kwetugt
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 280
- 244
Hapo sawa, lakini hata hivyo residue yoyote ile inayotokana na mwekezaji mkubwa haitakiwi kugawiwa kwa wananchi maana hii mara nyingi ni chemical concentrates hivyo kuna taratibu zake ndiyo maana sasa hivi migodi mingi hapa tz walishaanza kuyarudia mabaki haya kwa tekinolojia ya juu zaidi na baada ya hapo husafirisha mchanga huo japani ambako ndiko kuna kinu kizuri cha kuchenjua madini.nashukuru na nimekuelewa ila wewe ujanielewa pia mm sijasomea ila kama umesoma vzr utaona nilivyo pitia hadi sana naendelea vzr kwenye hii industry nimepitia mengi sna .... nilichosema hi kwamba kuna residue(mabaki ) ambayo yakua nadhahabu hapa ..... hayo unayo yasema sehemu nyimgine yanaitwa magwangala mm ninavitaru ila natoa dhahabu na nimeona niwaelimishe watu wanao penda kufanya hii biashara ..wasipitie maba kama nilio pitia mm .Wewe kama una penda unawenza kuongezea pale unapoona inafanaa.... ila huwa nawatumia geologist na kuwalipa pale ninapoanza mgodi mpya