Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
- #121
Mkuu niliyokwambia katika comments zangu namb #16 na #20 hukutaka kuyasikia. Sasa leo kikowapi? Nani aliemtoa mwenzake kwenye kiti labla ya muda wake kuisha? Kamanda wenu miguu juu, katupwa mwishoni mwishoni huko mwa barala letu la Afrika akacheze na nyasi 😀😀😀😂😂. Bila shaka ulikua haujui vizuri katiba ya Tanzania juu ya mamlaka ya raisi.Nani kakudanganya kuwa Samia ana full power?
Samia ni Rais kivuli tu.
Na uwezo wa kumtoa sirro Hana huo ni ukweli mchungu.
Waliopo behind wanaelewa nachomaaisha.