Are you feeling alright bro?Tule matunda ili kuepuka hali mbaya ambayo inatokea baada ya kwenda msalani..
Acha tuuliwe wote wabakie wao wakaishi Guantanamo.....Mkiendekeza maagizo ya wanasiasa na ushauli kama ule wa Sheihk mkuu kwenye sikukuu ya Idd uliofatiwa na kukamatwa kwa Lissu na Kushambuliwa kwa Katibu wa tec Fr Kitima, mtaua wengi mpaka tunaingia kwenye uchaguzi mkuu kwani sioni hekima ya kiongozi mkuu katika kipindi hiki kigumu kwa taifa letu, amebakia anaongea kama anajazba katika kadhia hii, Nivema Vyombo vyausalama vimshauli kua haiwezekani kuua kila anae mpinga kama ambavyo Mahakama ilivyoonyesha kua haiwezekani kwa kesi ya Lissu kusikilizwa akiwa Mahabusu kama ambavyo selikali Ilitaka.
Am goodAre you feeling alright bro?
We umeenda shule kweli. Yaani hujui kabisa wapi utumie r na wapi utumie lMkiendekeza maagizo ya wanasiasa na ushauli kama ule wa Sheihk mkuu kwenye sikukuu ya Idd uliofatiwa na kukamatwa kwa Lissu na Kushambuliwa kwa Katibu wa tec Fr Kitima, mtaua wengi mpaka tunaingia kwenye uchaguzi mkuu kwani sioni hekima ya kiongozi mkuu katika kipindi hiki kigumu kwa taifa letu, amebakia anaongea kama anajazba katika kadhia hii, Nivema Vyombo vyausalama vimshauli kua haiwezekani kuua kila anae mpinga kama ambavyo Mahakama ilivyoonyesha kua haiwezekani kwa kesi ya Lissu kusikilizwa akiwa Mahabusu kama ambavyo selikali Ilitaka.
Zile zinamsaidia kupunguza stress na kupendwa zaidi na Wananchi wapenda komedi😄Ndio maan huyu Maza ana penda show za comedy sana kuliko kusikiliza kero za wana nchi wake
Kwa sababu zinamsaidia kupunguza stress na kupendwa zaidi na Wananchi wapenda komedi 😄Ndio maan huyu Maza ana penda show za comedy sana kuliko kusikiliza kero za wana nchi wake