Kwa uzandiki aliofanya January Makamba kwa Hayati Magufuli hakupaswa kuteuliwa kuwa waziri. Uzandiki dhidi ya Rais ni kosa kubwa sana

Japokuwa uteuzi huwa ni bakshishi za kisiasa kwa watu wa karibu wa mwenye mamlaka lakini teuzi lazima zizingatie maadili,utii na sifa njema.

Urais ni taasisi na sio mtu mmoja tu. Kama January alionyesha uzandiki na hila kwa rais aliyepita na kisha akanaswa akimsengenya kimajungu mkuu wa nchi, huyu anafaa kurudi kwenye kabineti tena?

Maana ilidhihirika wazi kuwa hakuwa na utii kwa rais. Na ndio maana alidiliki kupika majungu.

Clip zilirushwa wazi na akaomba msamaha. Sasa leo ofisi ya rais imeona vipi kuwa anafaa? Japokuwa ni mzandiki?
Si uzandiki tu, Makamba ni mwizi. Hana sifa ya kuwa waziri. Atuambie bilioni moja yetu aliyoiiba itarejeshwaje. Au ataiba tena.
 
Japokuwa uteuzi huwa ni bakshishi za kisiasa kwa watu wa karibu wa mwenye mamlaka lakini teuzi lazima zizingatie maadili,utii na sifa njema.

Urais ni taasisi na sio mtu mmoja tu. Kama January alionyesha uzandiki na hila kwa rais aliyepita na kisha akanaswa akimsengenya kimajungu mkuu wa nchi, huyu anafaa kurudi kwenye kabineti tena?

Maana ilidhihirika wazi kuwa hakuwa na utii kwa rais. Na ndio maana alidiliki kupika majungu.

Clip zilirushwa wazi na akaomba msamaha. Sasa leo ofisi ya rais imeona vipi kuwa anafaa? Japokuwa ni mzandiki?

kila zama na kitabu chake mkuu??
 
Nakuunga mkono kwa asilimia 100. Makamba hakutakiwa kuteuliwa kuwa Waziri .
Na walikuwa wakimsema kikwete na Magufuli kwa wakati tofauti Kama Bashiru, Bulaya, Kafulila, Mdee, Waitara, nasari , na wengine kibao kama polepole na wengine nao Magufuli hakutakiwa kuwapa vyeo?

Au tumesahau?
 
Lengo lao tumelishajua ila 2025 kanda ya ziwa kwa umoja wetu tumekubaliana kuwafundisha adabu katika sanduku la kura.
Kama ni kweli basi 2025 kutakuwa na shughuli pevu, sio mchezo !!
 
Japokuwa uteuzi huwa ni bakshishi za kisiasa kwa watu wa karibu wa mwenye mamlaka lakini teuzi lazima zizingatie maadili,utii na sifa njema.

Urais ni taasisi na sio mtu mmoja tu. Kama January alionyesha uzandiki na hila kwa rais aliyepita na kisha akanaswa akimsengenya kimajungu mkuu wa nchi, huyu anafaa kurudi kwenye kabineti tena?

Maana ilidhihirika wazi kuwa hakuwa na utii kwa rais. Na ndio maana alidiliki kupika majungu.

Clip zilirushwa wazi na akaomba msamaha. Sasa leo ofisi ya rais imeona vipi kuwa anafaa? Japokuwa ni mzandiki?
Hapo ujue makosa yalifanyika kumpa nchi kichaa, kama alivyosema diallo
 
Hivi mwenda zake hakuwapa faraja ama nafasi waliokuwa maadui wa raisi aliyepita? Je, huu haukuwa ni uzandiki? Mambo ya mkuki kwa nguruwe haya
Nakuunga mkono kwa asilimia 100. Makamba hakutakiwa kuteuliwa kuwa Waziri .
 
Japokuwa uteuzi huwa ni bakshishi za kisiasa kwa watu wa karibu wa mwenye mamlaka lakini teuzi lazima zizingatie maadili,utii na sifa njema.

Urais ni taasisi na sio mtu mmoja tu. Kama January alionyesha uzandiki na hila kwa rais aliyepita na kisha akanaswa akimsengenya kimajungu mkuu wa nchi, huyu anafaa kurudi kwenye kabineti tena?

Maana ilidhihirika wazi kuwa hakuwa na utii kwa rais. Na ndio maana alidiliki kupika majungu.

Clip zilirushwa wazi na akaomba msamaha. Sasa leo ofisi ya rais imeona vipi kuwa anafaa? Japokuwa ni mzandiki?
Inaonekana Chifu Hangaya hilo ni kama halimuhusu ingawa ukweli ni kuwa January alichomfanyia rais aliyepita kinamkosesha sifa ya kuaminiwa kwa nafasi ya Uwaziri.

Vv
 
You are talking nonsense kwa vile Jiwe you equated him na Mungu au zaidi ya Mungu. Rubbish, Ni mtu Kama watu wengine, Ni ngekewa tu siyo kuwa ana akili kuliko wengine.
Mbonà yeye aliwapoteza akina Ben, Mawazo etc etc
 
Magufuli hakuwa na maadili na alikuwa rais muovu. Januari sio muadilifu hilo liko wazi,lakini ana afadhali kwenye uadilifu kuliko alivyokuwa Magufuli.
pokuwa uteuzi huwa ni bakshishi za kisiasa kwa watu wa karibu wa mwenye mamlaka lakini teuzi lazima zizingatie maadili,utii na sifa njema.

Urais ni taasisi na sio mtu mmoja tu. Kama January alionyesha uzandiki na hila kwa rais aliyepita na kisha akanaswa akimsengenya kimajungu mkuu wa nchi, huyu anafaa kurudi kwenye kabineti tena?

Maana ilidhihirika wazi kuwa hakuwa na utii kwa rais. Na ndio maana alidiliki kupika majungu.

Clip zilirushwa wazi na akaomba msamaha. Sasa leo ofisi ya rais imeona vipi kuwa anafaa? Japokuwa ni mzandiki?
 
Kama kanda ya ziwa mngekuwa na uwezo wa kufundisha watu kwenye box la kura, Magufuli asingeagiza wizi wa kura tuliouona 2020.
Lengo lao tumelishajua ila 2025 kanda ya ziwa kwa umoja wetu tumekubaliana kuwafundisha adabu katika sanduku la kura.
 
Chief Hana namna ,asipofanya anayoambiwa unadhani nn kitatokea kwake!!??, Kama hamjashtuka ni maandalizi ya msimu ujao 2025, soon nwana MNANIJUA MIMI NI NANI will be in kwenye balaza la ma ministers! adui mkubwa bado yupo ,Cha ajabu watu wabaya wanamaisha marefu Sana!!
 
Nyakati zimeshabadilika shilingi imegeuka,Sasa ni muda wa malipo ya uzandiki
 
Japokuwa uteuzi huwa ni bakshishi za kisiasa kwa watu wa karibu wa mwenye mamlaka lakini teuzi lazima zizingatie maadili,utii na sifa njema.

Urais ni taasisi na sio mtu mmoja tu. Kama January alionyesha uzandiki na hila kwa rais aliyepita na kisha akanaswa akimsengenya kimajungu mkuu wa nchi, huyu anafaa kurudi kwenye kabineti tena?

Maana ilidhihirika wazi kuwa hakuwa na utii kwa rais. Na ndio maana alidiliki kupika majungu.

Clip zilirushwa wazi na akaomba msamaha. Sasa leo ofisi ya rais imeona vipi kuwa anafaa? Japokuwa ni mzandiki?
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwani unateseka,kila Zama na nabii wake muache apige kazi Yale ya Mwendazake yaliishia kule kule na chuki zake acha mwezi wa 1 apige kazi
 
Back
Top Bottom