onlinenauza
Member
- Oct 8, 2016
- 39
- 57
Na mtu huyu mpenz wake ni mbunifu wa mavaz lakin kaamua tu kuwatia nuksi wenzie kwa kuuchukua alipouchukua msuti wake kwa lengo la kuwaaribia wenzie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabongo mna maneno sanaNa mtu huyu hawara yake ni m bunifu wa mavaz lakin kaamua tu kuwatia nuksi wenzie kwa kuuchukua alipouchukua msuti wake kwa lengo la kuwaaribia wenzie
WaTanzania dhambi ya unafiki ndo inatuteketeza, badala ya kusema ukweli wa kile kilichosababisha wakakosa tuzo badala yake tumeanza kuitana wachawi wenyewe kwa wenyewe..Wabongo mna maneno sana
Suti ndo inaimba [emoji85] weweView attachment 423759 View attachment 423760 View attachment 423761
Na mtu huyu hawara yake ni m bunifu wa mavaz lakin kaamua tu kuwatia nuksi wenzie kwa kuuchukua alipouchukua msuti wake kwa lengo la kuwaaribia wenzie
usiseme diamond na ali kiba sema ali kiba ndo si lolote nje ya tanzania,diamind kachukua tuzo nje ya tanzania zaidi ya moja unasema si chochote utakua mpuuziii.........................ukweli mchungu "Diomond & Ali Kiba wamejithibitisha kuwa wao si lolote / chochote nje ya mipaka ya Tanzania".
U King & Queen wao upo kwenye mateam na si kwenye tasnia ya muziki wa kimataifa.
Rafiki yako hence kaachiliwa jela ya jf aka ban so yuko free nowTatizo hiyo suti ni kuwa Ali Kiba alivokuwa kwa fundi Sallam yule meneja wa diamond alikuwa nyuma ya fundi, na inasadikia alilegeza uzi hivo kufanya fundi ashone oversize.