joely sandu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2017
- 1,962
- 1,818
Mbona duuh ndo ustar wenyew huo wa bongoDuuuhh
mwanaume wa nguvu huwezi kuta anaongea hivi aisee hebu tanzama hiyo link mahojiano yake na bongo5
Sauti za wanaume wa Dar hizo kubana puamwanaume wa nguvu huwezi kuta anaongea hivi aisee hebu tanzama hiyo link mahojiano yake na bongo5
Mbona hamuongelei jinsi alivyojibu vizuri maswali kwenye hayo mahojiano ukiachilia sauti laini. Ndo mara ya kwanza namsikia akiongea.
Hapana, huyo bwana anaonyesha kabisa ndivyo alivyozliwa.
Tukiri tu tuna Watu wasio tayari kuwakubali wenzao waliopungukiwa.
Mnateteana naona ili nayie watu wasiwashuku??Sijaona tatizo kwenye sauti wala chochote kile,,,huyu jamaa anawish kuja kuongea kistaa sana lakini anashindwa ni vipi awe na kastaili kake kakuongea kakizazi sana,,
Ulivoliongelea wew inatosha sana sie tunabaki na hoja je mwanaume kabsa anaweza kuwa na sauti na kuongea kwa mapozi vileMbona hamuongelei jinsi alivyojibu vizuri maswali kwenye hayo mahojiano ukiachilia sauti laini. Ndo mara ya kwanza namsikia akiongea.
Wewe ni wem sepetu nnHebu kuweni wastaarabu kuna wanaume wangapi wana sauti ndogo?? Tayari mnaconclude