao ni wana wa Mungu wakati ni kinyume chake. Wapo Waisrael wenye akili ambao wanaona ushetani wa Zionism na ndio hao wanaandamana hadi leo nchi za ulaya na ndani ya Israel kupinga Gaza genocide.
Makanisa, Misikiti inayolipuliwa huko Gaza ni ile iliyokuwa hadhi ya kuitwa Makanisa au Misikiti kwa kuruhusu nyumba hizo za Ibada kuwa mapango ya Magaidi kwa kuwa na miundombinu ya kigaidi ndani ya nyumba hizo.ungelaani makanisa yalivyolipuliwa huko Gaza. Ottoman aliitawala Palestine miaka mingi iliyopita ila hakuvunja makanisa ndiomaana hadi leo yapo ila huyo shetani kila vita lazima alipue
Nimekwambia nipe historia wewe uliyesoma kwamba Israel ilikuwa nchi kabla ya 1948!Hata hueleweki
Hakuna haja kurudi kusoma wakati kila kitu kinapatikana online kwa sasa:Kwa hiyo Palestina kwako ni nchi? Rudi shule akasome!!!
Kwahiyo kumbe ni kweli hukuisoma hiyo habari?! Ndomana mwanzo ukaja na neno "Alleged" sijui uliliokota wapi 😀😀😀 na sasa umeshika "Suspected" na bado unanishauri mimi ndio nirudi shule. Dogo mtu yeyote kabla ya ushahidi na mashtaka huwa ni mtuhumiwa "Suspect" kilichokufanya usielewe hiyo habari ni nini? Kumbe na wewe ni walewale ushetani ndio furaha kwako, nilikuwekea link ya mtandao wa X hapo. Oooh!... Nimesahau kumbe Tanzania mmefungiwa mtandao wa X! Ndomana hujaona link zangu. Pole sana 😀Toka awali nimekwambia kiingereza kinakupiga chenga sana kuna Neno “SUSPECTED” najua hujui maana yake tafuta hata kamusi ikusaidie!!! Hao walikuwa wanatuhumiwa tu hawakubaka ni watuhumiwa tu. Kama unasema kuna video hebu niwekee na mimi hapo nione wanavyofukuliwa kwa nyuma!!
Bwana mdogo siwezi kutetea ushetani unaofanywa na yeyote, ndomana nikakwambia kama Hamas walibaka kweli basi walikosea lakini usijitoe akili kwamba wabakaji wakubwa, wanaosapoti ushoga na wanaoua wenzao kila siku ni hao mashetani Waisrael na si Wapalestina. Israel anajisemesha kama anachofanya ni self defense, yani wewe uibe ardhi ya watu, uwaue na kuwahamisha kwa nguvu alafu wakijitetea unasema ni self defense!!wewe ndiyo unaleta mambo ya dini na umejionyesha wazi kuwa wewe hujui Ushetani wa waarabu.
Yani sababu ya Wayahudi uko radhi makanisa yavunjwe? Huna akili kabisa kwamba viongozi wa makanisa hayo wanapinga vita hiyo ya kishetani alafu wewe kibaraka wa wayahudi unaungana na uongo wa mashetani. Ndio hawa ulisema eti "the most moral army in the world?!!!"Makanisa, Misikiti inayolipuliwa huko Gaza ni ile iliyokuwa hadhi ya kuitwa Makanisa au Misikiti kwa kuruhusu nyumba hizo za Ibada kuwa mapango ya Magaidi kwa kuwa na miundombinu ya kigaidi ndani ya nyumba hizo.
Habari hii imechakachuliwa mara tu baada ya Oct 07,2023Hakuna haja kurudi kusoma wakati kila kitu kinapatikana online kwa sasa:
Hao watu Uliowasema wewe ni walikuwa watuhumiwa hawakubaka maana huna ushahidi kuwa walipatikana na hatia.Kwahiyo kumbe ni kweli hukuisoma hiyo habari?! Ndomana mwanzo ukaja na neno "Alleged" sijui uliliokota wapi 😀😀😀 na sasa umeshika "Suspected" na bado unanishauri mimi ndio nirudi shule. Dogo mtu yeyote kabla ya ushahidi na mashtaka huwa ni mtuhumiwa "Suspect" kilichokufanya usielewe hiyo habari ni nini? Kumbe na wewe ni walewale ushetani ndio furaha kwako, nilikuwekea link ya mtandao wa X hapo. Oooh!... Nimesahau kumbe Tanzania mmefungiwa mtandao wa X! Ndomana hujaona link zangu. Pole sana 😀
Kanisa,msikiti,Hekalu shule,hospitali kama lina miundombinu ya kigaidi basi Halina hadhi kuitwa lilivyo linatakiwa kuvunjwa maana limekosa hadhi ya kuitwa kanisa maana linatumika kigaidi!!!Yani sababu ya Wayahudi uko radhi makanisa yavunjwe? Huna akili kabisa kwamba viongozi wa makanisa hayo wanapinga vita hiyo ya kishetani alafu wewe kibaraka wa wayahudi unaungana na uongo wa mashetani. Ndio hawa ulisema eti "the most moral army in the world?!!!"
Kwa taarifa yako tu mimi niko huku toka April 08,2025 na natarajia kurudi nyumbani June 08,2025 na nimeshiriki ibada zote za Pasaka Tukiwaambia changanyikeni na wayahudi sijaona Myahudi yeyote anamtemea mate Mkristo yoyote.Na hawa wakristo wanaotemewa mate na wayahudi ni Hamas? Wake up you FOOL! they don't care about you either!
Wikipedia ni mtandao huru, yeyote anaweza kuandika ama kuhariri andiko lililopa kisha wasiamamizi hulipitia na kuachia mada hewani. Kila maneno ya blue anayoyaona hapo ni link inakupeleka kwenye habari nyingine ili kuwa na uhakika zaidi. Mimi nakupa ushahidi wewe unakuja na maneno matupu. Yani wewe muabudu Wayahudi unabishana na nchi 147? Umoja wa mataifa (UN) wanaitambua Palestine kama non-member observer state kama ilivyo Vatican.Habari hii imechakachuliwa mara tu baada ya Oct 07,2023
Ndio ni watuhumiwa lakini serikali iliyokuwa inasimamia kesi ili wapatikane na hatia ndio hiyo inasapoti ushetani, inawezekana hata serikali hiyo hutoa maagizo wafanye hivyo. Kesi nyingi za kishetani dhidi ya Wapalestina huwa hazifanyiwi kazi wala wahusika kuchukuliwa hatua na haya yako wazi tangu taifa hilo la kishetani kuanzishwa.Hao watu Uliowasema wewe ni walikuwa watuhumiwa hawakubaka maana huna ushahidi kuwa walipatikana na hatia.
Hata hivyo Israel inaonyesha inajali utu wa watu!! Je kwa upande wa magaidi unaweza kuniambia wapi waliandika kuwa wamekamatwa magaidi wakibaka,Kuteka au kuua? Au kwa sababu wao ni jadi yao hakuna haja?
Kingine daima huwa unasema Israel ni Mashoga toka lini Mashoga wakaweza kubaka watoto wazuri wa kiarabu?
Najitahidi kukuwekea vyavyo vya habari vyenye kuaminika au video za uwazi kabisa na sio AI videos ila wewe ushakuwa chizi mapenzi kwa wayahudi huamini hata kile kinachoonekana wazi. Usilazimishe kila tukio baya litokee siku uliyoenda wewe, angalia wenzako hawa walienda huko wakakutana na watu ambao waliamini miaka yote ni wana wa Mungu lakini wakapokelewa kwa maneno 'Go home!'Kwa taarifa yako tu mimi niko huku toka April 08,2025 na natarajia kurudi nyumbani June 08,2025 na nimeshiriki ibada zote za Pasaka Tukiwaambia changanyikeni na wayahudi sijaona Myahudi yeyote anamtemea mate Mkristo yoyote.
Kuna kitu nilichoona ni Mwarabu anamtemea mate Myahudi na aka ki nią baadaye Ali kama twa na sasa hivi ananyea ndoo kuna uzi niliandika uko humu.
Hizo video ni Propaganda tu kueneza chuki zenu dhidi ya Wayahudi.
Mimi nafuata historia siyo haya maneno ya kutunga ambayo hata mimi naweza kutupia na kumezesha watu Matango Pori. Mara nyingine usitufanye wote humu ni wajinga kama wewe. Usituletee Wikipedia kama ushahidi. Acha ujinga wako!!Wikipedia ni mtandao huru, yeyote anaweza kuandika ama kuhariri andiko lililopa kisha wasiamamizi hulipitia na kuachia mada hewani. Kila maneno ya blue anayoyaona hapo ni link inakupeleka kwenye habari nyingine ili kuwa na uhakika zaidi. Mimi nakupa ushahidi wewe unakuja na maneno matupu. Yani wewe muabudu Wayahudi unabishana na nchi 147? Umoja wa mataifa (UN) wanaitambua Palestine kama non-member observer state kama ilivyo Vatican.
Nionyeshe sasa Magaidi walipomkamata muuaji au Mbakaji mmoja aliyefanya Ubakaji na akapelekwa mahakamani kushitakiwa tu.Ndio ni watuhumiwa lakini serikali iliyokuwa inasimamia kesi ili wapatikane na hatia ndio hiyo inasapoti ushetani, inawezekana hata serikali hiyo hutoa maagizo wafanye hivyo. Kesi nyingi za kishetani dhidi ya Wapalestina huwa hazifanyiwi kazi wala wahusika kuchukuliwa hatua na haya yako wazi tangu taifa hilo la kishetani kuanzishwa.
Ujinga mtupu uliona wapi wewe Mafuriko unayazuia kwa mkono? Rachel Corrie alikuwa na matatizo ya akili unawezaje kwenda nchi nyingine kulizuia Bulldozer kwa mkono lisifanye kazi? Naona alikuwa tu akitafuta umaarufu ili aandikwe basi Naona alikufa na anasifiwa sana na waarabu lakini kayachezea maisha yake ovyo kabisa!!Mwaka 2003, mwanaharakati Rachel Corrie aliuawa na shetani muisrael kwa kutumia bulldozer. Rachel alikuwa akipinga wahamiaji haramu 'settlers' wa kiyahudi huko West Bank
Kwa ujinga huo wewe ulitaka ashitakiwe nani? Wewe unajua kabisa hii barabara ni ya treni ya SGR wewe ukataka uisimamishe ukasimama mbele yake!! Kama ni kufa acha afe tu maana kataka mwenyewe hakuna wa kushitakiwa!!!!hakuna aliyewahi hata kushtakiwa kuhusiana na tukio hilo.
Hawa jamaa ukitaka kujua ni wajinga wana nafasi ya kukimbilia Ulaya ana Marekani wanabaki makwao. Waarabu wenzao ndio wanaongoza kwa cash deposits duniani lakini hawataki kuwasaidia. Cha kuongezea huku Tanzania kuna watu wanaamka usiku wa manane kupoga rakaa wakati walioileta hio sini hawajawahi kujenga shule, chuo wala hospitali katika hii nchi. Waafrika bado sana aisee 😅 😅 😅 😅 😅Jana baada ya Israel kutoa amri ya watu kuhama kwenye maeneo yao na kwenda sehemu nyingine walioelekezwa, Majeshi ya Israel 🇮🇱 jiani talia za kugawa maji na bites kwa wanawake na watoto waliokuwa wanahama.
Aljazeera kwa unafiki wao hawawezi kabisa kuonyesha video hiyo maana wao ni wazee wa Propaganda za Israel inaua wanawake na watoto bila kusema ukweli wa mambo!
View attachment 3338275
Sudan wakibadili dini na kuwa nchi ya kikristu au ambayo haina dini ugaidi utaisha mapema asubuhi.Mwarabu na Muhindi wanatuchukulia manyani mtu mwenye ubinadamu na utu ni mzungu tu pekee. Ndio maana hauwezi kukuzta ngozi nyeusi ni bilionea au ana cheo kikubwa huko kwao serikalini.Si kitu cha ajabu na ndio maana ya ugaidi na ushetani, kuua ni kitu cha kawaida kwako!
Mada ni vita ya Gaza unataka tujadili kuhusu Sudan!!! Tangu vita ya Sudan imeanza umeshatoa andiko lolote JF? Kama lipo nitag na mimi nilipitie. Ulivyo mpumbavu zaidi unahisi ukifurahi watu fulani kuuawa wewe sio shetani ama roho mbaya ya kigaidi ila wanaokupinga kwa upumbavu wako ndio magaidi...
Dini zimetufanya tuwe wapumbavu na kuchukiana badala ya kueneza upendo na amani, wajinga sana wengi wanaojiita wenye imani haijalishi dini gani wote akili zenu zinafanana mnazidiana ukichaa tu.
Wikipedia ni mtandao huru, yeyote anaweza kuandika ama kuhariri andiko lililopa kisha wasiamamizi hulipitia na kuachia mada hewani. Kila maneno ya blue anayoyaona hapo ni link inakupeleka kwenye habari nyingine ili kuwa na uhakika zaidi. Mimi nakupa ushahidi wewe unakuja na maneno matupu. Yani wewe muabudu Wayahudi unabishana na nchi 147? Umoja wa mataifa (UN) wanaitambua Palestine kama non-member observer state kama ilivyo Vatican.
Kuwa unatawaliwa, kuonewa na mashetani ama kunyimwa haki yako hakufanyi ubinadamu wako kupotea hayo ni mapito tu. South Africa ilipata uhuru wa kweli mwaka 1994 baada ya mateso mengi ya muda mrefu toka kwa mashetani kama hao hao wanaoishikilia Palestine maana wengi ni kutoka Poland na Austria. USA alikuwa ni mmoja wa mashetani anayeunga utawala ule wa kishetani kama anavyofanya sasa kwa Palestine.
Ndio ni watuhumiwa lakini serikali iliyokuwa inasimamia kesi ili wapatikane na hatia ndio hiyo inasapoti ushetani, inawezekana hata serikali hiyo hutoa maagizo wafanye hivyo. Kesi nyingi za kishetani dhidi ya Wapalestina huwa hazifanyiwi kazi wala wahusika kuchukuliwa hatua na haya yako wazi tangu taifa hilo la kishetani kuanzishwa.
Mwaka 2022 kabla hata ya hiyo ngonjera yako ya October7, aliuawa mwanahabari Mpalestina mwenye uraia wa USA Abuu Akhleh na IDF lakini walikanusha kuhusioka baada ya uchunguzi feki wakaja na majibu eti kwamba 'Inawezekana IDF walihusika' lakini hadi leo hakuna aliyechukuliwa hatua!
View: https://www.youtube.com/watch?v=RGD9awRbG6A
Mwaka 2003, mwanaharakati Rachel Corrie aliuawa na shetani muisrael kwa kutumia bulldozer. Rachel alikuwa akipinga wahamiaji haramu 'settlers' wa kiyahudi huko West Bank lakini hadi leo hakuna aliyewahi hata kushtakiwa kuhusiana na tukio hilo. Serikali ya kishetani ya Israel ilisema kwama ilikuwa ni ajali ya bahati mbaya dereva hakumuona wakati alikuwa amevaa high visibility cloth na bado alikuwa na kipaza sauti na kulikuwa na maandamano na watu wengine pembeni wakimtahadharisha jamaa akafumba macho akamgonga na kumuua. Serikali ya Israel ikaja na ushahidi wa 3D animation kama wafanyavyo siku zote kudanganya mazuzu kama wewe. Hawa jamaa kuua kwao ni jambo la kawaida sana 😡
View: https://www.youtube.com/watch?v=wqrq4SGY63w
Najitahidi kukuwekea vyavyo vya habari vyenye kuaminika au video za uwazi kabisa na sio AI videos ila wewe ushakuwa chizi mapenzi kwa wayahudi huamini hata kile kinachoonekana wazi. Usilazimishe kila tukio baya litokee siku uliyoenda wewe, angalia wenzako hawa walienda huko wakakutana na watu ambao waliamini miaka yote ni wana wa Mungu lakini wakapokelewa kwa maneno 'Go home!'
View: https://www.youtube.com/shorts/vio53jUpJz0
Waisrael wastaarabu wapo wengi ila siku ukikutana na extremist wa Kiyahudi ndio utajua rangi yao halisi hao mashetani. Pitia habari hii ya CBN News ni Wamarekani hawa ningekuletea taarifa za Ajazeera ungesema kwasababu ni Waarabu.
View: https://www.youtube.com/watch?v=z581dbGqr08
Kumbuka nilishakwambia usidhani ntachoka kukuelimisha bwana mdogo, hapa ni nondo juu ya nondo sio porojo za ushabiki.
Kwani Historia imeandikwa na nani, unadhani Mungu alishusha maandiko kama mvua? Unachokikataa Wikipedia kwasababu kimeandikwa na binadamu ndivyo ilivyo kwa vitabu vyote vya historia. Nimekupa ushahidi wa nchi zinazoitambua Palestine kama nchi ni zaidi ya nchi 100 ikiwemo Tanzania na UN wanaitambua Palestine kama nchi isipokuwa haijapata full membership sababu ya kura ya veto ya shetani mmarekani.Mimi nafuata historia siyo haya maneno ya kutunga ambayo hata mimi naweza kutupia na kumezesha watu Matango Pori. Mara nyingine usitufanye wote humu ni wajinga kama wewe. Usituletee Wikipedia kama ushahidi. Acha ujinga wako!!
Hakuna aliyechukuliwa hatua wala kushtakiwa kwasababu kwa sasa Gaza haina mfumo wowote unaofanya kazi baada ya ugaidi wa Israel.Nionyeshe sasa Magaidi walipomkamata muuaji au Mbakaji mmoja aliyefanya Ubakaji na akapelekwa mahakamani kushitakiwa tu.
Oct07,2023 kuna Ubakaji Utekaji na mauaji lete hapa habari yoyote kuwa kuna magaidi wamewakamata wabakaji waliobaka watu Oct 07,2023
Ni kawaida ya mashetani kutetea ushetani, kama hujaona kosa la Israel kwenye hili basi bado kuna kazi kubwa ya kukuelimisha. Mbinu za kijinga kama hizi huzitumia wakoloni kumfanya anayedai haki ama kutetea wanyonge ndiye aonekane mjinga.Ujinga mtupu uliona wapi wewe Mafuriko unayazuia kwa mkono? Rachel Corrie alikuwa na matatizo ya akili unawezaje kwenda nchi nyingine kulizuia Bulldozer kwa mkono lisifanye kazi? Naona alikuwa tu akitafuta umaarufu ili aandikwe basi Naona alikufa na anasifiwa sana na waarabu lakini kayachezea maisha yake ovyo kabisa!!
Dogo ukitaka kuishi kwa amani achana na mihemko ya dini utapasuka moyo. Ukija kwangu achana na dini maana huko mimi sipo kabisa. Bado unaamini mzungu ni mwema sana kwako? Muarabu si mwema sana wala sipo hapa kumtetea ila mzungu ni shetani pia. Huwa mnakosa akili sababu ya mihemko ya dini na chuki mnazofundishana makanisani na misikiti mimi sipo huko bwana mdogo achana na story za vijiweni njoo na taarifa za uhakika.Sudan wakibadili dini na kuwa nchi ya kikristu au ambayo haina dini ugaidi utaisha mapema asubuhi.Mwarabu na Muhindi wanatuchukulia manyani mtu mwenye ubinadamu na utu ni mzungu tu pekee. Ndio maana hauwezi kukuzta ngozi nyeusi ni bilionea au ana cheo kikubwa huko kwao serikalini.