Kwa uvaaji wa suti kama hii, nani atatupa tuzo?

Kwa uvaaji wa suti kama hii, nani atatupa tuzo?

onlinenauza

Member
Joined
Oct 8, 2016
Posts
39
Reaction score
57
Screenshot_2016-10-24-20-28-12.jpg
images-6.jpeg
images-4.jpeg




Na mtu huyu mpenz wake ni mbunifu wa mavaz lakin kaamua tu kuwatia nuksi wenzie kwa kuuchukua alipouchukua msuti wake kwa lengo la kuwaaribia wenzie
 
over size...bado hajafika level za simba..unadhani kuajiri designer wako binafsi mchezo?
 
Wabongo mna maneno sana
WaTanzania dhambi ya unafiki ndo inatuteketeza, badala ya kusema ukweli wa kile kilichosababisha wakakosa tuzo badala yake tumeanza kuitana wachawi wenyewe kwa wenyewe..
 
ukweli mchungu "Diomond & Ali Kiba wamejithibitisha kuwa wao si lolote / chochote nje ya mipaka ya Tanzania".

U King & Queen wao upo kwenye mateam na si kwenye tasnia ya muziki wa kimataifa.
usiseme diamond na ali kiba sema ali kiba ndo si lolote nje ya tanzania,diamind kachukua tuzo nje ya tanzania zaidi ya moja unasema si chochote utakua mpuuziii.........................
 
Jamani tuwapongeze wasaniii wetu wanafanya Kazi mzuri ya kuliwakilisha taifa letu.
Kukosa tuzo isiwe sababu ya kuwasimanga, sio vizuri hata kidogo.
Ebu tufikiri nje ya box!!!!
 
Mh kweli style zimebadilika, kwa hiyo zile suti vi skin tight kama vya diamond ndo fashion? Simzimii kivile ali kiba lkn jamani, hii ninsize ya kawaida kwake si oversized,vile vijitu vya diamond hapa. Hata kama wanauza ghali nooooo!
 
Tatizo hiyo suti ni kuwa Ali Kiba alivokuwa kwa fundi Sallam yule meneja wa diamond alikuwa nyuma ya fundi, na inasadikia alilegeza uzi hivo kufanya fundi ashone oversize.
Rafiki yako hence kaachiliwa jela ya jf aka ban so yuko free now
 
Muacheni Alikiba.....nyie kila kitu huwa kinakuwa ni size zenu? Kwanini tunakuwa tunayaona sana madhaifu ya wenzetu ilihali sisi 7tunayo mengi tu.....kuyaongea saaaaaaana madhaifu ya watu hayatufanyi sisi kuwa tumekamilikaaa.....
 
Tuache maneno yasiyo na maana watanzania jaman.....sasa suti inaimba au inavaliwa kipaji ndo kigezo kwani wasanii wa nje wanavovaa manguo makubwa mbona wanatoka kinima tuacheni upuuzi usio na maana.......[emoji86] [emoji124] ..!!!
 
Back
Top Bottom