Kwa uzalishaji na masoko ya biashara za madini, njoo hapa uliza chochote

Kwa uzalishaji na masoko ya biashara za madini, njoo hapa uliza chochote

Mimi naomba unitumie picha za madini aina ya rubi ili nilinganishe na mzigo uliopo kwa babu inawezekana tupo kwenye umasikini alafu utajili umewekwa kwenye ndoo ndani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafadhali naitaji kupata picha au maelezo ya madini Aina ya rubi na aina zake whatsapp 0653825730 kupiga na ku sms tumia 0629159417 nipo morogoro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halo wakuu salaam,mm nina connections na wauzaji wa almas wengi ila sijabahatika kupata mnunuzi mzuri. Wengi wa wanunuzi wa bongo hulalia sana bei so imekua shida kuclose deal. Je kuna mwenye mnunuzi wa nje ambaye anaweza kufuata mzigo Tz?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iv mkuu kuna aina ngp za madini hapa Tz? Ni aina ipi ina biashara ukiachana na almas, tanzanite na dhahabu? Je soko la madini huwa ni la uhakika? Changamoto ni zipi katika hili soko. Na ni mtaji wa kiasi gani unahitajika ili kufanya hii biashara? Swali la kizushi. .ni lazma uwe na bastola au silaha yeyote ya moto kwenye hii business?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mtaji wa madini ni kama shilingi ngap hiv za kibongo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu madini yanatofautiana. Kuna metali kama dhahabu copper nk na kuna vito yaani gemstone kama almas tanzanite nk nk. Kuna madini ni very expensive mfano alams ila pia yapo mengine si ghali kiasi kwamba yananunuliwa kwa tani au kilos. So ukitaka jipange utafanya ununuzi au kuwa mtu wa kati na utadeal na nn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NAHITAJI SUPPLER MKUBWA WA MADINI YA COPPER OR SCRAP 20TNS PER MONTH AND ALUMINUM SCRAPE 20TNS OPER MOTNH
 
Habari wakuu.ninatafuta partner wa kushirikiana nae kwenye uchimbaji wa gold maeneo ya mavota karibu na tulawaka goldmine.Nina leseni na nimeshachimba futi 120.nahitaji partner ambae atanunua crusher au kujenga plant ili tuanze kuozesha

Sent from my H7 using JamiiForums mobile app
Mkuu nahitaji contact zako kama hutojali
 
Back
Top Bottom