Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio IGP ajaye huyo, umejuaje!Habari za asubuhi wana JF wenzangu.
Ndugu zang baada ya kufuatilia kwa makini utendaji wa kazi unaofanywa na jeshi la polisi, pamoja na mbinu mbalimbali zinazotumiwa na makanda wa jeshi hilo katika jitihada za kupambana na uhalifu nchini, hasa kwa mkoa wenye uhalifu mwingi kama Dar es Salaam.
Kwa kweli nilikuwa nashauri kwamba ikitokea IGP Simon Sirro amemaliza muda wake wa utumishi katika jeshi hilo kwa mujibu wa sheria, basi ikimpendeza Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mama Samia Suluhu Hassan amteuwe kamanda Jummane Muliro kuwa IGP mpya wa jeshi hilo, ili kushika nafasi itakayoachwa na Sirro.
Huyu kamanda amekuwa akipambana na uhalifu kwa njia zote za kijeshi, na mapambano yake huwa yanaleta ahueni kwa wananchi. Kamanda Muliro ni mwiba mkali kwa wahalifu wa aina zote nchini, na kamwe hajawahi kushindwa na wahalifu.
Nawasilisha mawazo huru.
Nani kakuambia, yaani majesh yote wakuu wao wawe wa Imani moja, kingine Muliro anafaa zaidi, Hana masiala kabisa!Camilius Wambura ndo IGP ajae
Tunzen hii comment
Nani kakuambia sirro na mama hawaivi, aisee watu mnaweza majunguIlitakiwa IGP wasasa ndiye atoe mapendekezo ya nani anafaa kurithi mikoba yake,sasa kama unavyojua,Sirro na mama kama haziivi,hasa ukirejea ile hali iliyokua imekithiri ya kurushiana maneno kipindi flani,mama akilishutumu jeshi la polisi kutofanya kazi yake vyema.Hapo subirini tu itakavyompendeza mama na watu wake wanaompa information mbalimbali.Kwanza ninavyojua kwa hali iliyopo,hata Sirro akiwa anastaafu,atamuaga kimyakimya tena kwa barua,na siyo uso kwa uso,mama atakuta barua mezani,imewekwa na msaidizi wake,tofauti na Mabeyo alivyofanya.
Hajui huyo kilazaAmemuuwa nani tena mkuu? Afu kazi ya polisi sometimes ni lazima uuwe, maana usipouwa basi utauwawa wewe. Haujawahi kukumbana na majambazi mkuu ukajitetea kuokoa uhai wako?
Mkuu ww unapinga kwa sababu zako binafsi tu, lkn nina amini ukweli unaujua kwamba Siro pale hana balance yoyote ya kuzui kimbunga cha raisi kama raisi anaamua kufanya vile. Ni kwa sababu historia inaonesha kuwa maraisi wote wa Pwani sio watu wa kupanic au kuchukua hatua kwa mambo madogo madogo. Wakati wa utawala wa mzee Mwinyi, kuna kiongozi fulani wa wanafunzi katika chuo kikuu cha Dar es salaam (jina kapuni) alichoraga picha na kuandika maneno machafu ya kumdhihaki na kumdhalilisha raisi. Baada ya habari kufika katika vyombo husika, kijana yule akawekwa katika mikono ya wana usalama, kwa lengo la aidha akanyee debe kwa muda usiojulikana au pengine angepotezwa kabisa kwa kitendo chake kile cha kuchora picha ya kumdhalilisha raisi mbele ya wananchi wake, wake zake, watoto wake na familia yake kwa ujumla. Lkn cha kushangaza Mwinyi alipopata taarifa kuwa kijana amekamatwa, aliagiza muda huo huo kuwa kijana aachiwe na kwamb asiadhibiwe wala kunyanyaswa kwa namna yoyote ile. Sasa jenga picha kama kijana yule angechora picha ile wakati wa utawala wa Nyerere, Mkapa au Magufuli? Maana hata kikwete alikuwa anatukanwa na kuitwa dhaifu na watu wa kawaida tu kama kina Lema ambao hawakuwahi kupitia hata usungusungu? Je na yeye Kikwete alipowaacha kina Lema waendelee kumwita majina yale alikuwa anamuogopa nani? Mwinyi nae alipoamua kwa utu wake kumsamehe yule mwanafunzi aliemchora, pamoja na kumsamehe na yule mungine aliempiga kofi msikitini pia alikuwa anamuogopa nani? Mambo mengine ni lazima ujue historia ya mtu fulani na maamuzi yake. Watu wa Pwani hata sio watu wa kupenda kutumia nguvu walizonazo kimadaraka dhidi ya wengine hata pale ambapo sometimes angekuwa na uwezo wa kufanya hivyo. Mdude Nyagali alipoachiwa baada ya siku kadhaa akaanza kejeli sijui "mwambieni huyo mama yenu nitamnyoa kwa wembe ule ule niliomnyolea mtangulizi wake" Je raisi alichukua hatua yoyote dhidi yake? Si mpaka leo yupo mtaani anaendelea na shughuli zake. Ukisoma post #58 utaelewa tu mkuu. Nguvu anazo na uwezo anao lkn hawezi kuzitumia kwa mambo ya kipuuzi kama hayo. Ila akiguswa jichoni ndo ataonesha rangi yake halisi. Raisi ni cheo kikubwa sana, kama utaanza kuwahukumu watu kwa mambo madogo madogo kama hayo, basi utafunga nchi nzima.Wewe unaongea usilolijua.
Laiti ingekuwa hivyo Samia asingekuwa anfokewa na kugombezwa na sirro kama mtoto mdogo.
How can you seek advice from an incompetent person?Ilitakiwa IGP wasasa ndiye atoe mapendekezo ya nani anafaa kurithi mikoba yake,sasa kama unavyojua,Sirro na mama kama haziivi,hasa ukirejea ile hali iliyokua imekithiri ya kurushiana maneno kipindi flani,mama akilishutumu jeshi la polisi kutofanya kazi yake vyema.Hapo subirini tu itakavyompendeza mama na watu wake wanaompa information mbalimbali.Kwanza ninavyojua kwa hali iliyopo,hata Sirro akiwa anastaafu,atamuaga kimyakimya tena kwa barua,na siyo uso kwa uso,mama atakuta barua mezani,imewekwa na msaidizi wake,tofauti na Mabeyo alivyofanya.
Huyu kamanda ni mchapakazi, mpambanaji na mzoefu wa kupambana na uhalifu wa aina zote.ndio IGP ajaye huyo, umejuaje!
Ukiona mtu anamchukia Kamanda Muliro basi jua ni kibaka huyo.Hajui huyo kilaza
Wambura aendelee kubaki hapo hapo ndo kunamfaa mkuu, huyu Muliro ni level nyingine aisee.Camilius Wambura ndo IGP ajae
Tunzen hii comment
Siro Bado young kweli?!!Muliro ni mkubwa kwa sirro.
Sirro Bado young na tupo naye sana tu.
Sirro aliwahi kuukwaa u IGP
Na hapa anatafrani na mama yenu na huyo mama yenu hawezi na Hana ubavu wa kumtengu sirro.[emoji41]
rais amepewa kinga na cover kubwa lakini hizo kinga ndio hawa akina sirro na wenzie wa kuzisimamia.Ngoja nikwambie... katiba ya Tanzania inampa raisi mamlaka makubwa kuliko mtu yoyote yule nchini. So inategemea na raisi mwenyew aidha ayatumie hayo madaraka hata kama yataumiza wengine au asieyatumie. Ni sawa na wewe leo upewe M80 uambiwe uamue mwenyew cha kuzifanyia hizo hela. So kwa ww unaweza kuamua kununua nyumba, gari, na kuendeleza familia. Lakini kuna mungine atazinywea pombe, achezee kamari na kuhonga madem. Kwahiyo na madaraka ya raisi ni hivyo, yupo atakaeyatumia madaraka hayo hata kwa mambo madogo tu ilimradi akuoneshe yeye ni nani, na yupo mungine hatopenda kuyatumia hayo madaraka kwa huruma wake hata kama ataona umemkosea. Kuhusu swala la CCM hilo hali make sense kwa sababu kama waliiba au hawakuiba tayari mama ndio raisi kwahiyo hata kama siro atakwenda mbele ya vyombo vya habari kudai uchaguzi uliibiwa, ni yeye mwenyew ndio atakaeingia matatani kwa kuruhusu uchaguzi kuibiwa, raisi ana kinga ya kushtakiwa afu ukizingatia mahakama zetu hazina uwezo wala ujanja wa kumfanya lolote lile. Kuwa mwelewa ndugu raisi Samia ni mtu wa Pwani, na watu wa Pwani kihistoria miaka yote toka enzi za Mwinyi huwa hawapenda kufatilia fuatilia vitu vidogo vidogo kama hivi unavyosema ww kuhusu Siro, ila kama raisi Samia anaamua kuchukulia hii ishu serious, ndugu yang Siro anaweza kutumbuliwa wakati wowote na asifanye chochote.
Hahahaha. Hapa kwenye imani napingana na ww mkuu. Mbona hata sasa CDF na IGP ni wa imani moja. Nafikiri kinachoangaliwa ni uchapakazi wa mtu na ubora wa cv yake. Nakubaliana na ww kwamb kwa sasa hakuna kamanda mwenye uwezo mkubwa wa kupambana na wahalifu na uhalifu nchini kama Muliro.Nani kakuambia, yaani majesh yote wakuu wao wawe wa Imani moja, kingine Muliro anafaa zaidi, Hana masiala kabisa!
Murilo anafit kuwa IGPHahahaha. Hapa kwenye imani napingana na ww mkuu. Mbona hata sasa CDF na IGP ni wa imani moja. Nafikiri kinachoangaliwa ni uchapakazi wa mtu na ubora wa cv yake. Nakubaliana na ww kwamb kwa sasa hakuna kamanda mwenye uwezo mkubwa wa kupambana na wahalifu na uhalifu nchini kama Muliro.
Umeandika jambo la hovyo sana tena sana! 🙏🙏🙏Muliro ni mkubwa kwa sirro.
Sirro Bado young na tupo naye sana tu.
Sirro aliwahi kuukwaa u IGP
Na hapa anatafrani na mama yenu na huyo mama yenu hawezi na Hana ubavu wa kumtengu sirro.[emoji41]
Mkuu mkorinto naheshimu sana mawazo yako, ila yule jamaa hana back up yoyote ya kumnyima mama usingizi. Kuanzia ndani ya jeshi lake mpaka nje ya jeshi lake. Kwa hatua ambayo mama kafikia sasa hivi, hakuna mtu yoyote anaeweza kumfanya chochote as longer as cdf wa sasa yeye ndo kamteuwa na kumuapisha. Ukishakuwa na backup ya mameja na majeneral wa jeshi nyuma yako basi inatosha. Hawa wengine unaweza tumbua wakati wowote na siku yoyote na wasikufanye chochote. Nafikiri unakumbuka kilichotokea kwa igp Ernest Mangu. Pamoj na wapinzani kudai jeshi la polisi lilihusika kwa kiwango kikubwa kuiba kura za wapinzani mwaka 2015, lkn hiyo haikuwa kinga kwake kutumbuliwa. Mangu alilala usiku akiwa igp na akaamka asubuhi akiwa raia wa kawaida, je alifamfanya nini raisi na hao wenzao au wenzake unaodai wanafanyaga mgomo baridi, mbona hawakuufanya na je pamoj na mkui wao kutumbuliwa mbona mwaka 2020 katika uchaguzi mambo yalikuwa ni yale yale na ccm ikashinda. Ndio maana mi nasema katiba yetu imempa madaraka makubwa mno raisi na akiamua kuyatuma kuna wengi wataumia. So inategemea na uungwana wa raisi alie madarakani. Siro ni mwepesi sana mbele ya mkuu wa nchi na amiri jeshi mkuu wa nchi hii. Anaweza kutoka kazini igp ile kufika nyumban kufungua tv au radio akasikia kuwa raisi kamteuwa fulan kuwa igp wa tanzania shughuli ya kuapishwa itafanywa kesho asubuh na aliekuwa igp wa jeshi hilo atapangiwa kazi nyingine ya kufanya. Na hapo ndo itakuwa imetoka hiyoo, anaweza kupangiwa kazi nyingine au asipangiwe, na pengine ikaamuliwa asirudi kuonekana hata karibu na gate la ikulu maana ashavuliwa vyeo vyote, so amekuwa raia wa kawaida. Kuna watu waliokuwa wamekita mizizi ndani ya chama na serikali kama vile bashiru, polepole nk. Hao ni watu waliokuwa wanajua hasa ccm ilishindaje uchaguzi mwaka 2020 maana wao ndio walikuwa wanamikakati ya ushindi wa ccm, leo hii wako wapi? Si wametumbuliwa mchana kweupe na watu wanaona. Walifanya nini zaidi ya mmoja pole pole kulalamikia pembeni. Na malalamiko yake wala hayakuweza kumfanya mama ashindwe na badala yake mama akawavua na vile vyeo vyote vya chamani kuanzia katibu mkuu na mwenezi wake.rais amepewa kinga na cover kubwa lakini hizo kinga ndio hawa akina sirro na wenzie wa kuzisimamia.
sipingani nawewe kwamba akiamua lolote hashindwi,lakini inaleta ishara gani kwa watu wa chini ya sirro??huujui mgomo baridi na hasara zake!!
sijui kama unamkubuka kangi lugola na safari yake ya uongozi wizara ya mambo ya ndani.
watu wanafanya kazi ngumu sana wanahitaji moyo,ukiwaropokea wanakususia kazi ili ukumbuke jasho lao,
hapo usifikiri eti sirro ataitisha waandishi wa habari,NO atakwenda kulala nyumbani kwake akiota jua,ila uchaguzi unaofata jiandae kisaikolojia,sasa usidhani bibie ni mjinga kuwa mpole.
If his incompetence has been noticed,why can't you fire him?How can you seek advice from an incompetent person?
Usimchukulie Sirro ni boya ukadhani aliropoka tu vile,ukadhani hana mnyororo ndani ya jeshi la polisi,tambua kwenye kila uwepo wa Rais polisi wapo,JW wapo,hadi misafara,unamchukuliaje simpo mtu mwenyewe ambaye ni kiongozi wao?Mkuu mkorinto naheshimu sana mawazo yako, ila yule jamaa hana back up yoyote ya kumnyima mama usingizi. Kuanzia ndani ya jeshi lake mpaka nje ya jeshi lake. Kwa hatua ambayo mama kafikia sasa hivi, hakuna mtu yoyote anaeweza kumfanya chochote as longer as cdf wa sasa yeye ndo kamteuwa na kumuapisha. Ukishakuwa na backup ya mameja na majeneral wa jeshi nyuma yako basi inatosha. Hawa wengine unaweza tumbua wakati wowote na siku yoyote na wasikufanye chochote. Nafikiri unakumbuka kilichotokea kwa igp Ernest Mangu. Pamoj na wapinzani kudai jeshi la polisi lilihusika kwa kiwango kikubwa kuiba kura za wapinzani mwaka 2015, lkn hiyo haikuwa kinga kwake kutumbuliwa. Mangu alilala usiku akiwa igp na akaamka asubuhi akiwa raia wa kawaida, je alifamfanya nini raisi na hao wenzao au wenzake unaodai wanafanyaga mgomo baridi, mbona hawakuufanya na je pamoj na mkui wao kutumbuliwa mbona mwaka 2020 katika uchaguzi mambo yalikuwa ni yale yale na ccm ikashinda. Ndio maana mi nasema katiba yetu imempa madaraka makubwa mno raisi na akiamua kuyatuma kuna wengi wataumia. So inategemea na uungwana wa raisi alie madarakani. Siro ni mwepesi sana mbele ya mkuu wa nchi na amiri jeshi mkuu wa nchi hii. Anaweza kutoka kazini igp ile kufika nyumban kufungua tv au radio akasikia kuwa raisi kamteuwa fulan kuwa igp wa tanzania shughuli ya kuapishwa itafanywa kesho asubuh na aliekuwa igp wa jeshi hilo atapangiwa kazi nyingine ya kufanya. Na hapo ndo itakuwa imetoka hiyoo, anaweza kupangiwa kazi nyingine au asipangiwe, na pengine ikaamuliwa asirudi kuonekana hata karibu na gate la ikulu maana ashavuliwa vyeo vyote, so amekuwa raia wa kawaida. Kuna watu waliokuwa wamekita mizizi ndani ya chama na serikali kama vile bashiru, polepole nk. Hao ni watu waliokuwa wanajua hasa ccm ilishindaje uchaguzi mwaka 2020 maana wao ndio walikuwa wanamikakati ya ushindi wa ccm, leo hii wako wapi? Si wametumbuliwa mchana kweupe na watu wanaona. Walifanya nini zaidi ya mmoja pole pole kulalamikia pembeni. Na malalamiko yake wala hayakuweza kumfanya mama ashindwe na badala yake mama akawavua na vile vyeo vyote vya chamani kuanzia katibu mkuu na mwenezi wake.
Mkuu ki2c Siro hana mnyororo wowote wa kuweza kum save pale anapokumbana na rungu la boss wake. Kumbuka jeshi la polisi ni kubwa, na lina makamanda wengine ambao huenda wanakubalika ndan ya jeshi hilo zaidi ya vile anavyokubalika Siro. Raisi ni mkuu wa nchi, ni amiri jeshi mkuu na boss wa vyombo vyote vya ulinzi na usalama. Kwa maana hiyo ana mkono wake katika kila idara ya usalama nchini (watu wake wa kumpa taarifa nyeti kimya kimya). Kwahiyo Siro anaweza kuona amezungukwa na makamanda ambao yeye anahisi ndio backup wake wa kumpambania pale anapofikwa na tatizo, kumbe nyuma ya pazia hao hao makamanda anaowategemea ndio wanaopeleka taarifa zake kwa boss wao (raisi) Kinachomsaidia Siro ni aina ya raisi. Amekuta raisi Samia sio mtu wa kukimbilia kukurupuka kisa tu kasikia mtu anamuongelea mafumbo katika radio, tv au chombo chochote cha habari. Laiti kama raisi Samia angekuwa mtu wa kuchukua hatua kwa kila sauti anayoisikia inamsema yeye, au kumhukumu kila anaelalamika kama ilivyo kwa Siro, basi angekuwa ashafunga na kufukuza wengi ndan ya serikali, chama na uraiani. Maana wenye kulalamika ni wengi na sauti za kejeli dhidi yake anazisikia na kuzipuuza. Kuna makamanda wa polisi walikuwa wazito na wenyeji ndani ya jeshi hilo kama vile kina Mahita, Mwema nk. Lkn leo hawapo na maisha yanaendelea kama kawa. Hata mkuu mungine wa polisi Ernest Mangu juzikati alitumbuliwa na hakuna alie mkwamisha mtumbuaji. Kwahiyo jamaa amepata bahati ya kuongea mambo yake chini ya uongozi wa raisi mvumilivu na mstahamilivu. Lkn angekuwa ni yule wa kutumia nguvu zake moja kwa moja basi Siro angeisha na angeshangaa wanaompa mpa support wangemkimbia. Maana hakuna ambae angekubali kuupoteza ugali wake kwa ajili ya muungine.S
Usimchukulie Sirro ni boya ukadhani aliropoka tu vile,ukadhani hana mnyororo ndani ya jeshi la polisi,tambua kwenye kila uwepo wa Rais polisi wapo,JW wapo,hadi misafara,unamchukuliaje simpo mtu mwenyewe ambaye ni kiongozi wao?
Rais lazima awaheshimu sijui majenerali pamoja na hao makamishina wa Polisi na si vinginevyo,kwani impact ni Kubwa sana tofauti na unavyorahisisha.