Kwa uzalishaji na masoko ya biashara za madini, njoo hapa uliza chochote

Wakuu naomba kujuzwa. Dhahabu iliyo kwenye muundo wa nugget zina bei sawa kwa gram ukilinganisha na dhahabu hizi wanazozichekecha kwenye makarai?
Gold is gold bei ni sawa....Sema watu wanapendelea nugget kwa sababu hutumi mercury

Ova
 
Wakuu naomba kujuzwa. Dhahabu iliyo kwenye muundo wa nugget zina bei sawa kwa gram ukilinganisha na dhahabu hizi wanazozichekecha kwenye makarai?
Gold nugget huwa inapatikana kwenye jiwe ....wakati wa kusaga jiwe unakutana nalo
Na dhahabu ya nyunga na vikole inapatikana kwenye vain ile kama ya zege

Ova
 


Naomba kufahamishwa QUARTZ ina thamani gani katika soko la madini !!!??
 
Wakuu mimi nina haya madini nataka kujua ni aina gani na soko lake kuna watu wameniambia ni colbat,copper,iron pia nimeambia kuna gold humo 0759292980
 
Mwenye madini ya Maika....ni cheap stone yananunuliwa Kwa tan..anijuze unatakiwa mzigo wa kutosha
 
nitumie namba kuna kitaru kina dhababbu ya kutosh unaweza kuni inbox napenda watu wanaotaka mafanikio ya haraka nakuakikishia nitakupa kitaro na utazalisha zaidi tuwalisiane kwa simu au whatsup
Mkuu na mimi pia nahitaji kitalu ni mkoa gani?
 
Mkuu mshumbusi heshima kwako,nataraji kwa uwezo wa manani umzima.
Mkuu naomba kujuzwa "Je nitaitambuaje Ruby kwa kuitazama kama mimi si mzoefu wa.mambo ya madini ili niweze kugundua kuwa hii ni feki na hii ni original!".
Tafadhali mkuu naomba nisaidie hilo.
 
Au yeyote ukumbini ambaye anaweza nisaidia jambo hili tafadhali asisite kunisaidia.
 
Mkuu Nina Ruby ya Longido kama kilo 2 na ushee na opal kidogo pamoja na mawe tofautitofauti ya kuchongwa ni Pm unitafutie mteja maana hali tete.
Mkuu habari yako, naomba nisaidie kama una uzoefu na madini ya ruby,nifahamishe sifa za ruby halisi na muonekano wake
 
Rafiki, nataka kujua kwa hapa Tz nani anafanya cutting and polishing ya precious stones?
 
Mkuu naomba ushauri nataka kununua dhahabu ila sijui pa kuanzia na je ugumu,faida na hasara inakuwaje na nina capital ya milion mbili tu
 
Mwenye ruby ya longido(Zoisite) tuwasiliane Kuna order nimepata ya ton 2,lile tone jekundu liwe kwenye jiwe kwa 50%
Kama Kna mtu Yuko longido na anaweza pata hayo mawe tiwasiliane tufanye kazi
Order hiyo haina blah blah

Ova
 

Attachments

  • 7c7183455c40f6e3ea25277df457af3f.jpg
    22.7 KB · Views: 317
Mwenye ruby ya longido(Zoisite) tuwasiliane Kuna order nimepata ya ton 2,lile tone jekundu liwe kwenye jiwe kwa 50%
Kama Kna mtu Yuko longido na anaweza pata hayo mawe tiwasiliane tufanye kazi
Order hiyo haina blah blah

Ova
Ruby [emoji184]

Private geologist
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…