Kwa upuuzi wa Viongozi wa Simba. Yanga inajipenyeza na kuchukua kilakitu alichokipigania Mo kwa Miaka mingi

Baada ya malalamiko unapendekeza kipi kifanyike ili kuweka mambo sawa?
Simba isahihishe kila ilipokosea kwa haki. Kama mchezaji anamadai ya haki alipwe. Kama waliahidiwa zawadi walipwe. Gawio la ofa za ushindi liwe kwa benchi la ufundi na wachezaji pekee tena 20 kwa 80 persent.

kila kitu kitakuwa sawa. Simba hii wakiwa wamoja na kocha akaunganisha wachezaji tunaweza kulipokea clabu bingwa Africa msimu huu bila kusajili mchezaji ata moja.
 
Tusitafute mku
Kwani si tulikubaliana kwa kauli moja ya kwamba Chama ni mdogo kuliko timu! Mbona kama tumeanza kugeukana tena!!
tusitafute mkubwa wala mdogo. Chama bila simba hakuna mtu hapo Ndio maana nje ya Simba chama sio chochote na Simba wanamtegemea sana chama kama akiwekwa sawa kisaikolojia ni roho ya timu.
 
Sio hoja kaka. Nje ya migogoro ya kijinga Simba ingeweza kuchukua ata champion league msimu huu huu bila kuongeza mchezaji ata moja tu iwapo manula atakuwa sawa.
 
Zimbwe
Kapombe
Wana umri gan?
 
Acheni upuuzi wenu. Ninyi ndio chanzo cha pressure kwa wachezaji na viongozi. Kwani Simba ina shida gani kwa sasa. Mbona iko vizuri tu. Au maumivu yenu ni kwa kuwa yanga ameonekana bora ktk misimu miwili? Mbona Simba kawa mzuri kwa miaka mitano mfululizo na hamsemi? Eleweni katika mpira kuna peak times na kuna kudrop, hiyo ni kawaida. Angalia vilabu vya Ulaya kama Manu, Liverpool, Chelsea Barcelona, Ac Milan, Inter Milan, PSG na vinginevyo. Kuna kipindi vinakuwa kwenye peak na kuna kipindi vinashuka. Tatizo ji ninyi mashabiki mwendokasi mliozaliwa kuanzia miaka ya elfu mbili hivi. Kelele nyingi huku hamchangii chochote katika uendeshaji wa timu. Who is Chama? Yeye amekuwa Mungu? Mbona Yanga iliachana na Saido, Bangala na Shaban Djuma. Si iipo na inadunda tu? Acheni upuuzi.
 
Sio hoja kaka. Nje ya migogoro ya kijinga Simba ingeweza kuchukua ata champion league msimu huu huu bila kuongeza mchezaji ata moja tu iwapo manula atakuwa sawa.
Wewe sio Shabiki wa kawaida bali shabiki mwendokasi. Kama unataka timu ya kuchukua makombe miaka yote unda timu yako kisha usajili malaika wacheze. Acha kuleta vipressure uchwara bhana.
 
Sasa kama ni hivyo nini maana ya kutumia pesa nyingi kusajili tena wachezaji wakati waliopo wanakidhi viwango japo ni wazee.
 
Inonga na Chama out, hawa wanahujumu timu.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Simba ni next level mzee.....haiendeshwi na propaganda za mitandaoni...hivyo mnavyovisikia havina madhara..
 
Haya, hebu angalia upande wa pili
mwekezaji sio tapeli
mwenyekiti yupo
coach hapangiwi kikosi, ndio maana hata siku ya Ihefu alijiamulia kufanya rotation mwenyewe
wasemaji wapo smart, hawaongei hovyo
usajili mzuri wa akina Konkoni na Gift Fred
 
Baada ya malalamiko unapendekeza kipi kifanyike ili kuweka mambo sawa?
kitafutwe chanzo cha tatizo ndani ya simba. Kitatuliwe.
Uongozi uhakikishe hakuna mchezaji mwenye madai, hakuna ubaguzi, ofa na malupurupu yarudi. Mo hawezi shindwa lipa wachezaji.

Mfumo wa uongozi upunguzwe. Upunguze walaji. Timu sio jeshi. Morali inatakiwa kujengwa morali na sio vitisho.

Ila tunakoelekea Simba inaweza isishiriki kabisa klabu bingwa mwakani. Azam wanakuja moto sana
 
Mzamiru ana ngapi mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…