GIUSEPPE
JF-Expert Member
- Dec 31, 2011
- 5,239
- 6,225
Mpaka huruma, kama ni nyumba za kupanga huku uswazi kwetu ukipita nje unajua baba leo hayupo yupo mama na mtoto wake na house geli. tuNdani sasa mama baba mtoto sauti na mapozi sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka huruma, kama ni nyumba za kupanga huku uswazi kwetu ukipita nje unajua baba leo hayupo yupo mama na mtoto wake na house geli. tuNdani sasa mama baba mtoto sauti na mapozi sawa
Apo hakuna baba wala mamaNdani sasa mama baba mtoto sauti na mapozi sawa
Hahahah walizinguaYaani akina sudy ndio walikalishwa na huyo boya[emoji23][emoji23][emoji23]
Yani nimeshindwa hata kushangaa..., 😛😛😛😛Sauti, sura na umbo haviendani
Mleta uzi kama ni Me lazima utakuwa punga watu wanatwanga.mwanaume wa nguvu huwezi kuta anaongea hivi aisee hebu tanzama hiyo link mahojiano yake na bongo5
Laza Nyandu kama sikosei
Kimimba kiliingilia MarekaniLaza Nyandu kama sikosei