Habari zenu Wataalam wa madini humu ndani! Nafikilia kuanza biashara ya madini hasa Dhahabu, kwa sasa nipo nje ya nchi na nimefanikiwa kupata soko huku, nafikilia kununua na kusafirisha mwenyewe mpaka nje, hivi mnaweza kuniambia naweza kununua bei gani Dhahabu nikiwa Machimboni Kama Broker, kwa vile bado Kijana mpambanaji, sioni shida kwenda polini kukusanya dhahabu then nikasafirisha nje mwenyewe... Je! Sheria inaniruhusu kuwa na leseni ya Broker na Super dealer at the same time? Nategemea kuanza na mtaji wa 30 Millions! Je! Unaweza kutosha kuwa mtaji wa kuanzia!
NB:
Mnisaidie majibu kwanza hafu mengine ya lazima uyajue madini vizuri, utaperi n.k yawe mwishoni Kama Maelezo ya ziada! Asante!