KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 2,789
- 4,951
Lissu aliyasema hayo lini? Na huo ubobezi wa Kabudi ulisaidia vipi kipindi kile ndege za serikali zilizokuwa zinakamatwa kila mara na serikali kushindwa kesi?Mwambukusi anaamini nchi hii hakuna anayeijua Sheria kuliko yeye kwa sasa, Lissu aliamini hivyo hivyo kipindi kile lakini Kabudi alimuonesha ni bwana mdogo ikafikia mahali Lissu akawa analalamika tu kwamba Kabudi anatumia uwezo mkubwa wa kiakili alionao kupotosha. Haikuwa kweli kama Lissu alivyofikiri ila alikutana na kisiki cha mpingo kwenye sheria. Hiki ndicho Mwambukusi atakutana nacho
Kabudi huyu aliyeshiriki ushirikina wa magufuli wa kikombe cha Madagascar unaona ana akili?Mwambukusi anaamini nchi hii hakuna anayeijua Sheria kuliko yeye kwa sasa, Lissu aliamini hivyo hivyo kipindi kile lakini Kabudi alimuonesha ni bwana mdogo ikafikia mahali Lissu akawa analalamika tu kwamba Kabudi anatumia uwezo mkubwa wa kiakili alionao kupotosha. Haikuwa kweli kama Lissu alivyofikiri ila alikutana na kisiki cha mpingo kwenye sheria. Hiki ndicho Mwambukusi atakutana nacho
Binafsi nafikiri wote wanajenga nyumba mojaKwa wenye kutazama vitu kwa jicho la tatu watagundua toka Mwambukusi achaguliwe kama Rais wa TLS ni kama ilikuwa inageuzwa kuwa tawi la CHADEMA.
Kwa uteuzi wa jana wa Prof.Kabudi kama waziri wa katiba na Sheria , Mwambukusi hana kwa kufurukuta tena, mtaalamu mbobezi wa sheria anaenda 'kumdogodesha' na pengine atakuwa Rais wa TLS mbovu zaidi katika historia ya Chama hicho toka kianzishwe kama hatobadilika. Hongera Rais Samia kwa uteuzi huu
Ile picha anatua na maboxi ya Novida Airport akidai ni dawa ya Corona ukiiona utacheka huku box moja wamelifungua wanakunywa kama maji ya Uhai..Kabudi huyu aliyeshiriki ushirikina wa magufuli wa kikombe cha Madagascar unaona ana akili?
trust me, kabudi hana uwezi hata wa kubishana kwa hoja tu na mwabukusi au na wakili yeyote. ila ni mwanasiasa.Kwa wenye kutazama vitu kwa jicho la tatu watagundua toka Mwambukusi achaguliwe kama Rais wa TLS ni kama ilikuwa inageuzwa kuwa tawi la CHADEMA.
Kwa uteuzi wa jana wa Prof.Kabudi kama waziri wa katiba na Sheria , Mwambukusi hana kwa kufurukuta tena, mtaalamu mbobezi wa sheria anaenda 'kumdogodesha' na pengine atakuwa Rais wa TLS mbovu zaidi katika historia ya Chama hicho toka kianzishwe kama hatobadilika. Hongera Rais Samia kwa uteuzi huu
Tunataka,tunataka Waziri wa Sheria mbobobezi na mfuata Sheria,tunataka Rais wa TLS mbobezi wa Sheria na atakayesimamia ufanisi wa Sheria,haingii akilini kumwona mtu mwenye akili zake akishadidia umatulinga kwenye mambo ambayo utekelezaji wake unatakiwa kufuata Sheria,Kanuni,taratibu na miongozo iliyopoKwa wenye kutazama vitu kwa jicho la tatu watagundua toka Mwambukusi achaguliwe kama Rais wa TLS ni kama ilikuwa inageuzwa kuwa tawi la CHADEMA.
Kwa uteuzi wa jana wa Prof.Kabudi kama waziri wa katiba na Sheria , Mwambukusi hana kwa kufurukuta tena, mtaalamu mbobezi wa sheria anaenda 'kumdogodesha' na pengine atakuwa Rais wa TLS mbovu zaidi katika historia ya Chama hicho toka kianzishwe kama hatobadilika. Hongera Rais Samia kwa uteuzi huu
Hadi hapa inaonesha mnamuogopa ndiyo maana mnatafuta kila namna kumthibiti.Kwa wenye kutazama vitu kwa jicho la tatu watagundua toka Mwambukusi achaguliwe kama Rais wa TLS ni kama ilikuwa inageuzwa kuwa tawi la CHADEMA.
Kwa uteuzi wa jana wa Prof.Kabudi kama waziri wa katiba na Sheria , Mwambukusi hana kwa kufurukuta tena, mtaalamu mbobezi wa sheria anaenda 'kumdogodesha' na pengine atakuwa Rais wa TLS mbovu zaidi katika historia ya Chama hicho toka kianzishwe kama hatobadilika. Hongera Rais Samia kwa uteuzi huu
Kama una watoto nachelea kusema watoto hawana baba/mamaMwambukusi anaamini nchi hii hakuna anayeijua Sheria kuliko yeye kwa sasa, Lissu aliamini hivyo hivyo kipindi kile lakini Kabudi alimuonesha ni bwana mdogo ikafikia mahali Lissu akawa analalamika tu kwamba Kabudi anatumia uwezo mkubwa wa kiakili alionao kupotosha. Haikuwa kweli kama Lissu alivyofikiri ila alikutana na kisiki cha mpingo kwenye sheria. Hiki ndicho Mwambukusi atakutana nacho
Mawazo mgando!Kwa wenye kutazama vitu kwa jicho la tatu watagundua toka Mwambukusi achaguliwe kama Rais wa TLS ni kama ilikuwa inageuzwa kuwa tawi la CHADEMA.
Kwa uteuzi wa jana wa Prof.Kabudi kama waziri wa katiba na Sheria , Mwambukusi hana kwa kufurukuta tena, mtaalamu mbobezi wa sheria anaenda 'kumdogodesha' na pengine atakuwa Rais wa TLS mbovu zaidi katika historia ya Chama hicho toka kianzishwe kama hatobadilika. Hongera Rais Samia kwa uteuzi huu
Huyo unayemsifia kaenda law school?Tupe maelezo ya unguli wake!Mwambukusi anaamini nchi hii hakuna anayeijua Sheria kuliko yeye kwa sasa, Lissu aliamini hivyo hivyo kipindi kile lakini Kabudi alimuonesha ni bwana mdogo ikafikia mahali Lissu akawa analalamika tu kwamba Kabudi anatumia uwezo mkubwa wa kiakili alionao kupotosha. Haikuwa kweli kama Lissu alivyofikiri ila alikutana na kisiki cha mpingo kwenye sheria. Hiki ndicho Mwambukusi atakutana nacho