Kwa usalama wa nchi yetu, huyu afande anafaa kuwa IGP ajaye

Kwa usalama wa nchi yetu, huyu afande anafaa kuwa IGP ajaye

IGP atoke JWTZ ili alinyooshe Jeshi la Polisi vinginevyo hakuna mabadiliko yoyote ya maana yatakayofanyika mfano mzuri umeonekana Magereza mwenye macho haambiwi tazama
Ya ni kweli, ila kila idara ikiongozwa na jeshi hii itakuwa ni kusogelea hatari kwa siku za mbele. Maana itafika wakati itaombwa na nchi iongozwe na raisi mwanajeshi.
 
Sidhani kama ni rahisi kiasi hicho,nadhani ndiyomaana jamaa alikua anajibu vile.Kumuondoa kihivyo haiswii sana.Mama kaona ngoja amalizie muda wake,mambo yaishie hapo.
Wewe uliekuwa haujui nguvu na mamlaka ya raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na amiri jeshi mkuu wa majeshi yote ya ulinzi na usalama pitia hapa. Uliekuwa unajua ana nguvu kuliko mwenye nguvu mwenyew, leo hii katupwa kwa Mugabe huko kabla hata muda wake kuisha kulaleki 😀😀😂😂
 
Muliro ni mkubwa kwa sirro.
Sirro Bado young na tupo naye sana tu.

Sirro aliwahi kuukwaa u IGP
Na hapa anatafrani na mama yenu na huyo mama yenu hawezi na Hana ubavu wa kumtengu sirro.[emoji41]
Mkuu uliekuwa unaamini kwamba hawezi kuguswa, sasa kachomolewa katika nafasi yake kabla ya muda wake kuisha na kutupwa huko mwishoni mwa bara la Afrika, sasa wewe na yeye mnasemaje?
 
Hawezi kikatiba au ki connection?yani unamaanisha kuna watu wamemzidi Raisi mamlaka??
Huyu jamaa alikuwa hajui kama raisi ndio mwenye mamlaka yote ktk nchi hii. Sasa aliekuwa anajua hawezi kuguswa, leo kaguswa vizuri na hakuteteleka. Mamlaka ya raisi ni tofauti na yale ya mkubwa wa vikoba
 
Muliro ni mkubwa kwa sirro.
Sirro Bado young na tupo naye sana tu.

Sirro aliwahi kuukwaa u IGP
Na hapa anatafrani na mama yenu na huyo mama yenu hawezi na Hana ubavu wa kumtengu sirro.[emoji41]
Vipi bado unaamini kuwa mama yetu hana ubavu?
 
Wambura sasa ndio IGP
IMG-20220720-WA0033.jpg
IMG-20220720-WA0031.jpg
 
Imekula kwako,chenga matata chalii
Hahaha.. mkuu kwangu mimi wote nilikuwa nawakubali, japo nilimkubali zaidi Murilo, ila hata huyu utendaji wake mzuri. Kwahiyo haijala kwangu, watu ambao pangu pangua hii imekula kwao ni hawa hapa walioandika comment namb #8 , na mungine namb #17 . Wewe ukipata muda zisome afu upitie yaliotokea leo 😀😀😂😂😂. Afu kama hautojali usome na comments zang namb #16 na #20 nilivyokuwa nawapa somo kuhusu mamlaka ya raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri jeshi mkuu 😀😀😀
 
Back
Top Bottom