Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, nimeku inbox namba, tunaweza kuwasiliana kwa Whatsapp!nitumie namba kuna kitaru kina dhababbu ya kutosh unaweza kuni inbox napenda watu wanaotaka mafanikio ya haraka nakuakikishia nitakupa kitaro na utazalisha zaidi tuwalisiane kwa simu au whatsup
Yani hao wahindi umiza kichwa sana kwenye mawe ya makilo,bei wanayotoa ni hasara tupuKWA WALE WAFANYABIASHARA WENZANGU WA MADINI ESPECIALY YA MAKILO TUJARIBU KUWA NA MSIMAMO KATIKA BEI YA KUUZA TUSIWE TUNAUZIAAA MAWE NJAAAA...AU KAMA KUYATUPAAA,MAANA KUNA STYLE WANUNUZI AMBAO NI WAHINDI WANANUNUA MAWE KAMA HAWATAKI AU WATAKUAMBIA SOKO LAKE SIYO ZURI ....
Wanajua kucheza na akili zetu mkuu Ila kama watu tunakua n'a msimamo mmoja ah hawatuwezi,mbona Felsper rangi ya chocolaté tumeidhibiti sahvi hatuwaletei....mpaka bei wapandishe ya kununuaYani hao wahindi umiza kichwa sana kwenye mawe ya makilo,bei wanayotoa ni hasara tupu
Kweli kabisa Mkuu,bila msimamo tutakuwa tunawafanyia wao kaziWanajua kucheza na akili zetu mkuu Ila kama watu tunakua n'a msimamo mmoja ah hawatuwezi,mbona Felsper rangi ya chocolaté tumeidhibiti sahvi hatuwaletei....mpaka bei wapandishe ya kununua
WAJINGA SANA waleKweli kabisa Mkuu,bila msimamo tutakuwa tunawafanyia wao kazi
kweli so nivizuri kuwa na chama hayo ni mawazo yanguKWA WALE WAFANYABIASHARA WENZANGU WA MADINI ESPECIALY YA MAKILO TUJARIBU KUWA NA MSIMAMO KATIKA BEI YA KUUZA TUSIWE TUNAUZIAAA MAWE NJAAAA...AU KAMA KUYATUPAAA,MAANA KUNA STYLE WANUNUZI AMBAO NI WAHINDI WANANUNUA MAWE KAMA HAWATAKI AU WATAKUAMBIA SOKO LAKE SIYO ZURI ....
Mkuu almasi inaweza fika bei gani kwa gram kwa hapa bongo?kweli so nivizuri kuwa na chama hayo ni mawazo yangu
Ni pm namba yako....Kuna sehemu najua pakuyapata...mwenye kufahamu yanapopatikana madini cheap stone aina ya foolish gold...in ya kilo..yanakuwa na Rangi kama ya dhahabu au shaba...yenyewe ni makubwa ...kuna soko sehemu nimepata
mkuu unaweza ukaja mjini arusha tupo otu jirani kabsa na mwengeMkuu Nina Ruby ya Longido kama kilo 2 na ushee na opal kidogo pamoja na mawe tofautitofauti ya kuchongwa ni Pm unitafutie mteja maana hali tete.
no yako plzmwenye kufahamu yanapopatikana madini cheap stone aina ya foolish gold...in ya kilo..yanakuwa na Rangi kama ya dhahabu au shaba...yenyewe ni makubwa ...kuna soko sehemu nimepata
c unaongelea juu ya pyritemwenye kufahamu yanapopatikana madini cheap stone aina ya foolish gold...in ya kilo..yanakuwa na Rangi kama ya dhahabu au shaba...yenyewe ni makubwa ...kuna soko sehemu nimepata
tupo hapawewe ukua uanauliza nini wewe sema utasaidiwa