Kwa uteuzi wa Prof. Kabudi katiba na sheria tukubaliane tu Mwambukusi atanyoosha mikono kama ilivyokuwa kwa Lissu na kudhibitiwa

Kwa uteuzi wa Prof. Kabudi katiba na sheria tukubaliane tu Mwambukusi atanyoosha mikono kama ilivyokuwa kwa Lissu na kudhibitiwa

Mwambukusi anaamini nchi hii hakuna anayeijua Sheria kuliko yeye kwa sasa, Lissu aliamini hivyo hivyo kipindi kile lakini Kabudi alimuonesha ni bwana mdogo ikafikia mahali Lissu akawa analalamika tu kwamba Kabudi anatumia uwezo mkubwa wa kiakili alionao kupotosha. Haikuwa kweli kama Lissu alivyofikiri ila alikutana na kisiki cha mpingo kwenye sheria. Hiki ndicho Mwambukusi atakutana nacho
Hii nchi ina vituko kwelikweli, kuna siku Kabudi na Lissu walikutana mahakamani kushindana kutafsiri sheria kwenye kesi? Je, serikali haijaona umuhimu wa kumtumia huyo Kabuni unayemsema kwenye kesi zile tunazodaiwa huko nje?
Ila wewe ni mpotoshaji tu.
 
Back
Top Bottom