Kwa upande wa TV, Wasafi wanajitahidi

Kwa upande wa TV, Wasafi wanajitahidi

Huwezi kunilazimisha nimuelewe kwangu hana swagger za kunivutia hana hata misemo vionjo ya kunogesha interview zake kazi ni yo yo mara kwenye dk fulani kwenye nyimbo yako ulisema hivi vitu ni vile vile kila siku kwangu ni bora ni mchukue Jonijoo Baba akooo anajua kucheza na lugha na anaweza kumfanyia interview hata padre sio huyo watu wa wake ni watasinia moja tu alafu hajui vitu vingi kama Jonijoo nakuambia Jonijoo mlete mtu yeyeote yule yupo vizuri hata mwanasiasa ataishi naye yule sasa ndio unaweza sema ni Presenter sio huyo lil ommy wako.
I Agree 100%
 
Jana nimebahatika kutazama kipindi cha Big Sunday Live kinachoongozwa na Lil Ommy. Nikiri wazi kuwa nimependa show yake, kuanzia ukumbi wamejitahidi sana maana hadi magari bajaji bodaboda zinazama mpaka kwa stage.

Pia kina segments nyingi za kuvutia ikiwemo vichekesho, michezo, performance toka kwa wasanii mbalimbali.

Kilichonifurahisha zaidi ukumbi mkubwa msanii unaanza kumuona anaperform toka uko back stage mpaka anaingia stage.

Nahisi picha yao ni kutengeneza vitu kama vya mastage ya mbele japo bado hawajafika ila naona ndoto yao imeanza.
Kwakweli big up kwa hilo.
BIG YES
 
Back
Top Bottom