Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,911
- 28,469
Tafuta pesa ngoma za matajiri hizo kijana sio amapianoHizo ngoma sijazisikiliza Ila n mzuri sana, hasa hy ngoma ya tano hapo ni balaaaaaaaaaaaaaah
Bane ni wimbo mkubwa sana kwa Oliver na umeuza sana album yakeNgoma ya kwanza,Bane inanikumbusha nilipokuwa mtoto in middle 90's, so powerful
Niajiri nipate utajiri bossTafuta pesa ngoma za matajiri hizo kijana sio amapiano
Yes ni Nge zouk moja safi sana hiyo nadhani ilikuwa kwenye album yake ya piliOliver N'goma, kuna ngoma yake inaitwa Nge sijui jina nimepatia, hii ngoma niliwahi irudia yenyewe tu 🔂 nilitoka mbeya hadi Dar bila kubadili, siku nzima
Alphonsine imetulia sana zilitengenezwa na producer wake Manu Lima naskia walikuja kugombanaHalafu Kuna wimbo wake unaitwa Alphonsine, ulikuwa moto sana.
Alphonsine imetulia sana zilitengenezwa na producer wake Manu LimassolHalafu Kuna wimbo wake unaitwa Alphonsine, ulikuwa moto sana.
Hata nazo hizi zipo sawa ila Monique Seka hana hits nyingi kama Oliver halafu wote hawa producer wao alikuwa huyo Mr Manu limaKamsikilize Monique seka, Ngoma Kama okaman, missounwa, adeba.
.
SanaMziki mzuri unadumu
Kiukweli kwa sasa hakuna muziki natamani ningezaliwa zamani sana hakika ningepata radha halisi ya muzikiHizi ngoma ukizisikiliza unatamani uishi milele
Mkuu unamjua madilu system?Kwa zouk Oliver Ngoma anaongoza kisha anafuata Monique Seka ila kwa upande wa rhumba hakuna wa kumfikia Ferre Gola 'le padre'