Kwa uzoefu wangu, sehemu zenye Waha wengi ni ngumu sana kufanya biashara

Kwa uzoefu wangu, sehemu zenye Waha wengi ni ngumu sana kufanya biashara

Ni kweli Mtu aliyezaliwa Dar awe Mwanamke au Mwanaume ni watumiaji wazur na watoaji wazur siyo wagumu kwenye kutoa, Kimbembe awa wanaotoka mikoani yani ni wagumu kwenye kutumia pesa na kutoa pesa, kwasababu wamezaliwa na kukulia kwenye Mazingira ambayo hawajawai kuona Wazazi na ndugu jamaa na marafiki wakipeana pesa au kufanya matumizi ya pesa, yani wao ni kupewa pesa ya kusaga mahindi kwenye machine, Wao mambo ya Mzazi kumpa mtoto pesa ya shule hakuna wala shuleni watoto watumie pesa kinunua ice cream au kashata keki hakuna mambo kama hayo. Na wadau wanaosema pesa ya Mwanamke ngumu kuipata kweli lakini kwa Wanawake walikulia Maisha ya vijijini laki kwa waliozaliwa mjini ukiwakopesha pesa wanakulipa na ukiwakopa wana kupa.
Kwenye hili la wanawake na pesa karudie utafiti wako tena.
 
Mi nilijuwa huku mijini Waha wabaili kwakuwa wanawaza kwao kulivyokuwa mbali anajikuta tu lazima atunze pesa,kumbe wabahili hata huko kwao,basi hawa siwaelewi kwakweli...
 
Waha ni wa zamani,
hawa wa leo ni wenye hati miliki huko oya kama tulivyo tu wengine.
 
Kama ningekuwa na uwezo wa kufuta hili kabila ningelifuta aisee hawa jamaa Wana maisha ya kubagua Kwa kuangalia watu wa kabila Lao Tu..
Hilo nimeona Sana huku chamazi ambako nafanya biashara.

Kama unaishi na hao wajinga jitahid uende sehemu nyingine akafanye biashara usijichanganye ukafungua Duka huku walikuzunguka ni waha ambao wanauza bidhaa kama zako, hawa jamaa sio watanzania kabisaa
 
Mbona kama hapa ni polisi pale Moshi mkuu

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
20241012_091721.jpg
20241012_091736.jpg
Bomang'ombe
 
Waha ni wabinafsi sana kiasi kwamba kufanya kazi hapo ni lazima ujipange,, nilianzisha kazi moja na ile ofisi ilikua inakesha.... Walipiga makombora wakachoka wakaamua kuhamia kwenye uongo kikawa naripotiwa polisi nauza milungi yani heka heka niliamua kufunga maana kila siku ni mwendo wa kukaguliwa.
pole sana dada.
 
Kwa kweli hawa jamaa ni wabahili wa kiwango cha lami
Yote uliyoyasema ni kweli
Anashinda dukani ugali unatoka home, zamani walikuwa kila mmoja anasafiri kivyake kuendea mzigo, maana hawapendani pia na kila mmoja alikuwa anabeba ugali wake na dumu la maji ya kisima mpaka dar
Wakifika wanaweza kulala hata stesheni
Ila siku hizi waneamua kutuma tajiri mmoja anawanunulia wote
Wamejiongeza pia wana malori yao ya mizigo na wanapambana haswa
Ila mwisho wao mbaya
Utasikia kajiuwa, kauwawa na ndugu au mke kamuwekea sumu
Kwa ubahili sidhani kama kuna watu wanawafikia hawa jamaa
Muulize kama anatoa sadaka ni nadra sana ndio maana wengi hata aongeze biashara awe na maduka kumi bado anakuja kufa vibaya
 
Ukiona maisha Magumu, tafuta rafiki Muha au ishi maeneo wanayoishi,
Kuna kipindi nilipigika baada ya kujichanganya, nikawa na jamaa yangu muha bingwa wa kubana matumizi, hio siku akanipeleka chocho la ugali na mboga kama nne hivi kwa tsh 300., Yes namaanisha mia tatu.., Sema baada ya kufika geto kulikua na safari nyingine ya kuitafuta dispensary
hahahahaaa. hatarii
 
Kelsea unacheka nini😁
Nilikua nawaza hii nguvu ya kutetea wachaga imetoka wapi kumbe kabila lako rafiki yangu. Wachaga wabahili wapo, kunae mmoja pombe tu ndio anaweza tumia hela bila malalamiko lkn mambo mengine anaumia sana kutoa hela yake mpaka huwa namuuliza ni mchaga kweli ama wa kudownload. Ni mbahili sijawahi ona.
 
Back
Top Bottom