Kwa upepo Tundu Lissu anaowajaza wananchi, bila uchaguzi huru na haki 2025 tutarajie mazito

Alikuwepo Lowassa kabla ya omba omba Lisu.

Yaani mtu achague hewa badala ya mtu?
 
..Ccm wamejisahau kabisa.

..wamelewa madaraka na kuwatelekeza wananchi.

..chama kimebakia na wateule wa Rais na genge lake la macha.

..wasiokuwepo ktk makundi hayo wanataabika kwa hali ngumu ya maisha.
Endeleeni na ujinga wenu,CCM ya wapi hiyo iliyojisahau? Hakuna kipindi ccm wana uhakika wa kushinda kama. Sasa hivi achana na hizo maigizo mnaita nyomi.
 
Changamoto nyingine ni mawakala wa vyama vya siasa wanakuwa hawana hata hela ya kula akipewa elfu 50 anaachia goli bure
 
Lissu hawajazi chochote wananchi, anawakumbusha tu wajibu na haki zao.

Hili la kuwatoa ujinga wananchi na kuwapa elimu ya uraia linawaudhi na kuwakera CCM na serikali yao sana wanapolisikia...

Si ajabu vikao vinaendelea Lumumba kutafuta vifungu vya sheria vya kumshitaki TL kwa kosa la "uchochezi..."

Cha kushangaza ni CCM kutojua kuwa kila neno litokalo kwenye kinywa cha Tundu Lissu linakuwa limepimwa ktk mizani ya kisheria kwanza...

Huyu ni kama Yesu Kristo. Walikuwa wanatafuta atajikwaa kwa namna gani ktk maneno yake ili wapate sababu ya kumshitaki. Hawakuweza kumpata...

Ndivyo ilivyo kwa Tundu Lissu tangu miaka hiyo hadi leo, huwezi kumnasa kwenye mitego ya kisheria kupitia "maneno yake" unless otherwise umsingizie tu au uamue kwa makusudi kutumia mabavu ili kumuumiza...!
 
Tanzanians are not fools,they know it better
Ccm wanafikiri watawala kwa mikwara kama ya mwendazake. Ile ya kusema nikupe v8 nikulipe mshahara halafu umtangaze mpizani kushinda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…