Kwa uzoefu wangu, sehemu zenye Waha wengi ni ngumu sana kufanya biashara

Kwa uzoefu wangu, sehemu zenye Waha wengi ni ngumu sana kufanya biashara

kitu nimegundua hao tunaowaona town tukawaita waha, si waha ni warundi.. muha ni mvivu, hapendi kuhama kigoma wala hapendi wahamiaji mkoani kwake, hajui kufuga wala kulima kazi zote anafanyiwa na mrundi ndo kama mtumwa make huku. nimejionea mengi wilaya ya kasulu vijijini
 
Hili nalo neno, red alert to immigration department
 
Ukiona maisha Magumu, tafuta rafiki Muha au ishi maeneo wanayoishi,
Kuna kipindi nilipigika baada ya kujichanganya, nikawa na jamaa yangu muha bingwa wa kubana matumizi, hio siku akanipeleka chocho la ugali na mboga kama nne hivi kwa tsh 300., Yes namaanisha mia tatu.., Sema baada ya kufika geto kulikua na safari nyingine ya kuitafuta dispensary
Daaa...aseee nmecheka kama chiz
 
Salaam

Nia ya uzi wangu sio kubeza wala kudhihaki mtu yoyote, ila natoa angalizo tu kwa mtu mwenye nia/ ndoto/ dhamira/ kusudi la kufanya biashara ajue anakabiliwa na mtihani mkubwa mbeleni.

Utafiti wangu umejikita mitaa ya Boko Chasimba, ambako Nina nyumba kadhaa za kupangisha na ninaona hali halisi ilivyo, kwani ni eneo lenye Waha wengi na ndio walifika mapema zaidi eneo hilo.

Waha hununua bidhaa kwenye maduka ya Waha wenzao. Hununua chakula kwenye migahawa ya Waha wenzao, pia ni wagumu sana kununua nyama.

Ukiwa na bucha huku utalaza nyama mpaka ukome. Waha sii walaji wa mahotelini. Huku Chasimba ukianzisha hata sehemu ya kitimoto, hupati mteja. Watu wanataka kwenda kwa Isaya ambaye anauza mapande ya kichwa cha nguruwe buku buku, maini ya nguruwe, mapupu, figo na utumbo wa nguruwe, kitu ambacho sijawahi kuona sehemu nyingine aina hiyo ya biashara.

Huku huwezi kufungua bar, jamaa ni mabahili hatari. Bia wanapenda ila kununua hawataki, wanakunywa Nipe Tano, Dabo Kiki, Sungura and the likes.

Huku kuna supu hadi ya shilingi Mia tano ya utumbo aina ya Msinjilo, utaipata kwa Mama Sumaiya.

Hizo pombe kali na zenyewe zinapimwa kuanzia Mia mbili na kuendelea. Pombe kama Scud na wanzuki ndio zimeshamiri.

Hakika kwa ninayoyaona, ni ngumu mno hawa wenzetu kujichanganya, ni wabishi sana na wajuaji.

Akitaka kuoa lazima arudi kwao, ukimpangisha nyumba yako ataharibu bomba atataka wewe ukarabati.

Tulakoze
Ukimkopesha muha mpaka utatoa machozi
 
Tunaingia kwenye ukabila taratiibu, mataifa yote ambayo ukabila na ukanda umekita mizizi, mijadara yake Huwa ni kama hii.
Hakuna kabila lisilo na mapungufu madogomadogo juu ya standards za kabila lingine. Hizo sifa zilizotajwa hapo juu Kwa mtu aliyetembea nchi hii zipo karibu kwenye makabila yote. Kusema kwamba hizo pombe ndio wametengezewa waha pekee.
Abstain from tribalism
 
Haha haha
 
Sas naona kuna kutupiana sifa za ubahiri.Kanda ya nyanda za juu kusin watu wana waghaya wakinga kwa ubahiri kichiz.Labda mtudadafulie makabira angalau matatu yanayo ongoza kwa sifa zifuatazo kwa pamoja ubahiri,uchoyo,ubinafsi na kujtenga.ikibid mtoe top ten kabsaa ili tufanye analysis kwa pamoja.
 
Sas naona kuna kutupiana sifa za ubahiri.Kanda ya nyanda za juu kusinplease watu wana waghaya wakinga kwa ubahiri kichiz.Labda mtudadafulie makabira angalau matatu yanayo ongoza kwa sifa zifuatazo kwa pamoja ubahiri,uchoyo,ubinafsi na kujtenga.ikibid mtoe top ten kabsaa ili tufanye analysis kwa pamoja.
Please improve your writing skills
 
😅😅😅hawana mshipa wa aibu, eti utununulie nyumba nzima yani wale hata mke anaweza kukupa upige, akili yao iko taratibu mno
Wanawake waha waaminifu sana kwenye ndoa'.
Tatizo uchafu tu.
 
Back
Top Bottom