Kwa uzoefu wangu, sehemu zenye Waha wengi ni ngumu sana kufanya biashara

Kwa uzoefu wangu, sehemu zenye Waha wengi ni ngumu sana kufanya biashara

Hakuna kabila ambalo halina kasoro wakuu, kila jamii inatoka mkoa wake wakiwa na itikadi na ideology tofautiii tukuchukulie tu kama tulivyo kama sisi pia tunavyo wavumilia mapungufu yenu hakuna kabila ambalo lipo perfect
All in all big up sanaa kwa waha wanangu mnapambana sanaa ukiona huwez kuishi nao ujue ww ni mvivu……. Pale kariakoo ukitajaa wafanya biashara wanaomilik maduka makubwa yenye mzumguko mikubwa WAHA huwezi kuwakosa kweny hiyo list argue with your keyboard
 
Huwezi kuwatofautisha warundi na waha hao ni ndugu sema wametenganishwa na mpaka. Ni sawa na kusema 80% ya wakurya ni wakenya huu sio ukweli
Tolea mfao wajuluo siyo wakurya utakuwa sahihi.
Wakurya watanzania zaidi kuliko wake ya.
 
Waha wana umoja sana na wanapendana sio kidogo! Wanapenda kuendeleza undugu
Hapo kwenye kuwowa ni kweli na wanachakarika sana pia ni wavumilivu hakuna mfano
Safi sana binti, nakupa ofa siku mpenzi wako akikusumbua nipigie tumtengeneze.
 
Waha wana umoja sana na wanapendana sio kidogo! Wanapenda kuendeleza undugu
Hapo kwenye kuwowa ni kweli na wanachakarika sana pia ni wavumilivu hakuna mfano
Sifa zote hizi umesema kweli.
Ila na zile mbaya tulizosema kweli wanazo.
NB: Ubahili kwangu siyo sifa mbaya. Savings ni njia ya utajiri.
 
Ni kweli Mtu aliyezaliwa Dar awe Mwanamke au Mwanaume ni watumiaji wazur na watoaji wazur siyo wagumu kwenye kutoa, Kimbembe awa wanaotoka mikoani yani ni wagumu kwenye kutumia pesa na kutoa pesa, kwasababu wamezaliwa na kukulia kwenye Mazingira ambayo hawajawai kuona Wazazi na ndugu jamaa na marafiki wakipeana pesa au kufanya matumizi ya pesa, yani wao ni kupewa pesa ya kusaga mahindi kwenye machine, Wao mambo ya Mzazi kumpa mtoto pesa ya shule hakuna wala shuleni watoto watumie pesa kinunua ice cream au kashata keki hakuna mambo kama hayo. Na wadau wanaosema pesa ya Mwanamke ngumu kuipata kweli lakini kwa Wanawake walikulia Maisha ya vijijini laki kwa waliozaliwa mjini ukiwakopesha pesa wanakulipa na ukiwakopa wana kupa.
Waha wengi ni mashoga, chunguza!!!
 
Back
Top Bottom