Ilitakiwa IGP wasasa ndiye atoe mapendekezo ya nani anafaa kurithi mikoba yake,sasa kama unavyojua,Sirro na mama kama haziivi,hasa ukirejea ile hali iliyokua imekithiri ya kurushiana maneno kipindi flani,mama akilishutumu jeshi la polisi kutofanya kazi yake vyema.Hapo subirini tu itakavyompendeza mama na watu wake wanaompa information mbalimbali.Kwanza ninavyojua kwa hali iliyopo,hata Sirro akiwa anastaafu,atamuaga kimyakimya tena kwa barua,na siyo uso kwa uso,mama atakuta barua mezani,imewekwa na msaidizi wake,tofauti na Mabeyo alivyofanya.