Kwa Uongozi Huu Vyombo Vya Dora Vitumie Busala kama Mahakama Ilivyofanya.

Edogan

Member
Joined
May 19, 2024
Posts
39
Reaction score
63
Mkiendekeza maagizo ya wanasiasa na ushauli kama ule wa Sheihk mkuu kwenye sikukuu ya Idd uliofatiwa na kukamatwa kwa Lissu na Kushambuliwa kwa Katibu wa tec Fr Kitima, mtaua wengi mpaka tunaingia kwenye uchaguzi mkuu kwani sioni hekima ya kiongozi mkuu katika kipindi hiki kigumu kwa taifa letu, amebakia anaongea kama anajazba katika kadhia hii, Nivema Vyombo vyausalama vimshauli kua haiwezekani kuua kila anae mpinga kama ambavyo Mahakama ilivyoonyesha kua haiwezekani kwa kesi ya Lissu kusikilizwa akiwa Mahabusu kama ambavyo selikali Ilitaka.
 
Acha tuuliwe wote wabakie wao wakaishi Guantanamo.....
 
We umeenda shule kweli. Yaani hujui kabisa wapi utumie r na wapi utumie l
 
Back
Top Bottom