SeliSelina
JF-Expert Member
- Jun 27, 2014
- 419
- 902
SAWASAWAUnayajua mapinduzi ya Zanzibar?
Nani alifosi muungano?
Huwezi kutumia njia zilizoshindwa katika kuleta ushindi na maelewano.
Wazanzibari kila kwenye uchaguzi wa vyama vingi kwao ilikuwa ni watu kufa na wengi ni wa vyama vya upinzani na mbaya zaidi wanajeshi wa bara ndiyo hupelekwa kutenda hayo. Leo tumeanza sisi huku bara wenzetu wapo shwari.
Tujifunze kuheshimu mamlaka na ikiwa tunataka kudai haki basi tutumie njia ambazo hazitasababisha uvunjifu wa amani.
Tanzania ni yetu sote sisi watanzania.
WATU ZAIDI YA ELFU WALIKIMBIA 2001 KWA KUHOFIA KUUAWA, MAANA WENGI WALIULIWA NA KUNAJISIWA ZANZIBAR NA KUTIWA NDANI.
HIVI NYIE WATANGANYIKA HAYA MAMBO MLIKUWA HAMYAJUI AU MLIYAPUUZA.
SAMIA SIO MWENYE NCHI, PALE KAWEKWA KAPIKWA KAPIKIKA, HANA UWEZO WA KUAMUA YEYE UA CHINJA VURUGA HAPANA.
Mauaji ya WANANCHI YAPO TOKA NYERERE , MPAKA SAIVI.
SYTEM SAMIA KAIKUTA YA MAUAJI NA MATEKAJI AMBAYO NI KAZI YAO CCM HIYO, KWA HIVYO HATA AKIONDOKA HAYA YATAENDELEA TUU SIO SAMIA MUUAJI MSIJIZIME DATA NDUGU ZETU, M. MKAPA KAUA WANGAOI, MAGUFULI. WANGAPI KIKWETE WANGAPI NYERERE HEBU FANYENI TATHMINI MSIJIZIME DATA SOMENI