SeliSelina
JF-Expert Member
- Jun 27, 2014
- 419
- 902
SAWASAWAUnayajua mapinduzi ya Zanzibar?
Nani alifosi muungano?
Huwezi kutumia njia zilizoshindwa katika kuleta ushindi na maelewano.
Wazanzibari kila kwenye uchaguzi wa vyama vingi kwao ilikuwa ni watu kufa na wengi ni wa vyama vya upinzani na mbaya zaidi wanajeshi wa bara ndiyo hupelekwa kutenda hayo. Leo tumeanza sisi huku bara wenzetu wapo shwari.
Tujifunze kuheshimu mamlaka na ikiwa tunataka kudai haki basi tutumie njia ambazo hazitasababisha uvunjifu wa amani.
Tanzania ni yetu sote sisi watanzania.
Kuchoma mwendokasi na kuchoma vituo vya mafuta na vyombo vya usafiri it was wrong!1. Kipi kilianza kwanza kuchoma mali au victimization, hiyo ni consequence iliyosababishwa na watawala, huwezi kuwa na nchi inayotalawa watu wenye njaa na ikawa na amani
Likitokea hilo la kutochoma na vurugu kisha walio itisha maandamano wakafuruhi na kuona wamefanikiwa, nitakupatia laki moja kamili.Kuchoma mwendokasi na kuchoma vituo vya mafuta na vyombo vya usafiri it was wrong!
Maandamano yajayo yawe well organised.
Ziko namna za kulazimisha jambo bila kuchoma miindimbinu.Likitokea hilo la kutochoma na vurugu kisha walio itisha maandamano wakafuruhi na kuona wamefanikiwa, nitakupatia laki moja
1. Kipi kilianza kwanza kuchoma mali au victimization, hiyo ni consequence iliyosababishwa na watawala, huwezi kuwa na nchi inayotalawa watu wenye njaa na ikawa na amani. Hii nchi ni stable miaka yote 70 baada ya uhuru, lakini ndiyo among masikini duniani. Unemployment above 50%; hiyo ni mijini tu, huko shambani wala serikali hii haijui wananchi wanakula nini. Yule Waziri wa Foreign Affairs anaulizwa swali wamekufa wangapi anasema hata yeye hajui, yaani hii nchi watawala hawajui kazi yao, JK aliulizwa na mwandishi wa Ufaransa kwa Nini Africa haijaendelea hadi leo na Asia kote kushaendelea? Akajibu hata yeye hajui. Usiwalaumu victims, hawa ni victim wa System ya CAUSE, na unayoona hii ndiyo EFFECT, Cause and Effect; Consequences za uzembe, corruption, negligence, nepotism na kuchezea resources kwa CCM na ubinafsi. Usipojenga ufa utajenga ukuta.
2. Msianze kuleta mambo ya Chadema hapa, haya maandamno siyo ya Chadema, haya maandamano yanahusu CCM, pia na wananchi wote ambao hawakubali mambo ya CCM, Polepole ni CCM, Dr Malisa ni CCM, na ahakuna aimpact kubwa iliyofanya watu wengi wajue kuhusu wahuni kama alivyofanya Polepole, in matter of fact, NRE ni moja tu ya catalyst lakini siyo kila kitu. CCM wengi wamegushwa sana na haya maandamano ile nyie die hard hamuwezi kuelewa, kwa sababu mnanufaika. Utekaji, disapperances, uuaji na Rais anakaa kmya unafikiri wanaona ni Chadema tu? Hata wasio CCM wanaona.
3. Yule Rais wa Madagascar kweli hakupenda watu wake wafe, hata maRais wengi wa Asia au Europe hata South America hawapendi watu wao wafe kwa sababu wakiona mambo kama hivi wanapisha njia, ili kuokoa maisha ya wenzao na wananchi. Ni mijitu ya mieusi tu ya Afrika ambayo hugeuza nchi kama mali zao. Angali Haiti ingawa ipo Western sphere ndiyo hutokea yanayotokea huku kwetu, nchi peke yake Western Hemisphere, halafu Papua New Guinea- speaks a lot.
Much appreciations for your insightful infos!!!1. Kipi kilianza kwanza kuchoma mali au victimization, hiyo ni consequence iliyosababishwa na watawala, huwezi kuwa na nchi inayotalawa watu wenye njaa na ikawa na amani. Hii nchi ni stable miaka yote 70 baada ya uhuru, lakini ndiyo among masikini duniani. Unemployment above 50%; hiyo ni mijini tu, huko shambani wala serikali hii haijui wananchi wanakula nini. Yule Waziri wa Foreign Affairs anaulizwa swali wamekufa wangapi anasema hata yeye hajui, yaani hii nchi watawala hawajui kazi yao, JK aliulizwa na mwandishi wa Ufaransa kwa Nini Africa haijaendelea hadi leo na Asia kote kushaendelea? Akajibu hata yeye hajui. Usiwalaumu victims, hawa ni victim wa System ya CAUSE, na unayoona hii ndiyo EFFECT, Cause and Effect; Consequences za uzembe, corruption, negligence, nepotism na kuchezea resources kwa CCM na ubinafsi. Usipojenga ufa utajenga ukuta.