The Spirit of Tanzania
JF-Expert Member
- Mar 7, 2020
- 1,254
- 2,170
KWAHIYO HUKUONA WASIMAMIZI WA VITUO WAKIJAZA KURA (WAKIWEKA TICK) WENYEWE ?kujipigia kura una maana gani?
KWAHIYO HUKUONA WASIMAMIZI WA VITUO WAKIJAZA KURA (WAKIWEKA TICK) WENYEWE ?kujipigia kura una maana gani?
Huhitaji akili kubwa kuona mahusiano ya maandamano na no reform no election. Labda tujizibe macho1. Kipi kilianza kwanza kuchoma mali au victimization, hiyo ni consequence iliyosababishwa na watawala, huwezi kuwa na nchi inayotalawa watu wenye njaa na ikawa na amani. Hii nchi ni stable miaka yote 70 baada ya uhuru, lakini ndiyo among masikini duniani. Unemployment above 50%; hiyo ni mijini tu, huko shambani wala serikali hii haijui wananchi wanakula nini. Yule Waziri wa Foreign Affairs anaulizwa swali wamekufa wangapi anasema hata yeye hajui, yaani hii nchi watawala hawajui kazi yao, JK aliulizwa na mwandishi wa Ufaransa kwa Nini Africa haijaendelea hadi leo na Asia kote kushaendelea? Akajibu hata yeye hajui. Usiwalaumu victims, hawa ni victim wa System ya CAUSE, na unayoona hii ndiyo EFFECT, Cause and Effect; Consequences za uzembe, corruption, negligence, nepotism na kuchezea resources kwa CCM na ubinafsi. Usipojenga ufa utajenga ukuta.
2. Msianze kuleta mambo ya Chadema hapa, haya maandamno siyo ya Chadema, haya maandamano yanahusu CCM, pia na wananchi wote ambao hawakubali mambo ya CCM, Polepole ni CCM, Dr Malisa ni CCM, na ahakuna aimpact kubwa iliyofanya watu wengi wajue kuhusu wahuni kama alivyofanya Polepole, in matter of fact, NRE ni moja tu ya catalyst lakini siyo kila kitu. CCM wengi wamegushwa sana na haya maandamano ile nyie die hard hamuwezi kuelewa, kwa sababu mnanufaika. Utekaji, disapperances, uuaji na Rais anakaa kmya unafikiri wanaona ni Chadema tu? Hata wasio CCM wanaona.
3. Yule Rais wa Madagascar kweli hakupenda watu wake wafe, hata maRais wengi wa Asia au Europe hata South America hawapendi watu wao wafe kwa sababu wakiona mambo kama hivi wanapisha njia, ili kuokoa maisha ya wenzao na wananchi. Ni mijitu ya mieusi tu ya Afrika ambayo hugeuza nchi kama mali zao. Angali Haiti ingawa ipo Western sphere ndiyo hutokea yanayotokea huku kwetu, nchi peke yake Western Hemisphere, halafu Papua New Guinea- speaks a lot.
Unataka sema hilo ndio liliwafanya waandamane? Mimi sitetei makosa hayo, lakini ni wazi waliopinga uchaguzi walikataa kwasababu kama hizo, hivyo kwakuwa uchaguzi haukuwa unawahusu kwa maana ya ushiriki, sijui kwanini waliwiwa kwenda ktk vituo au kufanya yaleKWAHIYO HUKUONA WASIMAMIZI WA VITUO WAKIJAZA KURA (WAKIWEKA TICK) WENYEWE ?
WEWE UNA SHIDA.Unataka sema hilo ndio liliwafanya waandamane? Mimi sitetei makosa hayo, lakini ni wazi waliopinga uchaguzi walikataa kwasababu kama hizo, hivyo kwakuwa uchaguzi haukuwa unawahusu kwa maana ya ushiriki, sijui kwanini waliwiwa kwenda ktk vituo au kufanya yale.
shida naiona kwako, matusi ya nini sasa?WEWE UNA SHIDA.
NIMEKUULIZA,NANI KATI YA MASHETANI HAO NA VIJANA ALIHARIBI UCHAGUZI,UNAANZA UPUMBAVU TU
KUNA TUSI HAPO?shida naiona kwako, matusi ya nini sasa?
Una constructive argument, lakini hili la kujipigia kura ni obvious, rigged hakuna ubishikujipigia kura una maana gani?
Pole Pole factor, Malisa Factor, Utekaji, uuaji, mass disappearance?Huhitaji akili kubwa kuona mahusiano ya maandamano na no reform no election. Labda tujizibe macho
SWALI LINABAKI,KATI YA VIJANA NA SAMIA NA MASHETANI WENZAKE,NANI ALIHARIBU UCHAGUZI?Una constructive argument, lakini hili la kujipigia kura ni obvious, rigged hakuna ubishi
Mwenye agenda ni nani kati ya hao?Pole Pole factor, Malisa Factor, Utekaji, uuaji, mass disappearance?
Kwa nini usione kuwa wote waliungana na hoja ikawa ya Kitaifa, ikawa CCM Vs Community?Mwenye agenda ni nani kati ya hao?
Kwangu hao wengine walitafuta kundi la kusaidia kuweka pressure ktk yale wasio ridhika nayo ktk chama chao.
Inabidi tupate ushahidi wa hilo, mimi naona hata walio fanya fujo ni sehemu ndogo sana ya Watz, yaani imetosha kwa sehemu ya wafuasi wa CDM kufanya fujo kwa kiasi kile.Kwa nini usione kuwa wote waliungana na hoja ikawa ya Kitaifa, ikawa CCM Vs Community?
Je, uliona misululu ya wapiga kura kainisha 98% landslide? Noana huongelei yote uliyoyaona, nakubali kua point ya timing kuanza hayo maendeleo, je huoni kuwa CCM wengi ambao hawakuridhika ndiyo walianza? Mi taarifa ya kwanza kuiona ilikuwa kwenye wafuasi wa Gwajima ambao wengi walikua CCM. Hapa argument <Truth Vs Loyalty> naona hupendi kusikia kuwa wananchi wamechoka CCM, which is real and TRUE. Ethical dilemmaInabidi tupate ushahidi wa hilo, mimi naona hata walio fanya fujo ni sehemu ndogo sana ya Watz, yaani imetosha kwa sehemu ya wafuasi wa CDM kufanya fujo kwa kiasi kile.
Mimi nilicho ona tareh 29, mpaka kufikia saa sita hakukuwa na maandamano ! Hilo huoni lina ujumbe fulani? Maandamano yalianza baada ya upande wa CDM/wanaharakati kupush watu haiwezkani tutoke.
ACHA MAJIBU YA HIVI,
JIBU LENYE USHAHIDI NI MUHIMU,
KUNA MTU ALIUWAWA NA KIJANA YOYOTE?
NA HAO WANAOUWAWA,KUNA USHAHIDI GANI WALIHUSIKA NA MAANDAMANO AU MAUAJI?
Naona umefanya assumption kuhusu mimiJe, uliona misululu ya wapiga kura kainisha 98% landslide? Noana huongelei yote uliyoyaona, nakubali kua point ya timing kuanza hayo maendeleo, je huoni kuwa CCM wengi ambao hawakuridhika ndiyo walianza? Mi taarifa ya kwanza kuiona ilikuwa kwenye wafuasi wa Gwajima ambao wengi walikua CCM. Hapa argument <Truth Vs Loyalty> naona hupendi kusikia kuwa wananchi wamechoka CCM, which is real and TRUE. Ethical dilemma
Lakini umeona sasa na kupata jibu la swali lako sio? Pia kuna taarifa za taasisi kama UN zikiwa na similar report.K
HAYA,LETA NA ZILE VIDEOS WASIMAMIZI WA UCHAGUZI WAKIWA WANATIKI,
HALAFU,ULETE NA VIDEOS VIJANA WAKIANDAMANA HAWATAKI HAYO MAMBO.
THEN WEKA HITIMISHO,NANI AMEHARIBU UCHAGUZI.
Mtu anatoa alichonacho.PUMBAVU.
Naogopa sasa hivi kuna watu itakuwa ni mwendo wa mahakamani, jela na vituo vya polisi.1. Kipi kilianza kwanza kuchoma mali au victimization, hiyo ni consequence iliyosababishwa na watawala, huwezi kuwa na nchi inayotalawa watu wenye njaa na ikawa na amani. Hii nchi ni stable miaka yote 70 baada ya uhuru, lakini ndiyo among masikini duniani. Unemployment above 50%; hiyo ni mijini tu, huko shambani wala serikali hii haijui wananchi wanakula nini. Yule Waziri wa Foreign Affairs anaulizwa swali wamekufa wangapi anasema hata yeye hajui, yaani hii nchi watawala hawajui kazi yao, JK aliulizwa na mwandishi wa Ufaransa kwa Nini Africa haijaendelea hadi leo na Asia kote kushaendelea? Akajibu hata yeye hajui. Usiwalaumu victims, hawa ni victim wa System ya CAUSE, na unayoona hii ndiyo EFFECT, Cause and Effect; Consequences za uzembe, corruption, negligence, nepotism na kuchezea resources kwa CCM na ubinafsi. Usipojenga ufa utajenga ukuta.
2. Msianze kuleta mambo ya Chadema hapa, haya maandamno siyo ya Chadema, haya maandamano yanahusu CCM, pia na wananchi wote ambao hawakubali mambo ya CCM, Polepole ni CCM, Dr Malisa ni CCM, na ahakuna aimpact kubwa iliyofanya watu wengi wajue kuhusu wahuni kama alivyofanya Polepole, in matter of fact, NRE ni moja tu ya catalyst lakini siyo kila kitu. CCM wengi wamegushwa sana na haya maandamano ile nyie die hard hamuwezi kuelewa, kwa sababu mnanufaika. Utekaji, disapperances, uuaji na Rais anakaa kmya unafikiri wanaona ni Chadema tu? Hata wasio CCM wanaona.
3. Yule Rais wa Madagascar kweli hakupenda watu wake wafe, hata maRais wengi wa Asia au Europe hata South America hawapendi watu wao wafe kwa sababu wakiona mambo kama hivi wanapisha njia, ili kuokoa maisha ya wenzao na wananchi. Ni mijitu ya mieusi tu ya Afrika ambayo hugeuza nchi kama mali zao. Angali Haiti ingawa ipo Western sphere ndiyo hutokea yanayotokea huku kwetu, nchi peke yake Western Hemisphere, halafu Papua New Guinea- speaks a lot.