TMJ , masaki unashuka baharsa ukiuliza TMJ watakuonesha nenda kapime ukisha jua then tafuta reseni anza kutafuta mteja ila seleni ina cost 1000000 ....Yanapimiwa wapi haya madini ya chuma yenye smaku mkuu
Kama kuna anayefaha perfect dealer atuunganishe jamani..
atakaye fanikiwa anicheki hapa 0655427470
TMJ , masaki unashuka baharsa ukiuliza TMJ watakuonesha nenda kapime ukisha jua then tafuta reseni anza kutafuta mteja ila seleni ina cost 1000000 ....
mkuu nashkuru kwa ushauri wakoTMJ , masaki unashuka baharsa ukiuliza TMJ watakuonesha nenda kapime ukisha jua then tafuta reseni anza kutafuta mteja ila seleni ina cost 1000000 ....
Kuwa superdeals inahitaji kwanza usajiliwe na kamishina wa madini kanda .then unapewa leseni baada ya hapo unasafirisha bila shida kwa kukatwa mrahaba wa seerikaliNaomba kujua unatakiwa kuwa na vibali gani kutoka serukalini ili uweze kufanya biashara ya madini na kusafirisha madini?
Asante mkuukuwa superdeals inahitaji kwanza usajiliwe na kamishina wa madini kanda .then unapewa leseni baada ya hapo unasafirisha bila shida kwa kukatwa mrahaba wa seerikali