Kwa uzoefu wangu, sehemu zenye Waha wengi ni ngumu sana kufanya biashara

Kwa uzoefu wangu, sehemu zenye Waha wengi ni ngumu sana kufanya biashara

Hawa waha ndio wajasiriamali kamili. Jamaa wanakuja kwa kasi.Najua wapo watakaobisha ila kwa namna wanavyoteka biashara kuanzia zile ndogo mpaka kubwa iwe ni mitaani au masokoni , kwenye miji midogo na mikubwa si mbali watakuwa wanadhibiti asilimia isiyo haba ya mzunguko wa fedha nchini. Nimewashuhudia wengi wakianzia chini hasa na wakaja kuwa wakubwa tu.
Na wewe hali yakobya kifedha ikoje?
 
Ni bahili haswa hao watu, sijui ni ile hali ya kuzoea dhiki, hiyo ya kuoa kwao ni wanawake wa kwao ndio wanawaweza maana wanawake wao wana tuzo ya uvumilivu, mwanaume wa kiha kutelekeza familia ni jambo la kawaida na ni km desturi, waroho wachoyo akinunua nyama atahesabu minofu
 
Dhiki haizoeleki mkuu, waha wanaishi kwa wanachokipata huku wakiweka malengo na kukipata wanachokitamani kuhusu Wanawake wa kiha ni wavumilivu na wenye upendo wa kweli ni wachache sana anaweza kucheat kwenye ndoa na sio ni watu wa kuacha na kuhusu kuhesabu minofu ya nyama hiyo sijawahi kusikia, kuona na haipo.
 
Heri kuishi na mwanamke wa kiha kuliko mwanaume wa kiha hamna maana
 
Ninachowapendea waha na wachaga ni makabila pekee ambayo kijana ukimkabidhi Milioni 3 baada ya miaka mitano anakukabidhi 15M au na zaidi.
Vijana wa makabila mengine ukimpa milioni 3 baada ya Mwaka kauza hadi mbao za fremu. Sababu na visingizio kibao.

Hao watu wana hustle sana. iwe kwebye biashara hata kwenye Elimu hawana masihara.

Mademu wamekuwa wakijaribu kuwapa majina ya kuwatweza wanaponyimwa kuhingwa na kuwapa majina ya Ubahili, roho mbaya lakini hawajali na maisha yao yanainuka siku hadi siku.

Nimejifunza mbinu zao ziko sawa na waarabu na wahundi.
Bila shaka wewe ni MUHA
 
Ni bahili haswa hao watu, sijui ni ile hali ya kuzoea dhiki, hiyo ya kuoa kwao ni wanawake wa kwao ndio wanawaweza maana wanawake wao wana tuzo ya uvumilivu, mwanaume wa kiha kutelekeza familia ni jambo la kawaida na ni km desturi, waroho wachoyo akinunua nyama atahesabu minofu
MTU Ana biashara kubwa tu, unamwambia twende tukale kitimoto tujadili mawili matatu, anasema sawa, Mnataka kwa ajili ya business talk, mnaagiza kilo Yenu , nusu chops, nusu ribs na ndizi nne.

Mnaongea issue mbalimbali za kibiashara, mnamaliza kula, kwa kuwa wewe (mimi) ndiye niliyeitisha/ niliyeonba kikao ninaletewe bill, inawekwa mezani kwenye glass, anairukia kusoma amount, naona sura yake imebadilika.

Muhudumu anakuja, ninamuomba nilipe kwa ku scan QR Code. Na tunaendelea kidogo na maongezi.

Ghafla jamaa anasema aisee, ungeagiza tu nusu kilo kwa ajili yako, hiyo hela ya nusu nyingine ungenipa, wakati mwingine vikao tuwe tunafanyia nyumbani kwangu, kitimoto utununulie nyumba nzima
 
Naona huu uzi huenda ni wa Muhaya! Na wanao comment ni Wafipa,Wakurya,Wakerewe,,Wajita,Wazanaki na Wangoni.
Kama ni kweli,Waha badilikeni!
Kagera nimewahi kwenda mara mbili wala sina nasaba na Wabaya.

Rukwa sijawahi kabisa kufika huko, na wala simjui Mfipa yeyote zaidi ya Mizengo Pinda.

Mara ninewahi kwenda mara moja tu, Ukerewe ndio kabisaaaa, tena nasikia hata Wakerewe huwa hawaendi kwao, wakienda wanatoroka wakati wa kurudi.
Ruvuma pia sijawahi kwenda kabisa, hao Wangoni nimebahatika kuwa na demu mmoja ambaye aliniganda sana.
 
Kweli kabisa. Wachagga ni big brain tofauti kabisa na Waha.
Hii sasa unawaonea kama kabila, jamii zinatofautiana kwa sababu mbalimbali wakuu. impacts zikianzia baada ya mkoloni kutawala na kukabidhi uhuru.
Vipaumbele vya serikali kwa kila mkoa au kanda na utekelezaji wake, mambo ni mengi.

Jamaa anatakiwa aelewe hao jamaa waliopo huko ni watu wa vipato vya chini wengi, akijitahidi sana hapo ni mtu wa kipato cha chini cha kati.

Kuhusu kununua kwa watu wa kabila lao, naona wako sawa kwa namna flani ili wainuane.

Wachaga walifanya na bado wanafanya, waarabu, wahaya,wakurya. Ila mji ukiwa na mwingiliano mambo kama hayo yanapungua au kupotea. Tuvumiliane jamani nchi bado ina umasikini hii.

Unadhani kuna mtu mstaarabu anakunywa double kick? Anakula ubongo wa nguruwe na utumbo kisa bei 500....UMASIKINI
 
Walikufanyaje? Wapo wengi sana hapo nyakanazi

Tatizo lao lingine ni ulozi, wanapenda ushirikina sana hao,
Waha ni wabinafsi sana kiasi kwamba kufanya kazi hapo ni lazima ujipange,, nilianzisha kazi moja na ile ofisi ilikua inakesha.... Walipiga makombora wakachoka wakaamua kuhamia kwenye uongo kikawa naripotiwa polisi nauza milungi yani heka heka niliamua kufunga maana kila siku ni mwendo wa kukaguliwa.
 
Back
Top Bottom