Kwa upande wa TV, Wasafi wanajitahidi

Kwa upande wa TV, Wasafi wanajitahidi

Nilitazama kidogo sijui wivu ukanijaa sijui nini, ghafla nikafukuza watoto wakalale... basi najuta naahidi kuwa mpenzi mtazamaji.
 
Jana nimebahatika kutazama kipindi cha Big Sunday Live kinachoongozwa na Lil Ommy. Nikiri wazi kuwa nimependa show yake, kuanzia ukumbi wamejitahidi sana maana hadi magari bajaji bodaboda zinazama mpaka kwa stage.

Pia kina segments nyingi za kuvutia ikiwemo vichekesho, michezo, performance toka kwa wasanii mbalimbali.

Kilichonifurahisha zaidi ukumbi mkubwa msanii unaanza kumuona anaperform toka uko back stage mpaka anaingia stage.

Nahisi picha yao ni kutengeneza vitu kama vya mastage ya mbele japo bado hawajafika ila naona ndoto yao imeanza.
Kwakweli big up kwa hilo.
Sio wanajitahidi.

Wanaweza.
 
Wasafi Tv vipindi ambavyo huwa navipenda ni
1. Refresh
2. Tamthilia yao ya ISABELLA

nilikuwa napenda na THE BAR TENDER, Huyu Lil Ommy sijawahi muelewa hata siku moja ajawahi kuni Impress kabisa interview zake sijawahi enjoy kabisa.
 
Yaani umuelewi lil ommy? Mzee nazani utakuwa Kuna vitu unawaza kichwani than kazi nzuri ya lil ommy
 
Basi wewe ujui presenters wazuri mtu mpaka akapata tuzo ya Afrimma ya best presenter alafu unasema umuelewi Ebu tujuze sababu gani inakufanya usimuelewe?
😆 😆 😆 😆 unaweza kuniambia Afrimma walitumia vigezo gani kupick hao presenters waliokuwa nominees kushindana na Lil ommy alafu tuzo ni muda mwengine zinakuwaga fitina tu kuna watu hawana Tuzo lakini niwakali sana sijui kama unalijua hili?
 
Remember that Afrimma sio wabongo kule Kuna wazungu,Wanigeria na wasouth Africa. Sasa fitna imetumikaje? Alafu pia kumbuka lil ommy katokea kwenye media ndogo( Time FM) so jiulize wamemuonaje?Tuje kwenye swali la msingi kipi kinakufanya usimuelewe?
 
Back
Top Bottom