Kwa usalama wa nchi yetu, huyu afande anafaa kuwa IGP ajaye

Muuaji Muliro, Damu za watu zitamuandama hadi kaburini
Amemuuwa nani tena mkuu? Afu kazi ya polisi sometimes ni lazima uuwe, maana usipouwa basi utauwawa wewe. Haujawahi kukumbana na majambazi mkuu ukajitetea kuokoa uhai wako?
 
Amemuuwa nani tena mkuu? Afu kazi ya polisi sometimes ni lazima uuwe, maana usipouwa basi utauwawa wewe. Haujawahi kukumbana na majambazi mkuu ukajitetea kuokoa uhai wako?
Kazi ya kulinda usalama inahusisha kiasi fulani kuua ndo maana polisi wanabeba Ak47 24/7 lengo la bunduki yenyewe imetengenezwa kwaajili ya kuua, sasa kwa watu kama kina muliro hao japo sijui lakin unaweza kukuta Hadi sahivi kafanya kazi miaka hata 30 Kama limwaga damu ya jambazi hilo wala siyo jambo la kushangaza maana yeye ni polisi siyo mwalim au daktari Cha msingi tu asiwe amemwaga damu ya watu wasio na hatia
 
Shushannah nondo mzee wetu,inaonekana unawafaham vizur wote hawa,

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Seems mtoa mada ndiye kamanda Jummane Muliro mwenyewe akitetea ugali wake hapa😊
 
Kweli mkuu. Mimi comment yang ilikuwa inamjibu jamaa alieandika post #4. Aliedai kuwa J4 Muliro ni muuaji.
 
Muliro ni mkubwa kwa sirro.
Sirro Bado young na tupo naye sana tu.

Sirro aliwahi kuukwaa u IGP
Na hapa anatafrani na mama yenu na huyo mama yenu hawezi na Hana ubavu wa kumtengu sirro.[emoji41]
Mkuu ukisoma post zangu namb #16 na #20 utaelewa. Mama ana mkuu wa majeshi ya ulinzi, Mkuu wa usalama wa taifa, na Mkuu wa Magereza ambao wako mikononi mwake. Huyo unaesema akitumbuliwa leo, kesho hatoweza hata kuruhusiwa kusogelea mlango wa ikulu. Ni basi tu mama yeye hayupo huko alipo jamaa, huo ndio ukweli ndo maana anapuuza.
 
kamanda yupi wa jeshi la polisi hapa tz ambaye mikono yake haijawi kuhusika na mauaji?.

ukinionyesha na kuweka ushahidi, najitoa JF.
Hata mimi nimemshangaa jamaa kwa kumuhusisha Muliro na mauaji. Lkn vilevile unakuaje polisi afu uogope kuuwa pale unapolazimika kufanya hivyo.
 
Nimecheka Sana ,hizi nafasi ni za kupendekeza tu, nilisema hapa jf akaja mtu nielimisha ,hamna kitu mkuu siasa ,za tz za kipumbavu
Fafanua mkuu, mbona kama kuna kitu unacho rohoni lkn unashindwa kukimwaga barazani.
 
Umewaza km Mimi
Mkuu unaandikiaje mate na wakati winu upo. Ingia uangalie vizuri thread zangu ili ujirizishe. Afu hata juzi niliandika thread ya kumshukuru na kumsifu CDF wetu mstaafu gen Mabeyo, kuna watu pia wakaja na mawazo kama yako kuwa mimi ni Mabeyo mwenyew nimekuja humu kujipigia promo. Sasa sijui mimi nitakuwa binadam wa aina gani yani upande mmoja wa mwili ni Mabeyo na upande mungine ni Muliro au sio?
 
Muliro huyu huyu na uzee wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…