The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Ongeza Diamond na queen darleenKikosi kazi cha huyu mama
Abdul
Ridhwani
Makonda
Nnape
Chalamila
Utamwachaje Mchengerwa? Chalamila ni "rap dog" tu, kama mbwaKikosi kazi cha huyu mama
Abdul
Ridhwani
Makonda
Nnape
Chalamila
Unayajua mapinduzi ya Zanzibar?Bila huu muungano mgongano tungekuwa na shetani kati yetu? Japo bado yupo njaa Kikwete, tusingekuwa na hii ghasia kusema ule ukweli. Tuvunjilie mbali huu uzwazwa tuone watakwenda wapi. Natamani komredi Mtikila angekuwa hai.
Mwaka 1964 Abeid Karume alimpindua Sultani, kwa kuvamia ghafla ile jioni,Unayajua mapinduzi ya Zanzibar?
Nani alifosi muungano?
Huwezi kutumia njia zilizoshindwa katika kuleta ushindi na maelewano.
Wazanzibari kila kwenye uchaguzi wa vyama vingi kwao ilikuwa ni watu kufa na wengi ni wa vyama vya upinzani na mbaya zaidi wanajeshi wa bara ndiyo hupelekwa kutenda hayo. Leo tumeanza sisi huku bara wenzetu wapo shwari.
Tujifunze kuheshimu mamlaka na ikiwa tunataka kudai haki basi tutumie njia ambazo hazitasababisha uvunjifu wa amani.
Tanzania ni yetu sote sisi watanzania.
Kwani hao narais tangu Nyerere aliyekupa katiba mbovu, Mkapa aliyekataa mapendekezo ya kuimarisha demokrasia, Kikwete aliyekataa katiba mpya na Magufuli aliyepiga marufuku mikutano ya kisiasa walitoka Zanzibar?Bila huu muungano mgongano tungekuwa na shetani kati yetu? Japo bado yupo njaa Kikwete, tusingekuwa na hii ghasia kusema ule ukweli. Tuvunjilie mbali huu uzwazwa tuone watakwenda wapi. Natamani komredi Mtikila angekuwa hai.
Kuna ujinga mkubwa sana wa kumuangalia Samia kama mtu kuwa ndiye tatizo, na kutoka hapo, kuona Wazanzibari ndiyo tatizo.Mwaka 1964 Abeid Karume alimpindua Sultani, kwa kuvamia ghafla ile jioni,
Kwa kuwa Karume hakuweza kuhimili nguvu ya Sultan wa Oman ikabidi amtafute Nyerere ili kufanya Muungano. Kwa hiyo alyefosi Muungano alikua Karume siyo Nyerere.
Huwezi kuziba kila mlango wa haki ukasema ati unataka amani Hapana, nyie mmefunga kila mlango wa haki, hakuna pa kutokea unafikiri kilichobaki ni nini? Kutokutawalika.
Muda wote wananchi wa bara walikuwa watetezi wakubwa wa wananchi wa wananchi wa Zanzibar, wewe unatulaumu sisi badala ya kulaumu CCM? Kwenye hii vita adui Mkubwa wa watu wa bara hata wengi Zanzibar ni CCM, ila kuna baadhi yenu mnaona Samia kuua watu wa bara basi ni lipizo la Mkapa kuua watu 27 wa Zanzibar. Hapo ndiyo mliposhia
PUMBAVU.Unayajua mapinduzi ya Zanzibar?
Nani alifosi muungano?
Huwezi kutumia njia zilizoshindwa katika kuleta ushindi na maelewano.
Wazanzibari kila kwenye uchaguzi wa vyama vingi kwao ilikuwa ni watu kufa na wengi ni wa vyama vya upinzani na mbaya zaidi wanajeshi wa bara ndiyo hupelekwa kutenda hayo. Leo tumeanza sisi huku bara wenzetu wapo shwari.
Tujifunze kuheshimu mamlaka na ikiwa tunataka kudai haki basi tutumie njia ambazo hazitasababisha uvunjifu wa amani.
Tanzania ni yetu sote sisi watanzania.
Huo ni ufahamu wako, lakini uliyoyasema hayana uhalisia kwani mambo ya mapinduzi na muungano yapo kwenye vitabu na yanasomwa.Mwaka 1964 Abeid Karume alimpindua Sultani, kwa kuvamia ghafla ile jioni,
Kwa kuwa Karume hakuweza kuhimili nguvu ya Sultan wa Oman ikabidi amtafute Nyerere ili kufanya Muungano. Kwa hiyo alyefosi Muungano alikua Karume siyo Nyerere.
Huwezi kuziba kila mlango wa haki ukasema ati unataka amani Hapana, nyie mmefunga kila mlango wa haki, hakuna pa kutokea unafikiri kilichobaki ni nini? Kutokutawalika.
Muda wote wananchi wa bara walikuwa watetezi wakubwa wa wananchi wa wananchi wa Zanzibar, wewe unatulaumu sisi badala ya kulaumu CCM? Kwenye hii vita adui Mkubwa wa watu wa bara hata wengi Zanzibar ni CCM, ila kuna baadhi yenu mnaona Samia kuua watu wa bara basi ni lipizo la Mkapa kuua watu 27 wa Zanzibar. Hapo ndiyo mliposhia
Kwani hao narais tangu Nyerere aliyekupa katiba mbovu, Mkapa aliyekataa mapendekezo ya kuimarisha demokrasia, Kikwete aliyekataa katiba mpya na Magufuli aliyepiga marufuku mikutano ya kisiasa walitoka Zanzibar?
Kungekuwa hakuna Muungano lakini kuna TANU wasingepatikana hao?
1. Kipi kilianza kwanza kuchoma mali au victimization, hiyo ni consequence iliyosababishwa na watawala, huwezi kuwa na nchi inayotalawa watu wenye njaa na ikawa na amani. Hii nchi ni stable miaka yote 70 baada ya uhuru, lakini ndiyo among masikini duniani. Unemployment above 50%; hiyo ni mijini tu, huko shambani wala serikali hii haijui wananchi wanakula nini. Yule Waziri wa Foreign Affairs anaulizwa swali wamekufa wangapi anasema hata yeye hajui, yaani hii nchi watawala hawajui kazi yao, JK aliulizwa na mwandishi wa Ufaransa kwa Nini Africa haijaendelea hadi leo na Asia kote kushaendelea? Akajibu hata yeye hajui. Usiwalaumu victims, hawa ni victim wa System ya CAUSE, na unayoona hii ndiyo EFFECT, Cause and Effect; Consequences za uzembe, corruption, negligence, nepotism na kuchezea resources kwa CCM na ubinafsi. Usipojenga ufa utajenga ukuta.Huo ni ufahamu wako, lakini uliyoyasema hayana uhalisia kwani mambo ya mapinduzi na muungano yapo kwenye vitabu na yanasomwa.
Mimi sipo kwenye kumlaumu mtu, nipo kwenye uhalisia wa mambo, ikiwa kudai haki ndiyo hivyo basi hakuna tofauti na mwenye kudhulumu, huwezi choma moto mali za umma au binafsi kwa kuwa unadai haki. Na ukumbuke ajenda ya NRNE ni ajenda yenye msukumo zaidi kutoka CHADEMA si ya watanzania wote, lazima watu waheshimu na fikra za watanzania wengine.
Na pia elewa hakuna mtu anayependa kufa au kuona mtu anakufa, kikubwa tuheshimu mamlaka.
NGOJA NIKUULIZE,Huo ni ufahamu wako, lakini uliyoyasema hayana uhalisia kwani mambo ya mapinduzi na muungano yapo kwenye vitabu na yanasomwa.
Mimi sipo kwenye kumlaumu mtu, nipo kwenye uhalisia wa mambo, ikiwa kudai haki ndiyo hivyo basi hakuna tofauti na mwenye kudhulumu, huwezi choma moto mali za umma au binafsi kwa kuwa unadai haki. Na ukumbuke ajenda ya NRNE ni ajenda yenye msukumo zaidi kutoka CHADEMA si ya watanzania wote, lazima watu waheshimu na fikra za watanzania wengine.
Na pia elewa hakuna mtu anayependa kufa au kuona mtu anakufa, kikubwa tuheshimu mamlaka.
Mambo machache kidogo ya kuongeza, kuna taarifa kuwa hata mapinduzi ya Zanzbar yalipangwa huku bara..kwa hio muungano was part of the plan kabla hata ya mapinduzi!Mwaka 1964 Abeid Karume alimpindua Sultani, kwa kuvamia ghafla ile jioni,
Kwa kuwa Karume hakuweza kuhimili nguvu ya Sultan wa Oman ikabidi amtafute Nyerere ili kufanya Muungano. Kwa hiyo alyefosi Muungano alikua Karume siyo Nyerere.
Huwezi kuziba kila mlango wa haki ukasema ati unataka amani Hapana, nyie mmefunga kila mlango wa haki, hakuna pa kutokea unafikiri kilichobaki ni nini? Kutokutawalika.
Muda wote wananchi wa bara walikuwa watetezi wakubwa wa wananchi wa wananchi wa Zanzibar, wewe unatulaumu sisi badala ya kulaumu CCM? Kwenye hii vita adui Mkubwa wa watu wa bara hata wengi Zanzibar ni CCM, ila kuna baadhi yenu mnaona Samia kuua watu wa bara basi ni lipizo la Mkapa kuua watu 27 wa Zanzibar. Hapo ndiyo mliposhia
Kama taarifa ni za kweli, ktk social media zipo post za askari kuuliwa na walio kuwa ktk maandamano. Yote kwa yote, tusifurahie uvunjifu wa amani iwe ni kwa vifo au uharibu wa mali.NGOJA NIKUULIZE,
KUNA KIJANA YOYOTE ALIUA MTU KWENYE MAANDAMANO?
ACHA MAJIBU YA HIVI,Kama taarifa ni za kweli, ktk social media zipo post za askari kuuliwa na walio kuwa ktk maandamano. Yote kwa yote, tusifurahie uvunjifu wa amani iwe ni kwa vifo au uharibu wa mali.
Swali muhimu, wale walio pinga uchaguzi je wangeweza andamana bila kufanya uharbu wa mali? au fujo nyinginezo? Licha ya ukweli wa baadhi ya haki zao wanazo tetea, je ilikuwa ni sawa wao kwenda kuvuruga zoezi la uchaguzi kwa wale ambao waliridhia kushiriki uchaguzi?
Nitashangaa sana kama unashabikia haya mambo kwa kiasi hiki halafu hujaona picha ya askari na taarifa za habari kuwa kuna askari ameuwawa na waandamaji.ACHA MANIBU YA HIVI,
JIBU LENYE USHAHIDI NI MUHIMU,
KUNA MTU ALIUWAWA NA KIJANA YOYOTE?
NA HAO WANAOUWAWA,KUNA USHAHIDI GANI WALIHUSIKA NA MAANDAMANO AU MAUAJI?
WAO VIJANA NDIO WAMEVURUGA ZOEZI LA UCHAGUZI?Kama taarifa ni za kweli, ktk social media zipo post za askari kuuliwa na walio kuwa ktk maandamano. Yote kwa yote, tusifurahie uvunjifu wa amani iwe ni kwa vifo au uharibu wa mali.
Swali muhimu, wale walio pinga uchaguzi je wangeweza andamana bila kufanya uharbu wa mali? au fujo nyinginezo? Licha ya ukweli wa baadhi ya haki zao wanazo tetea, je ilikuwa ni sawa wao kwenda kuvuruga zoezi la uchaguzi kwa wale ambao waliridhia kushiriki uchaguzi?
kujipigia kura una maana gani?WAO VIJANA NDIO WAMEVURUGA ZOEZI LA UCHAGUZI?
JE,HAWA WALIOKUWA WAKIJIPIGIA KURA HAWAKUVURUGA UCHAGUZI?
LETA USHAHIDI,HIZO PICHA ZA ASKARI WALIOUWAWA.Nitashangaa sana kama unashabikia haya mambo kwa kiasi hiki halafu hujaona picha ya askari na taarifa za habari kuwa kuna askari ameuwawa na waandamaji.