KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
- Thread starter
- #201
Mmepigika kwa kweliYani wewe unashinda keenye kaduka kako unapigwa feni sisi tupo mtaani na mavyombo tunapigwa na jua unataka jioni tuje tukuunge kiwepesiwepesi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmepigika kwa kweliYani wewe unashinda keenye kaduka kako unapigwa feni sisi tupo mtaani na mavyombo tunapigwa na jua unataka jioni tuje tukuunge kiwepesiwepesi tu
Wewe wasemaLakini ni ndugu zako
Mkuu ubahiri ndio chanzo cha utajiri. Ndio maana wachaga, wapare na waha wanatoboa kimaisha kwa sababu ya ubahili wao. Huwezi kutoka kibiashara na kimaisha bila kuendekeza ubahairi mkuu.Salaam
Nia ya uzi wangu sio kubeza wala kudhihaki mtu yoyote, ila natoa angalizo tu kwa mtu mwenye nia/ ndoto/ dhamira/ kusudi la kufanya biashara ajue anakabiliwa na mtihani mkubwa mbeleni.
Utafiti wangu umejikita mitaa ya Boko Chasimba, ambako Nina nyumba kadhaa za kupangisha na ninaona hali halisi ilivyo, kwani ni eneo lenye Waha wengi na ndio walifika mapema zaidi eneo hilo.
Waha hununua bidhaa kwenye maduka ya Waha wenzao. Hununua chakula kwenye migahawa ya Waha wenzao, pia ni wagumu sana kununua nyama.
Ukiwa na bucha huku utalaza nyama mpaka ukome. Waha sii walaji wa mahotelini. Huku Chasimba ukianzisha hata sehemu ya kitimoto, hupati mteja. Watu wanataka kwenda kwa Isaya ambaye anauza mapande ya kichwa cha nguruwe buku buku, maini ya nguruwe, mapupu, figo na utumbo wa nguruwe, kitu ambacho sijawahi kuona sehemu nyingine aina hiyo ya biashara.
Huku huwezi kufungua bar, jamaa ni mabahili hatari. Bia wanapenda ila kununua hawataki, wanakunywa Nipe Tano, Dabo Kiki, Sungura and the likes.
Huku kuna supu hadi ya shilingi Mia tano ya utumbo aina ya Msinjilo, utaipata kwa Mama Sumaiya.
Hizo pombe kali na zenyewe zinapimwa kuanzia Mia mbili na kuendelea. Pombe kama Scud na wanzuki ndio zimeshamiri.
Hakika kwa ninayoyaona, ni ngumu mno hawa wenzetu kujichanganya, ni wabishi sana na wajuaji.
Akitaka kuoa lazima arudi kwao, ukimpangisha nyumba yako ataharibu bomba atataka wewe ukarabati.
Tulakoze
Ubahiri mpaka kwenye Serekali😂😂😂😂..... Si ndiyo mkuu?Hulka hiyo ya ubahiri ndiyo iliyowezesha Tanzania kuingia uchumi wa kati kupitia waziri wa fedha wakati huo, Mhishimiwa G. Mpango..... Au nakosea ndugu zangu?![]()
![]()
Nidahmu ya pesa ndio watanzania wanaita ubahili. Mimi ni Muha lakini nahitaji sasa nioe mchaga Ili combination ikamilike.😅😅😅 ila wachaga sio wabahili labda kama ndio anaanza kujitafuta lazima awe na nidhamu ya pesa .
Pole mkuu, waha ndio tulivyo nahio dhiki yakwetu ndio tunapambna nayo Ili tuboreshe maisha yetu. Hapana waha hawatekelezi familia bali tunaenda kutafuta huku tukiwa tumeacha familia nyumban, na Ili turudi nyumbani ni either turudi na pesa au irudi maiti.Ni bahili haswa hao watu, sijui ni ile hali ya kuzoea dhiki, hiyo ya kuoa kwao ni wanawake wa kwao ndio wanawaweza maana wanawake wao wana tuzo ya uvumilivu, mwanaume wa kiha kutelekeza familia ni jambo la kawaida na ni km desturi, waroho wachoyo akinunua nyama atahesabu minofu
Sisi ni bahili nahatutoe pesa hovyo, kwahio kama lengo ni kuhongwa hivyo hovyo kwetu sahau. Kama kula utakula kitachokuwepo lkn kupewa pesa Hilo sahau. Tunajua tukotoka na bahati nzuri zaidi tunajua tunataka kwenda wapi.Heri kuishi na mwanamke wa kiha kuliko mwanaume wa kiha hamna maana
Hio paragraph ya mwisho ni uongo au anakukejeli kwa kuona kipato chako nikidogo kuliko yeye halafu unatumia vibaya zaidi ya kipato chako.MTU Ana biashara kubwa tu, unamwambia twende tukale kitimoto tujadili mawili matatu, anasema sawa, Mnataka kwa ajili ya business talk, mnaagiza kilo Yenu , nusu chops, nusu ribs na ndizi nne.
Mnaongea issue mbalimbali za kibiashara, mnamaliza kula, kwa kuwa wewe (mimi) ndiye niliyeitisha/ niliyeonba kikao ninaletewe bill, inawekwa mezani kwenye glass, anairukia kusoma amount, naona sura yake imebadilika.
Muhudumu anakuja, ninamuomba nilipe kwa ku scan QR Code. Na tunaendelea kidogo na maongezi.
Ghafla jamaa anasema aisee, ungeagiza tu nusu kilo kwa ajili yako, hiyo hela ya nusu nyingine ungenipa, wakati mwingine vikao tuwe tunafanyia nyumbani kwangu, kitimoto utununulie nyumba nzima
Hakuna Muha anapenda kuomba omba, Muha ndio mtu ambae hawezi Saidia akabaki anaumia moyoni kama atasema hana( haukua kwenye budget yake).Ubahili, uchafu, ubishi, waongo, wagumu kutoa/kusaidia wanapenda kuomba, wakiazima kitu hawarudishi labda ufuate.
Sifa yao nzuri sana ni wachapakazi, wanajituma sanaa.
Watu wa kazi kazi kweli.
Wengi wao wanajiita waha takribani 80% ni warundi siyo waha watanzania halisi.
Usitufute sisi tu, futa na wasukuma, wahaya, wachaga mkuu.Kama ningekuwa na uwezo wa kufuta hili kabila ningelifuta aisee hawa jamaa Wana maisha ya kubagua Kwa kuangalia watu wa kabila Lao Tu..
Hilo nimeona Sana huku chamazi ambako nafanya biashara.
Kama unaishi na hao wajinga jitahid uende sehemu nyingine akafanye biashara usijichanganye ukafungua Duka huku walikuzunguka ni waha ambao wanauza bidhaa kama zako, hawa jamaa sio watanzania kabisaa
Hakuna Muha shoga.Waha wengi ni mashoga, chunguza!!!
Yes maisha magumu wapunguzie mkuu.Majengo Kinzudi Nina nyumba zangu, mitaa ya kwa Mbwiga, hawa jamaa ni kero to the fullest, kila kodi ikiisha wanataka discount
Wewe hutujui waha.kitu nimegundua hao tunaowaona town tukawaita waha, si waha ni warundi.. muha ni mvivu, hapendi kuhama kigoma wala hapendi wahamiaji mkoani kwake, hajui kufuga wala kulima kazi zote anafanyiwa na mrundi ndo kama mtumwa make huku. nimejionea mengi wilaya ya kasulu vijijini
Kapata mke, waha sio wachoyo hasa kwenye chakula, pia hata mwanamke alale njaa siku 3 hawezi chepuka Bali atamshawishi mumewe ampe hata elfu 10 aanze kuuza mkaa au afungue genge. Mshuri akaoe haraka.Wake zao vipi kuna kijana anataka kuwowa huko...
Kanuni ya utajirisho inasema, hupaswi kutumia zaidi ya kile unachopata. Ukiifuata lazima utabaki na akiba! ... Ni kanuni inayomgusa mtu binafsi, Kampuni Serikali n.k.Ubahiri mpaka kwenye Serekali😂😂😂😂..... Si ndiyo mkuu?
Acha waendelee kutumia mpaka wakope kwa ajili ya matumizi ya anasa. Sisi acha tuendelee kuwa mabahili.Kanuni ya utajirisho inasema, hupaswi kutumia zaidi ya kile unachopata. Ukiifuata lazima utabaki na akiba! ... Ni kanuni inayomgusa mtu binafsi, Kampuni Serikali n.k.
Si kweli mkuu, waha ndio kabila lililoanza kutumika "Manamba" kwenye mashamba ya mkonge huko Tanga na Morogoro tangu miaka ya sitini. Wengine walihamia Uganda, Sengerema Chato na Buseresere miaka hiyo ya nyuma na walikuwa na tabia ya kujificha.kitu nimegundua hao tunaowaona town tukawaita waha, si waha ni warundi.. muha ni mvivu, hapendi kuhama kigoma wala hapendi wahamiaji mkoani kwake, hajui kufuga wala kulima kazi zote anafanyiwa na mrundi ndo kama mtumwa make huku. nimejionea mengi wilaya ya kasulu vijijini
Mwamba naongea kitu na uhakika. Waha wanapenda sana kitonga, kamseleleko.Hakuna Muha anapenda kuomba omba, Muha ndio mtu ambae hawezi Saidia akabaki anaumia moyoni kama atasema hana( haukua kwenye budget yake).