Kwa uzoefu wangu, sehemu zenye Waha wengi ni ngumu sana kufanya biashara

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
8,589
Reaction score
16,936
Salaam

Nia ya uzi wangu sio kubeza wala kudhihaki mtu yoyote, ila natoa angalizo tu kwa mtu mwenye nia/ ndoto/ dhamira/ kusudi la kufanya biashara ajue anakabiliwa na mtihani mkubwa mbeleni.

Utafiti wangu umejikita mitaa ya Boko Chasimba, ambako Nina nyumba kadhaa za kupangisha na ninaona hali halisi ilivyo, kwani ni eneo lenye Waha wengi na ndio walifika mapema zaidi eneo hilo.

Waha hununua bidhaa kwenye maduka ya Waha wenzao. Hununua chakula kwenye migahawa ya Waha wenzao, pia ni wagumu sana kununua nyama.

Ukiwa na bucha huku utalaza nyama mpaka ukome. Waha sii walaji wa mahotelini. Huku Chasimba ukianzisha hata sehemu ya kitimoto, hupati mteja. Watu wanataka kwenda kwa Isaya ambaye anauza mapande ya kichwa cha nguruwe buku buku, maini ya nguruwe, mapupu, figo na utumbo wa nguruwe, kitu ambacho sijawahi kuona sehemu nyingine aina hiyo ya biashara.

Huku huwezi kufungua bar, jamaa ni mabahili hatari. Bia wanapenda ila kununua hawataki, wanakunywa Nipe Tano, Dabo Kiki, Sungura and the likes.

Huku kuna supu hadi ya shilingi Mia tano ya utumbo aina ya Msinjilo, utaipata kwa Mama Sumaiya.

Hizo pombe kali na zenyewe zinapimwa kuanzia Mia mbili na kuendelea. Pombe kama Scud na wanzuki ndio zimeshamiri.

Hakika kwa ninayoyaona, ni ngumu mno hawa wenzetu kujichanganya, ni wabishi sana na wajuaji.

Waha ndio watoto uwe unawavalisha jezi za taifa stars ya Maximo za 3,000/ Manzese?
Acheni ubahili. Mtoto kanisani anavaa jezi ya Taifa Stars, walibadilisha anavaa shati la kitenge kilichobaki kwenye nguo ya Mama yake...

Akitaka kuoa lazima arudi kwao, ukimpangisha nyumba yako ataharibu bomba atataka wewe ukarabati.

Tulakoze
 
Aisee pole mkuu...kila jamii ina utamaduni wake wa matumizi. Kuna wanaotumia kidogo na wengine ni Watumiaji wazuri.
Fanya biashara kwenye maeneo yenye wenyeji wa Dar, wao ni watumiajia wazuri hawajui kujibana na hawachagui kabila au dini
 
Kuna jamaa alijichanganya kibanda umiza siku ya big match akaweka kiingilio 1000,jamaa waliweka mgomo baridi hawakuingia bandan,yaan bandani tulikuwemo kama kumi tu

Hapo ndo niliwaelewa hawa jamaa ni bahili hatar

Mwingine alikuwa ana kibunda cha laki 5 na analala kwenye maboksi vibarazan
 
Duh hii sasa iko kweny damu
 
Salaam.
Nia ya uzi wangu sio kubeza wala kudhihaki mtu yoyote, ila natoa angalizo tu kwa mtu mwenye nia/ ndoto/ dhamira/ kusudi la kufanya biashara ajue anakabiliwa na mtihani mkubwa mbeleni.

Utafiti wangu umejikita mitaa ya Boko Chasimba, ambako Nina nyumba kadhaa za kupangisha na ninaona hali halisi ilivyo, kwani ni eneo lenye Waha wengi na ndio walifika mapema zaidi eneo hilo.

Waha hununua bidhaa kwenye maduka ya Waha wenzao. Hununua chakula kwenye migahawa ya Waha wenzao, pia ni wagumu sana kununua nyama.

Ukiwa na bucha huku utalaza nyama mpaka ukome. Waha sii walaji wa mahotelini. Huku Chasimba ukianzisha hata sehemu ya kitimoto, hupati mteja. Watu wanataka kwenda kwa Isaya ambaye anauza mapande ya kichwa cha nguruwe buku buku, maini ya nguruwe, mapupu, figo na utumbo wa nguruwe, kitu ambacho sijawahi kuona sehemu nyingine aina hiyo ya biashara.

Huku huwezi kufungua bar, jamaa ni mabahili hatari. Bia wanapenda ila kununua hawataki, wanakunywa Nipe Tano, Dabo Kiki, Sungura and the likes.

Huku kuna supu hadi ya shilingi Mia tano ya utumbo aina ya Msinjilo, utaipata kwa Mama Sumaiya.

Hizo pombe kali na zenyewe zinapimwa kuanzia Mia mbili na kuendelea. Pombe kama Scud na wanzuki ndio zimeshamiri.

Hakika kwa ninayoyaona, ni ngumu mno hawa wenzetu kujichanganya, ni wabishi sana na wajuaji.

Akitaka kuoa lazima arudi kwao, ukimpangisha nyumba yako ataharibu bomba atataka wewe ukarabati.

Tulakoze
Vivo hivyo na ndugu zao warundi...burundi ni moja ya nchi ngumu mno kufannya biashara sababu ya wananchi wake kuwa ni wabahili kupitiliza. Biashara zao nyingi faida ni 10% na wanashindana kushusha bei ya vitu wanaishia kupata faida kiduchu
 
Back
Top Bottom