Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumuinuaje sasa? Mchungaji kuinulia inakuwa ktk nin?Kwa utetezi huu naona ni wakati wa Mungu anaenda kumuinua mchungaji John shusho baada ya miaka mingi ya kupuuzwa na bibie tina licha ya alivyopambana kumpeleka studio na Kuwa star kisha akamwacha
View attachment 2994790
Kijana acha kufuatilia issues za watu. pambana na hali yako...Kwa utetezi huu naona ni wakati wa Mungu anaenda kumuinua mchungaji John shusho baada ya miaka mingi ya kupuuzwa na bibie tina licha ya alivyopambana kumpeleka studio na Kuwa star kisha akamwacha
View attachment 2994790