Kwa usalama wa nchi yetu, huyu afande anafaa kuwa IGP ajaye

Nani kakudanganya kuwa Samia ana full power?
Samia ni Rais kivuli tu.

Na uwezo wa kumtoa sirro Hana huo ni ukweli mchungu.
Waliopo behind wanaelewa nachomaaisha.
Mkuu niliyokwambia katika comments zangu namb #16 na #20 hukutaka kuyasikia. Sasa leo kikowapi? Nani aliemtoa mwenzake kwenye kiti labla ya muda wake kuisha? Kamanda wenu miguu juu, katupwa mwishoni mwishoni huko mwa barala letu la Afrika akacheze na nyasi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜‚πŸ˜‚. Bila shaka ulikua haujui vizuri katiba ya Tanzania juu ya mamlaka ya raisi.
 
Coz ni ceremonial president
Mkuu rudi tena usome comment namb #16 na #20πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Tunaoifahamu vizuri katiba ya nchi hii tulikupa angalizo mapema, ukashupaza shingo. So kamanda wako kaenda kujiunga na kina pole pole huko kusini mwa afrika tena ktk nchi za njaa.
 
Mkuu umeshaelewa kuwa sisi tunaijua katiba, na namna nchi inavyoongozwa zaidi y vile unavyofikiria. Niliyoandika siku ile katika comments yang namb #16 na #20 yamejidhihirisha leo. Huyo raisi uliekuwa unamzungumzia wewe labda ni wa vikoba au club ya mpira wa mchangani, sio huyu ninaemjua mimi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambae mamlaka yote yapo katika mikono yake na ulimi wake. Sasa nambie kati ya kamanda na mama mwenye nyumba ni nani aliemchomoe mwenzio ktk nafasi yake na kumtupa huko mbali na nyumbani kwake? Mwambie anaewapikia kahawa hapo kijiweni kwenu kuwa cheo cha amiri jeshi mkuu wa nchi hii msikichukulie poa kama mnavyofikiri. Sawa ndugu zangunu, kamanda wenu miguu juu sasa hivi. Yani kama gari tunasema iko juu ya mawe sasa hivi, haina ujanja wa kuingia tena barabarani πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe unaongea usilolijua.
Laiti ingekuwa hivyo Samia asingekuwa anfokewa na kugombezwa na sirro kama mtoto mdogo.
Mkuu mbona toka jana unajificha. Njoo huku utupe mrejesho wa hii kauli yako. Tunataka kujua kinachoendelea kati ya Amiri jeshi mkuu, na kamanda wako. Vijana siasa za vijiweni zinawadumaza sana, mpaka mnashindwa kujua tofauti ya vyeo na mamlaka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Umeandika jambo la hovyo sana tena sana! πŸ™πŸ™πŸ™
Na hili jambo la hovyo aliloandika jamaa, ndo lililomponza kamanda mkuu jana. Cha kushangaza alieandika hivi hajaonekana hapa toka jana aje ajibu maswali yetu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu ule "mnyororo" unaodai ww jana umekatwa mchana kweupe, na hivi nnavyokwambia amiri jeshi mzima wa afya anaendelea na majukumu yake. Huku uliesema ana mnyororo mrefu katupwa mwishoni mwa afrika akapambane na hali yake. Wewe unasemaje?
 
acha hizo wewe aliwatoa Top security officials Kaji na mbungo ashindwe kumtoa Sirro ??? nadhani anamsubiri tu astaafu 2023.....
Hahahaha.. tulimwambia kijana, hakutaka kutusikia. Sasa leo kajionea mwenyew, kakimbia comment yake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
CCM ina laana,badala ya kuteua watu wenye weledi kama hawa, unateua Mapaka!πŸ’πŸ’πŸ’
Your browser is not able to display this video.
 
Bora umenfafanulia. Kama mhimili mwingine uling'olewa kirahisi tu huyo IGP ni kufumba na kufumbua anakuwa kapoteza cheo. Nguvu za rais wa TZ hazielezeki.
Kweli kabisa ndugu yang. Sasa wale wote waliokuwa wanadai kuwa kamanda hawezekani, toka jana na leo wamekimbia comment zao hapa JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…