Kwa uzalishaji na masoko ya biashara za madini, njoo hapa uliza chochote

mshumbusi,
Kwa hivyo vyote ulivyotaja inahitaj mtaji kama wa kiasi gani? Na kwa biashara kama ya madini ya ruby inalipa?
 
Mkuu Nina Ruby ya Longido kama kilo 2 na ushee na opal kidogo pamoja na mawe tofautitofauti ya kuchongwa ni Pm unitafutie mteja maana hali tete.
Ndugu, ruby longido bado zinapatikana? Na soko lake vipi?inalipa?
 
Is this something valuable or just a stone🤔 😂
 

Attachments

  • 20191127_172721.jpg
    80.6 KB · Views: 23
  • 20191127_172721.jpg
    80.6 KB · Views: 22
  • 20191127_172641.jpg
    98.2 KB · Views: 22
  • 20191127_172612.jpg
    57.7 KB · Views: 23
Ndugu, ruby longido bado zinapatikana? Na soko lake vipi?inalipa?
Mkuu toka aingie mzee baba soko limekuwa ni Shida.Mcheki member mmoja anaitwa Mrangi takupa uhakika.
 
0624320265
 
VP mkuu ulishapata partner. Ningependa pia kujiunga na Wewe ingiwa Sina ujuzi kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu miaka 3 Sasa ishapitaa.. Natamani kuku join kwenye harakati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akhsante kwa post yako
Tuwasiliane kupitia
0752746068
0655746067
mimi napenda BIASHARA ya kuuza makilikia ya madini ya dhahabu Nina shida na mtaji kidogo nipo Geita na madura ninayo NAOMBA kupata mdau tushirikiane
 
Kiongozi Mimi nataka nijifunze kitu Kuna sehemu Kuna Mali na waliweka wakoloni sasa namna ya kuwapatia wateja hasa wazungu wenye interest maana Kuna mekyuli, dhahabu yenye rangi nyekundu na dhahabu yenye rangi ya bluu je naweza kuwapatia tukafanya biashara nao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…