Kwa uzoefu wangu, sehemu zenye Waha wengi ni ngumu sana kufanya biashara

Kwa uzoefu wangu, sehemu zenye Waha wengi ni ngumu sana kufanya biashara

Tuna majini na nyoka za kutosha 😹😹😹

Ila chino bana 😂
Vipi uko pouwa? Wakinga mnatuandama sana.!!
Kwani anayebomoa zile gorofa pale mitaa ya msimbazi na uhuru ni nani?

Dah ndo umeibuka.
Na kule ndio umelimwa
 
Kwani anayebomoa zile gorofa pale mitaa ya msimbazi na uhuru ni nani?

Dah ndo umeibuka.
Na kule ndio umelimwa
😹😹😹 Toka siku ile ndo nimerudi leo bana, kule ntarudi soon sema muda sasa ndo sina
 
Nilifikiri umeenda somalia fuata vijora

Dah si ntaharibu threads za watu sana sasa
Vijora bado sijaenda kufata bana, mzigo mpya ukiingia ntakushtua umchukulie mama sawa?? Naitaka pesa yako chino 😹
 
Uzuri wa waha ni uaminifu na uchapa kazi hasa ukiwa umemuajiri ,wako poa sana hapo
Nawàshauri watu wenye miradi ya kilimo au ufugaji , waha ni choice bora kabisa .
Nimekaa nao na nimeona kuna watu mpaka leo kwenye miradi yao wana hao vijana waliowaajiri miaka kumi sasa na wengine zaidi .
Ni nadra kupata kabila lenye watu wa kazi na uaminifu Tanzania hii kama waha .
 
kitu nimegundua hao tunaowaona town tukawaita waha, si waha ni warundi.. muha ni mvivu, hapendi kuhama kigoma wala hapendi wahamiaji mkoani kwake, hajui kufuga wala kulima kazi zote anafanyiwa na mrundi ndo kama mtumwa make huku. nimejionea mengi wilaya ya kasulu vijijini
Kuna mzee hapa kawaajiri hawa wana mwaka wa kumi sasa , wapo watano amewajengea bweni hapo , wanafanya kazi ya kulisha ng'ombe na nguruwe , wako poa kabisa .
Mzee hana streess kabisa pesa inaingia bila stress
 
SASA HIVI WARUNDI WENGI WANAJIFANYA WAHA WAMEINGIA NCHINI NA WANAUZA MATUNDA KAHAWA NA WAPO MASOKONI WAKIUZA MIFUKO NA WENGI NI BODABODA HAO WENGI WAHAMIAJI KUTOKA BURUNDI TABIA ZAO NA MTANZANIA ZIPO TOFAUTI ILA WAHA ORIGAL WANAWAJUA WARUNDI WANAPOONGEA ILA WANAFICHIANA SIRI
 
mapande ya kichwa cha nguruwe, maini ya nguruwe, mapupu, figo na utumbo wa nguruwe, mdudu nakula ila siwezi kufikia hatua ya kula na hivo vitu
 
Joshua William Mbilinyi nyie Wakinga bado sana kwa Waha
 
Back
Top Bottom