Kwa uzoefu wangu, sehemu zenye Waha wengi ni ngumu sana kufanya biashara

Kwa uzoefu wangu, sehemu zenye Waha wengi ni ngumu sana kufanya biashara

Mnatuzushia waha, hatuna tabia ya uchafu. Sisi tupo kawaida hatuvai nguo za gharama maana hatuna uwezo nazo, lkn tuko smart na tunaoga nakupaka mafuta ya mgando/Nazi maana ndio uwezo wetu. Lakini kikubwa kuliko yote waha tunajua kuitafuta pesa awe mwanamke au mwanaume na niwavumilivu mno.
Kwenye uvumilivu ni wanawake wenu sio nyie wanaume!!

Nyie ni wachafu wa mazingira kiukweli hapana mmezidi🙌
 
Jamani mnatusimanga au mnatusifia...ubishi,ubahili na uchawi ndo sifa zetu kuu...sasa usiombe muha kasomea India halafu field kafanya Kigoma..huyo akisahau miambili nyumbani atampigia mke wake sim aikute hyo miambili...kwahyo msituchoke.
 
Ila hata hapa mtaani kwetu aisee watu wamejaribu kufungua maduka ya takataka ila wameishia kufunga TU...ni maduka ya waha TU ndo Yana survive
Juzi kuna mtu kaandika uzi hapa kijana graduate kapewa duka 3.5M
Kazi yake ni kula chips kuku na kuhonga mademu limekauka.
Watu hawali starehe mwanzoni ukibugi utasingizia uchawi
 
Mnatuzushia waha, hatuna tabia ya uchafu. Sisi tupo kawaida hatuvai nguo za gharama maana hatuna uwezo nazo, lkn tuko smart na tunaoga nakupaka mafuta ya mgando/Nazi maana ndio uwezo wetu. Lakini kikubwa kuliko yote waha tunajua kuitafuta pesa awe mwanamke au mwanaume na niwavumilivu mno.
Mimi sina ndugu muha ila kwa hili sikupingi
 
Kanuni ya utajirisho inasema, hupaswi kutumia zaidi ya kile unachopata. Ukiifuata lazima utabaki na akiba! ... Ni kanuni inayomgusa mtu binafsi, Kampuni Serikali n.k.
Hakika mkurugenzi.... Uko sahihi kwa kweli nakubaliana na wewe...
 
Waha wamejifunza biashara na ubahiri kutoka kwa waarabu na wahindi.
Ikumbukwe kuwa miji yote wilaya na kata za mkoa wa kigoma, centre zote za biashara na majengo vilikuwa mali ya wahindi na waarabu.

Anzia Kigoma yenyewe, Kasulu Kibondo,Kakonko na Uvinza, kote baada ya uhuru walijaa waasia na waarabu.
Waha walikuwa wanunuzi tu tena kwa kupatanisha bei nafuu na kutunza pesa.
Baada ya waasia na waarabu kuondoka, nafasi ilichukuliwa na walanguzi wa kiha ambao wanarithishana mbinu hadi siku ya leo.
Wengine wanaofanana na waha katika kufanya biashara kimbinu ni wakinga.
 
Halafu kasi yao ya kuja.mjini imekuwa kubwa sana kila muha mjini anajiita Kasulu. Halafu wanaleta.mpaka wafanyakazi wa ndani waburundi townsiku hizi
 
Waha wamejifunza biashara na ubahiri kutoka kwa waarabu na wahindi.
Ikumbukwe kuwa miji yote wilaya na kata za mkoa wa kigoma, centre zote za biashara na majengo vilikuwa mali ya wahindi na waarabu.

Anzia Kigoma yenyewe, Kasulu Kibondo,Kakonko na Uvinza, kote baada ya uhuru walijaa waasia na waarabu.
Waha walikuwa wanunuzi tu tena kwa kupatanisha bei nafuu na kutunza pesa.
Baada ya waasia na waarabu kuondoka, nafasi ilichukuliwa na walanguzi wa kiha ambao wanarithishana mbinu hadi siku ya leo.
Wengine wanaofanana na waha katika kufanya biashara kimbinu ni wakinga.
Ila sifa zao tuwape jamani,
Ni wachapakazi haswa, ukimkuta muha anapiga kazi ya kutumia nguvu utafurahi yaani huwa hawachoki.

Kingine ni uaminifu nafanya biashara na waha kadhaa ni waaminifu sana, hawana janja janja Kama wachaga.
 
Halafu bado mnaichagua CCM wakati kwa zaidi ya miaka 60 imeshindwa kubadilisha hali zenu za maisha licha ya nchi kuzungukwa na rasiliamali za kila aina kila sehemu.

Ccm ni laana
Hili ni suala jingine sasa, we unajuaje kama CCM inachaguliwa kwa ukubwa huo?
Okay unaweza kusema watu wapambane hata kwa migomo na matumizi ya nguvu, unadhani hiyo collective conscious iko juu kwa kiasi hicho kwa Watanzania?

Unadhani hata huo "utanzania" umefikia utaifa ndani ya viini vya mioyo ya watu, au sisi ni mkusanyiko wa watu wa jamii mbalimbali ndani ya mipaka,tukawa nchi, lakini bado makabila yana nguvu kuliko utanzania?

Wewe kama wewe na jina lako la utajiri umewahi hata ku challenge kitu kwa kufuata njia za sheria?

Kaka collective consciousness yetu haijafiki kiwango cha juu, simple efforts za divide and rule, na kutumia ideology and ideological state apparatus, pia repressive state apparatus CCM wanashinda. We utataka mimi niende king'ombe ng'ombe kudai haki kwa watu ambao hawajali wanachofanya, matokeo ni kifo.

Hao waha pengine ndio wapinzani wa chama tawala awali na awali zaidi, mwishowe wameamua kuwa walivyo inawachukua muda lakini watasogea mlipo wachaga na wakinga kibiashara 😆
 
Mnatuzushia waha, hatuna tabia ya uchafu. Sisi tupo kawaida hatuvai nguo za gharama maana hatuna uwezo nazo, lkn tuko smart na tunaoga nakupaka mafuta ya mgando/Nazi maana ndio uwezo wetu. Lakini kikubwa kuliko yote waha tunajua kuitafuta pesa awe mwanamke au mwanaume na niwavumilivu mno.
Acha uongo katika tqafa ili kabila lingoza kwa uchafu wakwanza muha alafu anafuata mgogo
 
Back
Top Bottom