Kwa utetezi huu naona ni wakati wa Mungu anaenda kumuinua mchungaji John shusho baada ya miaka mingi ya kupuuzwa na bibie tina licha ya alivyopambana kumpeleka studio na Kuwa star kisha akamwacha
Kwa utetezi huu naona ni wakati wa Mungu anaenda kumuinua mchungaji John shusho baada ya miaka mingi ya kupuuzwa na bibie tina licha ya alivyopambana kumpeleka studio na Kuwa star kisha akamwacha View attachment 2994790
Kumuinuaje sasa? Mchungaji kuinulia inakuwa ktk nin?
Ongezeko la Sadaka, umaarfu, mke mwingine mzuri zaidi, pesa magari au Kuongezeka uwezo wa kiroho??