youngkato
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,319
- 3,097
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuma picha za hayo mawe yanayofanana na sumaku na hayo yanayofanana na peniMimi nipo morogoro kalibu na nyumba ya bibi kuna mawe yananasa smaku pia kuna mtu wangu fulani ivi ana mawe ambayo yapo kama pen
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu madini yanatofautiana. Kuna metali kama dhahabu copper nk na kuna vito yaani gemstone kama almas tanzanite nk nk. Kuna madini ni very expensive mfano alams ila pia yapo mengine si ghali kiasi kwamba yananunuliwa kwa tani au kilos. So ukitaka jipange utafanya ununuzi au kuwa mtu wa kati na utadeal na nn
Mkuu nahitaji contact zako kama hutojaliHabari wakuu.ninatafuta partner wa kushirikiana nae kwenye uchimbaji wa gold maeneo ya mavota karibu na tulawaka goldmine.Nina leseni na nimeshachimba futi 120.nahitaji partner ambae atanunua crusher au kujenga plant ili tuanze kuozesha
Sent from my H7 using JamiiForums mobile app
Ha ha ha ha! Wengine hapa wanatafuta tu njaa. Miradi ya mabilioni hapa hapa mmhSi mchezo huu uzi!!