Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inaweza ikawa ruby ama spinelNaomba kujua kama kweli hii ni ruby nyekunduView attachment 395848View attachment 395849
Niko morogoro vijijin uku Malinyi mkuu na kama kwel ruby au spinel,je bei zake zipojeinaweza ikawa ruby ama spinel
kwan upo mkoa gani mkuu(wewe)
Mkuu mie najua yalipo tena ni mengi sanamwenye kufahamu yanapopatikana madini cheap stone aina ya foolish gold...in ya kilo..yanakuwa na Rangi kama ya dhahabu au shaba...yenyewe ni makubwa ...kuna soko sehemu nimepata
Ruby huku arusha yanabei nzur kutegemeana na quality na sizeNiko morogoro vijijin uku Malinyi mkuu na kama kwel ruby au spinel,je bei zake zipoje
Mkuu nikipata nafasi nitakuja maana Arusha si mgeni sana.Shukrani.mkuu unaweza ukaja mjini arusha tupo otu jirani kabsa na mwenge
Mererani kuna pyrite ya kutosha mkuu,unapatina kwenye uchimbaju wa tanzanite.c unaongelea juu ya pyrite
habari jf
kama unaitaji kujua ,kufanya biashara ya madini ndni ya tanzania baasi njoo hapa na uhulize kitut chochote utajibiwa
kwa wanaotakakuwekeza kwenye dhahabu ,madini ya vito ,yaliyo katwa na yasio katwa baasi huu ndio wakati wa kutumia fulsa hii adimu
karibu
kwa nza unatakiwa kuya jua maana matapeli ni wengi kweli .... hii un
kwanza unatakiwa kuya jua maana matapeli ni wengi sana ila kwa ushauli wangu tafuta mtu anaye yajua madini ndi ununue au tafuta eneo ukitumia wataaramu wa miamba yaani geology watakushauli eneo zuli la kuchimba ndio uwaze hapo sikushauli kununua madini kwahii ni level ngumu unaweza kuuziwa mawe yaan fake na kupata hasara
kama unaanza na unataka kununu nibora uwene kwenye machimbo ya dhahabu na ukate leseni kama broker ila lazima ujue dhahabu ili wasikulee mafake hii ya borker inakuwa kama 250,000/= kunachunya ,shinyanga , etc
kwa kawaida inaweza kutuimiwa zaidi kama mpo shareMkuu me naomba kujua hivi hii broker license moja inaweza kutumiwa na watu wangapi au kubeba majina mangapi?...maana kuna jamaa ameniambia yeye alichukua moja akasajili jina lake na mke wake na akasema ina chukua hata majina matatu.
Au hiyo ilikuwa ni system ya zaman?
Nashukur sana.kwa kawaida inaweza kutuimiwa zaidi kama mpo share
Si KWELI.Nasikia ukiwa mchimbaji ktk madini lazima upitie kwanza kwa sangoma hiv ni kweli wakuu?
Hiyo namba ya simu vipi!? Siyo sahihi ebu itoe vizuri tuwasiliane, tunaweza kufanya kazi ya kuuza nje kama MASTER DEALERS au kama anavyowaita Mshumbusi SUPER DEALERS. Sheria ya Madini inawatambua kama Master Dealers, Asante, funguka ndugu "ehee kumbe".Niko Dodoma Nina Vito vingi ,ninaomba siku ikitokea ukaja Dodoma tuonane nikuonyeshe kisha tuyajenge,kama vipi namba yangu 01717 075 65
Kwa wewe uliyr nje ni rahisi kuingia kwenye biashara ya dhahabu kwa uhakika, nakushauri utafute zana za kupimia za uhakika kwani unaweza kuuziwa fake gold. Jitahidi upate testers nzuri, zinazoweza kukusaidia kwenye hii shughuli, then njoo ununue dhahabu ni ya kumwaga Tanzania,Habari zenu Wataalam wa madini humu ndani! Nafikilia kuanza biashara ya madini hasa Dhahabu, kwa sasa nipo nje ya nchi na nimefanikiwa kupata soko huku, nafikilia kununua na kusafirisha mwenyewe mpaka nje, hivi mnaweza kuniambia naweza kununua bei gani Dhahabu nikiwa Machimboni Kama Broker, kwa vile bado Kijana mpambanaji, sioni shida kwenda polini kukusanya dhahabu then nikasafirisha nje mwenyewe... Je! Sheria inaniruhusu kuwa na leseni ya Broker na Super dealer at the same time? Nategemea kuanza na mtaji wa 30 Millions! Je! Unaweza kutosha kuwa mtaji wa kuanzia!
NB:
Mnisaidie majibu kwanza hafu mengine ya lazima uyajue madini vizuri, utaperi n.k yawe mwishoni Kama Maelezo ya ziada! Asante!