Kwa uongeaji huu wa Moses Iyobo unaleta umashaka kwa mtoto wa kiume

Binadamu wanyama wa ajabu sana, kijana ameongea mambo ya maana hawayaoni ila wanaangalia madhaifu yake, binanamu ana hulka zake na mnyama ana silka zake. Tumekuwa wepesi kuhukumu sana, tunahitaji nusura.
 
Mweeh! Nimeshindwa kuangalia hiyo video... Yaani anabana sauti kama sio mwanaume aisee!
 
Kama mna m judge kwa sauti sio fair kabisa coz kuna sauti za tofauti na bado kuna wa Dada wana sauti nzito so sioni sauti wala aibu kama ni issue kubwa kwa mtu
 
Binadamu wanyama wa ajabu sana, kijana ameongea mambo ya maana hawayaoni ila wanaangalia madhaifu yake, binanamu ana hulka zake na mnyama ana silka zake. Tumekuwa wepesi kuhukumu sana, tunahitaji nusura.
Sio lazima wote tutazame sawa wewe tazama aliyoongea sie tunatazama tabia zake hizo za hovyo na muonekano wenye uwalakini
 
Wewe ni wem sepetu nn
mimi nilidhani utauliza mimi ndo moses Iyobo unauliza wema???? wema ndo nani kwenye hili swali mbona sioni uhusiano. Sauti ni sauti haibadilishi uanaume wako au uuke wako
 
Adabu tunazo hatujazisahau lakini kucha ya sauti pose pia linaleta utata.
kwani nimekwambia huna adabu bi dada??? ustaaarabu kitu cha bure kila mtu ana jinsi alivyo kimaumbile n.k mbona wapo wengi tuu wanaume wenye sauti hizo na ni wanaume kamili tuu. Mtajichumia dhambi kwa kudhani na kuhukumu
 
Ni sauti tu watu wana maumbile tofauti mwingine ana sauti ya zege mwingne sauti nyembamba.
nimependa ujibuji wake wa maswali
 
Astaghfirullahalazim jamaa sio punga..Muogopeni Allah
 
Mvulana wa dar, kama sijakosea nilisikia dogo anapumuliwa na nassib domo kama sio babu tale,
 
Ukimcheki unaweza ukadhani ana bonge la sauti kumbe duh,, jikaze wewe
Ila anawakilisha wanaume wa Dar
 
Daah!! Aisee kwa hii sauti inanitia Mashaka kabisa. Sidhani kama yupo sawa huyu kijana
 
Duuh mbona mda wote anajiramba ramba lips

Yaan huyu anatia mashaka kwa kwel
 
Huyu dogo wakati umefika sasa aache kumkatia mauono Diamond...utamkatiaje mauno mwanaume mwenzio?
 
Huyu jamaa ana sauti ya kiume kawaida ila kutokana na nut kulegea sauti nayo akaamua kulegeza, variation ya sauti 1:26-1:44 inasikitisha sana
Aunt anamcontrol huyu jamaa kila kitu Iyobo hakoromi, aunt tunayemjua ni mkorofi. Maskini wanaume wa Dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…