Kwa upande wa TV, Wasafi wanajitahidi

Kwa upande wa TV, Wasafi wanajitahidi

Watangazaji wengi wa tv na radio huko ni watu wa kuigana kwa kila kitu hata Tv zetu nyingi ubunifu zero, wanaigan karibia kila kitu. Acha twende hivyo hivyo.
mzee wangu hapa ndio umemaliza kila kitu nimekuelewa vizuri sana.
 
Huwezi kunilazimisha nimuelewe kwangu hana swagger za kunivutia hana hata misemo vionjo ya kunogesha interview zake kazi ni yo yo mara kwenye dk fulani kwenye nyimbo yako ulisema hivi vitu ni vile vile kila siku kwangu ni bora ni mchukue Jonijoo Baba akooo anajua kucheza na lugha na anaweza kumfanyia interview hata padre sio huyo watu wa wake ni watasinia moja tu alafu hajui vitu vingi kama Jonijoo nakuambia Jonijoo mlete mtu yeyeote yule yupo vizuri hata mwanasiasa ataishi naye yule sasa ndio unaweza sema ni Presenter sio huyo lil ommy wako.

Sasa naweza kukisia umri wako!

Sio dhambi kuwa na timu au kuchagua ‘watu’ wako, ila kumweka mmoja juu sio kumshusha mwingine.... itoshe tu kusema hao ni watu wawili tofauti.

Unamkubali Baba Ako, huhitaji kumpondea Lil Ommy.... chagua unachotaka kisha usiharibu kinachobaki mezani.

Kaa humo twenzetu mjini, siku hizi wanatujua.... ni hivyo yaani kizazi.
 
Bango nikubwa, tukae humo mitaa imetulea.... kizazi jeuri.. plat number A chafu.
 
Niliwahi kuvifurahia hivyo vionjo vyake, ila baadae viligeuka kero kwangu hasa vinaporudiwa kila mara.... ni vya kivulana sana.

I’m too old for this!
Lakini ukiachana na hivyo vionjo Kubali kwanza kuwa Jonijoo anaweza kumfanyia interview mtu wa siasa,dini,burudani (michezo,muziki,movie)nk.. ambapo ni tofauti na Lil ommy yupo upande wa muziki tu?
 
Lakini ukiachana na hivyo vionjo Kubali kwanza kuwa Jonijoo anaweza kumfanyia interview mtu wa siasa,dini,burudani (michezo,muziki,movie)nk.. ambapo ni tofauti na Lil ommy yupo upande wa muziki tu?

Jonijoo umemleta wewe tu, kwenye huu uzi hahusiki hata kidogo.... umekuja kufanya fujo za ‘ulinganifu’ na tayari una majibu yako.

Tukitaja presenters wakali/wazuri, sio kwamba ‘standard’ yetu itakuwa Jonijoo... na hata kama kweli ni mkali basi sio lazima tulinganishe wawili hawa tu.

“Idols become rivals”.
 
Chid Benz tu ndo kauwa Jan
Anjitaid kurud kwnye gemu performance yake ilkuw nzur San
 
Wasafi Tv vipindi ambavyo huwa navipenda ni
1. Refresh
2. Tamthilia yao ya ISABELLA

nilikuwa napenda na THE BAR TENDER, Huyu Lil Ommy sijawahi muelewa hata siku moja ajawahi kuni Impress kabisa interview zake sijawahi enjoy kabisa.

Nikajua mimi tu kumbe tuko wengi
 
Jonijoo umemleta wewe tu, kwenye huu uzi hahusiki hata kidogo.... umekuja kufanya fujo za ‘ulinganifu’ na tayari una majibu yako.

Tukitaja presenters wakali/wazuri, sio kwamba ‘standard’ yetu itakuwa Jonijoo... na hata kama kweli ni mkali basi sio lazima tulinganishe wawili hawa tu.

“Idols become rivals”.
nimeipenda hiyo sentence ya mwisho "Idols become rivals"
 
Tatizo hapo ni kumaintain , inabd waumize kichwa hasa ili kipindi kiwe hai angalau Kwa miongo miwili
 
Back
Top Bottom