Kwa uongeaji huu wa Moses Iyobo unaleta umashaka kwa mtoto wa kiume

Mpaka huruma, kama ni nyumba za kupanga huku uswazi kwetu ukipita nje unajua baba leo hayupo yupo mama na mtoto wake na house geli. tu
Na kwann mondi huwa hamuachi kila mahala
 
Mbona kawaida wakuu....

Hahaahaa..

Hali miogo mwenzenu..
 
Huyo mtoto ni wa former minister wa maliasili na utalii. Jina utajaza.

CC: warumi

Binamu mi bado nashangaa tu sauti na pozi la mose iyobo, aunty nae ujanja wake wote huu anaenda kubeba wanaume sampuli hii mmmh , hayo mapozi hata mm warumi sina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…