baba anjela
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 431
- 310
Mimi binafsi nasema mama kawavumilia sana na alifanyanao kazi kwa imani watabadilika na alifahamu maamuzi hayo ni mzigo mzito sana kwake...
Hakuna Kiongozi Wa Afrika aliefanya kazi na timu ya aliyemtangulia, lakini mama amejaribu kulifanya ilo, Rais Wa DRC alijaribu kufanya kazi na timu ya Kabila hakufika mbali alichemka, akawamwaga...
Tatizo la mbwa, ukicheza nae sana atakufata mpaka msikitini.... Hivyo ndivyo walivyofanya timu mwendazake.... House girl ukimchekea sana unapoteza ndoa.
...Angalizo kwa mama, siasa za Afrika ni siasa za visasi ...ukimwacha huyu mzee Leo...tegemea vita kubwa kutoka kwake na timu yake 2024-2025... Mfano mzuri wapo walimwomba msamaha mwendazake, akawasamehe lakini Leo wanamnanga kama siyo wale walikwenda kwake kuomba msamaha...
Hivyo kama umeamua kumnyonyoa manyoya huyu mzee ,kata na Shingo kabisa na maanisha, muondolee nyazifa zake zote ndani ya CCM na ndani ya Bunge.. Tandika mpaka vitimu vyake...
Poleni Covid 19 matumbo joto....