William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
- Thread starter
- #21
Simba isahihishe kila ilipokosea kwa haki. Kama mchezaji anamadai ya haki alipwe. Kama waliahidiwa zawadi walipwe. Gawio la ofa za ushindi liwe kwa benchi la ufundi na wachezaji pekee tena 20 kwa 80 persent.Baada ya malalamiko unapendekeza kipi kifanyike ili kuweka mambo sawa?
kila kitu kitakuwa sawa. Simba hii wakiwa wamoja na kocha akaunganisha wachezaji tunaweza kulipokea clabu bingwa Africa msimu huu bila kusajili mchezaji ata moja.